Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Pesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.
Wanasema SGR Ni JPM aliipendelea kwao, wakati Engineer wa SGR ni tokea kipindi cha BWM

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuambia uwanja kama ule wa Mwanza wewe unaleta mapagale, make hata mbinga uwanja wa ndege upo. Tuonyeshe uwanja mzuri kama huo wa Mwanza ulioko kusini
Aibu yako na hofu la Mwanza ambalo hata halijakamilika.😭😭

Airport za kisiasa zinafanania hivi 👇👇 just enjoy 😃😃

Screenshot_20210806-184455.png

Screenshot_20210806-184442.png

Screenshot_20210806-184435.png

Screenshot_20210806-184410.png

Screenshot_20210806-184359.png

Screenshot_20210806-184353.png

Screenshot_20210806-184343.png

Screenshot_20210806-184338.png

Screenshot_20210806-184330.png

Screenshot_20210806-184450.png

Screenshot_20210806-184320.png

Screenshot_20210806-184511.png
 
Tunasubiri utuwekee na mall za kusini tucheke tuongeze siku za kuishi, weka.
Wewe una shida,Mbeya kuna mid sized malls nyingi Sana kwa sasa sio sawa na hilo empty ghala lenu.

Wasukuma na mall wapi na wapi?Haya Cheka vizuri hapo sasa 👇👇

Screenshot_20210806-185223.png

Screenshot_20210806-185331.png

Screenshot_20210806-185215.png

Screenshot_20210806-185149.png

Screenshot_20210806-185230.png

Screenshot_20210806-185450.png

Screenshot_20210806-185612.png

Screenshot_20210806-185258.png

Screenshot_20210806-185241.png

Screenshot_20210806-185154.png

Screenshot_20210806-185135.png

Screenshot_20210806-185129.png
 
Hiyo TAZARA yenyewe sijawahi sikia ikiongelewa upgrade kutoka MGR kwenda SGR, wakati reli ya Dar-Mwz imeanza kuongelewa kuwa SGR tokea miaka ya 1990. Ndio ajue Kanda ya ziwa sio level zao

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo TAZARA yenyewe sijawahi sikia ikiongelewa upgrade kutoka MGR kwenda SGR, wakati reli ya Dar-Mwz imeanza kuongelewa kuwa SGR tokea miaka ya 1990. Ndio ajue Kanda ya ziwa sio level zao

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Usiwe kiazi wewe,Tzr sio mgr ni cape grade standard .

Huko kwenu yule dhalimu alitumia vibaya madaraka ndio maana alinza kujiwekea Kinga za kijinga akaishia kufa.
 
Kuna mgodi mkubwa unafunguliwa Sengerema, tayari leseni yenye thamani ya Trillions 2.3 imekwatwa. Ndio utakuwa mgodi mkubwa wa dhahabu kuliko yote nchini na utakuwa Sengerema. Multiplier effects za huu mgodi lazima muite maji mmaaaa

Multiplier effect ya Migodi Tanzania ni uharibifu wa mazingira na ufukara kwa wenyeji, just like Shinyanga na mwadui. Vijiji vya huko ni ufukara wa kutisha.
 
Usiwe kiazi wewe,Tzr sio mgr ni cape grade standard .

Huko kwenu yule dhalimu alitumia vibaya madaraka ndio maana alinza kujiwekea Kinga za kijinga akaishia kufa.
Kilaza ni wewe, proposal ya SGR pioneer ni Benjamin Mkapa, maandalizi ya ujenzi kafanya Kikwete JPM kaweka msingi tu.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Pesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.
Hazina ndio huku anakosema Ummy au ?Si ajabu mnazidi kuwa maskini..Michembe imekuharibu akili anza kura parachichi 😆😆😆😆

Screenshot_20210806-190742.png
 
Hizo grocery zenye viti vya Coca-Cola ndo mall za kusini! Nilijua tu utaleta kichekesho
Afu chakula Cha funza, tofautisha viminisuper market vya mwanjelwa na shopping mall.
 
