Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

Wahaya sifa tu na kuna ukabila mkubwa sana kwenye kupeana uprofessor, kuna Dr mmoja amesota miaka 20+ hata u associate professor hana akaamua kuachana nao, lakini angekua muhaya angeshakua prof muda mrefu.
Hujui process za kupata I Professor ndugu bora ungekaa kimya tu.
Hamna mtu anaweza kukubania uProfessor kama umeandika maandiko ya maana. Huuo Dr itakua alikua ana publish kwenye predatory journals
 
Back
Top Bottom