Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

Ma- professor wa ki- Afrika huwa na mchango mdogo sana katika jamii zao ukilinganisha na wa nchi za mataifa yaliyo endelea.

Wengi wa hawa wa kwetu ni wachumia tumbo tu na hata rushwa hula. Huko wanaotoka hao wengi ndiko kunakongoza kwa umasikini na miundombinu mibovu.

Hata kituo cha mabasi cha kisasa hakuna na mji mzima ni tope jekundu. Majumba yao katikati ya migomba hayana thamani wala tija yoyote. Huwezi hata kupangisha. Kwa kifupi ni wasaka tonge kama walivyo watu wengine.
 
Kuwa Prof. Si kwamba huyu mtu ndo anajua kila kitu la hasha. Bali mtu anaposoma zaidi kwa kujikita ktk fani yake ndo anavyozidi kuwa na uelewa mpana kwenye jambo dogo.

Mfano profesa wa ubongo atąjikita tu katika ubongo unavyo Fanya kazi ili aupate ubongo atahitaji mtalaam wa upasuji na mishipa. Hivyo kuwa profesa si kuelewa kila kitu bali ni kujikita ktk vitu vidogo kwa upana. Ila tuna wasomi wengine wenyekuelewa fani mbalimbali hawa nao ni wasomi wazuri.

Wana degree kibao tofauti. Mfano amrehemu Tuntemeke Sanga alikuwa na degree saba tofauti tofauti. Walipambana na Nyerere! Ha ha ha ha!
 
Wahaya sifa tu na kuna ukabila mkubwa sana kwenye kupeana uprofessor, kuna Dr mmoja amesota miaka 20+ hata u associate professor hana akaamua kuachana nao, lakini angekua muhaya angeshakua prof muda mrefu.
Nani
 
Hawa maprofessor Wa Kitanzania sijui wanashida gani maana Kuna mmoja Wa SUA ni jirani yangu ila namshangaa sana maana anayofanya hayaeleweki kwenye jamii kila mradi anaopanga hauendi na watu wanashangaa alifika je huko wakati darasani alikuwa zero wengine wanamtuhumu kuwa alinunua jina .
 
Jambo Jambo?

Hizi takwimu ni za kweli na kweli tupu, Kagera ya Wahaya inaongoza kwa Idadi kubwa ya PhD holders na maprofessa Tanzania nzima.

Mwanza yashika nafasi ya 2 lakini kwa tofauti ya zaidi ya asilimia kubwa.

Nilivyosema kuwa wahaya tupewe jukwaa letu hapa JF ili tuwe tunajadili mambo makubwa na mazito kuhusu azma ya nchi wadau walinibeza na kuleta utani wa hovyo.

Yani mimi nikae Jukwaani na Muha ambaye mkoa mzima wenye idadi ya watu million 3 kigoma kuna maprofesa kiduchuu na wasomi kiduchu.Si haki.

Ifike hatua sasa [mention]Maxence Melo [/mention] Uweke kajukwaa ka wahaya pembeni tuwe tunajadili mustakabali wa nchi hii na walau tunaweza kuamsha mabongo laa wengine.


IMG_6562.jpg



Pia Idadi ya wahaya diaspora ni kubwa kuliko kabila lolote hapa Bongo.

Sisi wahaya ndo tumewaamsha watanzania wengi kuwa elimu ni nzuri na inatakikana vilivyo ili kuondoa ujinga wa mtanzania kichwani.

(Rejea zamani ilikuwa ukitaka kuoa binti wa kihaya unaulizwa elimu uliyonayo ndiyo maana ni mara chache sana kuona mhaya kaoa/kuolewa na muha)

WAHAYA TUPEWE HESHIMA YETU YA KUWA NDO KABILA LENYE IDADI YA WASOMI WENGI TANZANIA NA AFRICA KIUJUMLA.

(Kama unawashwa na huna hoja za kujibu tafadhali kaa kimya, vinginevyo utakumbana na majibu yasiyo na staha)



Nshomile
 
Wajinga wakubwa nyie, pamoja na uprofesa wenu lakini mnaongoza kwa kuwa masikini kazi yenu kujisifu kijinga jinga tu hapa
 
Back
Top Bottom