sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,752
Ukanda mzima wa Kiziba ukijumuisha Kitobo, Kanyigo, Ruzinga, Bwanjai, Buyango, Ishozi huko ndo chimbo la maprof na ma Dr. Kila familia huwez kosa angalau degree 2.Wengi wanatoka Tarafa ya Kiziba kijiji cha Kitobo mkoani Kagera
Sent from my iPhone using JamiiForums