Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bagonza
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
47: Professor Mutabingwa Theonest Kahangwa ,
48: Professor Kamazima M M Lwiza
49: Professor Joseph Buchweishaija
50: Professor Emanuel Babyegeya
51: Professor L.K Rutasiitara
52: Professor Richard W Rwechungura
53: Professor Egydius R Rwenyagila
54: Professor Benezet Mtayoba SUA
55: Professor B. A Rwezaura UDSM
56: Professor R.C Ishengoma
57: Professor Tibandebage
58: Professor W . Rugakingira
59: Professor Buberwa
60: Professor C. S Binamungu Mzumbe
61: Professional prof Bonaventure Rutinwa
62: Professor Alex M Mtalemwa Harvad University
63: Professor Deogratius Rutatora SUA
64.Prof Mutahaba
Orodha ni ndefu sana

IMG_20180914_205619.png

Britannica
 
Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor John Ruhangisa
33: Professor Benson Bana
Hawa ndio wanaongoza kwa kuliingiza taifa matatizoni.
Afadhali kina Msukuma.
 
Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bana
41: Professor Rwegarulila

Orodha ni ndefu sana

Britannica
Prof Batamuzi (RIP)

Prof Mutayoba

Prof Bitegeko

Hao walikuwa pale kitivo cha Veterinary Medicine Sua....

Nilipitia staff ya sua aise wachaga na wahaya wametawala sana...

Wakina Mura sijui tulikua wapi miaka hiyo...
 
Hongera kwao Wasomi wetu, Elimu ni ufunguo wa maisha, msemo ambao watu wengi sana hawauelewi

Kizazi cha wazungu wasomi wa mwanzo walisota sana wengine hadi kupoteza maisha yao wakitumikia elimu zao

Kuchezea kemikali hatari, wengine wakashindwa kuoa kuwa na familia ama hata kutojua kabisa mwanamke kwa kuwa bize na kazi zao, wengine wakauawa kwa ugunduzi wao kwenda kinyume na imani za kanisa, wengine walikuja Afrika na kwingineko kwa ajili ya kufanya ugunduzi na baadhi kuuawa na wanyama hatari, magonjwa au au wenyeji waliowaona hatari n.k, yote kwa ajili ya nchi zao na vizazi vitakavofuata

Ila kizazi cha mwanzo cha Waafrika Wasomi, japo sio wote, wao waliposoma badala ya kuona kama wana deni kwa nchi zao, wao wakaona nchi zao ndio zina deni kwao, wakaona ni haki yao ya lazima kwenda kuajiriwa kwenye taasisi zilizoachwa na wakoloni na kufanya kazi wanavyojisikia kwa kuwa wanaidai nchi kutokana na 'kusota sana kusoma'

Wameathiri hata kizazi chetu kuwa mtu ukisoma utakua unaidai serikali ajira, na ukiajiriwa utafanya kwa kujisikia kwa kuwa ulisota kusoma...ukienda taasisi za serikali huduma mbovu sababu akilini kwao wanajua wanakufanyia favour na sio wajibu
 
Hao wote na binamu yao professor lipumba, ndiyo walio lifkisha hili taifa hapa lilipo kwa kushindwa kutumia vyema Elimu zao ktk kuliletea maendeleo taifa letu, wamekuwa watumwa wa Wanasiasa.
Hapo wachache sana walioingia kwa siasa
 
Back
Top Bottom