Nimepitia comments karibu zote nimeona Kahama Iko Juu .nina swali naomba kuuliza hivi kiwanja cha kujenga Guest house nje kidogo ya mji wa Kahama kinaweza kugarimu million ngapi?ujenzi wa kujenga room 20 inaweza kugarimu million ngapi?ni guest ya kawaida mkuu.
Maana nina million 60 ningependa ku investment Kahama .Nimechoka kukaa hapa Arusha na Kilimanjaro maana kila mtu anataka kuwa mjuaji.asanteni sana.
 
Nimechapa kwenye mshono eti???!

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mshono eeh.Ujie madini ya dhahabu kila kima awe na pesa au asiwe na pesa anaweza kufanya tofauti na heavy duty,high tech mining and huge investments zinazowezekwa kwenye aina ya Madini yanayopatikana Kusini.Hii ndio sababu uwekezaji unachelewa.

Ila kwa sasa tayari serikali imetoa kibali cha kuanza ujenzi wa mgodi mkubwa wenye investment ya over $ 100.23(2.63T) kwenye mgodi wa Nguavilla Songwe Region.Kana kwamba hiyo haitoshi wwkezaji utaenda sambamba na ujenzi refinery plant kiasi kwamba investment inayotakiwa ni $ 200(4.8T).Hii amount changanya tumigodi twote twa dhahabu Kanda ya Ziwa.

Tukiwaambia Kusini sio size yenu muwe mnaelewa maana tuko endowed with olmost everything👇👇

Screenshot_20210806-180128.png

Screenshot_20210806-180250.png

Screenshot_20210806-175936.png

Screenshot_20210806-175809.png
 
Nimepitia comments karibu zote nimeona Kahama Iko Juu .nina swali naomba kuuliza hivi kiwanja cha kujenga Guest house nje kidogo ya mji wa Kahama kinaweza kugarimu million ngapi?ujenzi wa kujenga room 20 inaweza kugarimu million ngapi?ni guest ya kawaida mkuu.
Maana nina million 60 ningependa ku investment Kahama .Nimechoka kukaa hapa Arusha na Kilimanjaro maana kila mtu anataka kuwa mjuaji.asanteni sana.
😆😆😝😝 Wewe ni kituko ,wenzako wamejenga mahoteli Njombe wewe unazungumzia guest Kahama?

Umeona picha ya hotel hata moja kutoka Kahama? Ushauri wa bure hiyo guest iwe kwa show time ndio utapata wateja huko Kahama.
 
Naona Sasa Umeanza kudata na funza zako miguuni, Sasa serikali kuu kukusanya mapato na hilo gazeti ulilopost vinahusiana nini?!
Kula parachichi na ngano u activate akili za kinyumbu ndio ukisoma sasa utaelewa.
 
Wewe ni kituko ,wenzako wamejenga mahoteli Njombe wewe unazungumzia guest Kahama?

Umeona picha ya hotel hata moja kutoka Kahama? Ushauri wa bure hiyo guest iwe kwa show time ndio utapata wateja huko Kahama.
Yaani uache kujenga Guest kwenye watu, ukajenge Hotel kwenye mashamba ya miti!!!! Hii hesabu ya wapi?????

Hizo Hotel zenyewe za Nyanda ya Juu kusini ziko wapi??? Kuna 5 star hotel kweli huko????
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Yaani uache kujenga Guest kwenye watu, ukajenge Hotel kwenye mashamba ya miti!!!! Hii hesabu ya wapi?????

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆 Sema hivi amejiridhisha kwamba akijenga hotel huko Kahama itaishia kuwa makazi ya popo ila guest itawafaa Ili muendelee kupigana miti kama pacha kulingana na uwezo wao.

Njombe kuna hoteli nyingi kwa sababu kuna watu wenye kipato kulala Hotelini
 
Back
Top Bottom