Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,220
Ndugu Zitto nina swali hapo kwenye kuhusu Kagoda kuwa State sponsored...Je kuna ufafanuzi wowote ule kuhusiana na individuals walio na majukumu ya kufanya maamuzi on behalf of the state?
Kwasababu ukisema tu kwamba ni "State sponsored" na kuishia hapo hakuna tofauti na kutumia kauli ya "Usalama wa Taifa" Bila ufafanuzi wa kuwa ni usalama wa Taifa wa aina gani huo wa kuuza nchi ama ni kina nani hao "State" waliofuja pesa za wananchi na kulitumbuliza Taifa kwenye umasikini kwasababu ya corruption.
Ama "State" haiundwi na individuals ambao ni lazima wawe held accountable in case of violations of the rules that governs the state and its people? This time corruption?
Ama inawezekana na The Head of State must have beeen involved?
Kazi ipo....Kati ya JK na EL kuna kutupiana mpira wa lawama as to who is responsible for the "State Sponsored" Corruption?
Jmushi kama ni kweli it was state sponsored tunatakiwa kujua hizo pesa zilitumika vipi, inawezekana kulikuwa na covert operations ambazo zilihitaji ujanja kama huo, lakini tunapaswa kuambiwa ni operations zipi na zimetunufaisha vipi. Labda Kagoda itafunua macho yetu ya kujua hasa nani ni kigogo wa ufisadi