Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

Aliyegundua elimu hakuwa Professor wala hakuwa na PhD yeyote.
Akili haikai kwenye makaratasi
Mfano mzuri mgunduzi wa Facebook pamoja na Elon Mask hawana hizo mavyeti vya u-professor wala u-dr, lkn wanafanya mambo makubwa duniani kuliko hao mapropesa wa mchongo wa kihaya
 
Number of regions with more professors....
1. Wametumia vigezo vipi?
2. Sijaiona Dar, lakini najua kuna maprofesa wengi wamezaliwa na kukulia Dar, wao wanahesabiwa wapi?
3. Kuna wengine ni mixture ya makabila, baba Mkaguru mama Mdigo, na wamezaliwa na kukulia Musoma. Wanahesabiwa wapi?

Na mwisho, hao maprofesa na madr wengi hivyo wa Kagera wameusaidia vipi mkoa wao. Nadhani takwimu za miaka ya karibuni zinaonyesha kuwa bado Kagera pana hali tete kiuchumi kuliko hata Dodoma
 
Nani kakwambia Elon Musk hajasoma, ndio vilaza mnadanganyana hivyo?

Elon Musk ana Bachelor's Degree ya Physics na anayo nyingine ya Uchumi. Pia akiwa South Africa aliwahi fanya mtihani wa kimataifa wa Dell au HP kama sikosei na akapata marks nyingi kupitiliza kiasi kwamba HQ kule Marekani ikaomba mtihani wake usahihishwe upya ofisi za pale South Africa. Elon Musk sio kilaza mwenzio. Anatumia degree yake ya Physics kujua A,B,C za kazi yake kisha anatumia degree yake ya economics kushawishi investors na kukusanya vipaji vya wanasayansi maana in reality Musk hafanyi utaalamu wowote kwenye kazi zake. Hiyo ni kazi ya elimu sasa wacha wanao wafuge nguruwe wasisome uone
 
Number of regions with more professors....
1. Wametumia vigezo vipi?
2. Sijaiona Dar, lakini najua kuna maprofesa wengi wamezaliwa na kukulia Dar, wao wanahesabiwa wapi?
3. Kuna wengine ni mixture ya makabila, baba Mkaguru mama Mdigo, na wamezaliwa na kukulia Musoma. Wanahesabiwa wapi?

Na mwisho, hao maprofesa na madr wengi hivyo wa Kagera wameusaidia vipi mkoa wao. Nadhani takwimu za miaka ya karibuni zinaonyesha kuwa bado Kagera pana hali tete kiuchumi kuliko hata Dodoma
Hiyo imetenenezwa wa nshomile wenyewe. Haya majamaa yanajiona yamesoma sana ila ukienda bukoba kuko hovyo na umaskini ulotamalaki
 
Jambo Jambo?

Hizi takwimu ni za kweli na kweli tupu, Kagera ya Wahaya inaongoza kwa Idadi kubwa ya PhD holders na maprofessa Tanzania nzima.

Mwanza yashika nafasi ya 2 lakini kwa tofauti ya zaidi ya asilimia kubwa.

Nilivyosema kuwa wahaya tupewe jukwaa letu hapa JF ili tuwe tunajadili mambo makubwa na mazito kuhusu azma ya nchi wadau walinibeza na kuleta utani wa hovyo.

Yani mimi nikae Jukwaani na Muha ambaye mkoa mzima wenye idadi ya watu million 3 kigoma kuna maprofesa kiduchuu na wasomi kiduchu.Si haki.

Ifike hatua sasa [mention]Maxence Melo [/mention] Uweke kajukwaa ka wahaya pembeni tuwe tunajadili mustakabali wa nchi hii na walau tunaweza kuamsha mabongo laa wengine.

View attachment 2643235

Pia Idadi ya wahaya diaspora ni kubwa kuliko kabila lolote hapa Bongo.

Sisi wahaya ndo tumewaamsha watanzania wengi kuwa elimu ni nzuri na inatakikana vilivyo ili kuondoa ujinga wa mtanzania kichwani.

(Rejea zamani ilikuwa ukitaka kuoa binti wa kihaya unaulizwa elimu uliyonayo ndiyo maana ni mara chache sana kuona mhaya kaoa/kuolewa na muha)

WAHAYA TUPEWE HESHIMA YETU YA KUWA NDO KABILA LENYE IDADI YA WASOMI WENGI TANZANIA NA AFRICA KIUJUMLA.

(Kama unawashwa na huna hoja za kujibu tafadhali kaa kimya, vinginevyo utakumbana na majibu yasiyo na staha)

Nshomile
Hichi ndio kinachowaumiza wahaya.
Sifa za kijinga, ubaguzi na kutokujitambua.
Ni kweli wasomi wengi wa ngazi ya juu kabisa ( prof ) wametokea Kagera kwa wahaya huko ila tabia zao zakuzaliwa zinawaumiza sana na hazisaidii mkoa wa Kagera.
Wengi kuishi nje ya mkoa wao especially kuishi dar na kuvimba kuwa kasoma na kupata vihela kidogo basi amemaliza Dunia, jifunzeni kwa makabila mengine kama wachaga, wapare , wanyakusya etc.
Soma uondoe ujinga ujitambue pambana na changamoto za maisha pesa itakuja na ukiipata tengeneza nyumbani nako ulikokulia papendeze acha utumwa wa fikra.
Kusoma ni fahari na Kila binadamu maana umepata fursa yakujitambua na kutambuka changamoto, basi tumia elimu yako kwenye jamii yako na wengine wote kusaidia hata waliokosa iyo fursa sio kubagua na kujitenga. Hiyo ndio maana ya kuelimika.
Wahaya wamesoma lakini hawajaelimika.
 
Wahaya sifa tu na kuna ukabila mkubwa sana kwenye kupeana uprofessor, kuna Dr mmoja amesota miaka 20+ hata u associate professor hana akaamua kuachana nao, lakini angekua muhaya angeshakua prof muda mrefu.
Hao watu ni wabinafsi sana na wana ukabila wa kutisha.
 
Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bagonza
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
47: Professor Mutabingwa Theonest Kahangwa ,
48: Professor Kamazima M M Lwiza
49: Professor Joseph Buchweishaija
50: Professor Emanuel Babyegeya
51: Professor L.K Rutasiitara
52: Professor Richard W Rwechungura
53: Professor Egydius R Rwenyagila
54: Professor Benezet Mtayoba SUA
55: Professor B. A Rwezaura UDSM
56: Professor R.C Ishengoma
57: Professor Tibandebage
58: Professor W . Rugakingira
59: Professor Buberwa
60: Professor C. S Binamungu Mzumbe
61: Professional prof Bonaventure Rutinwa
62: Professor Alex M Mtalemwa Harvad University
63: Professor Deogratius Rutatora SUA
64.Prof Mutahaba
Orodha ni ndefu sana

View attachment 866415

Britannica
we imebaki kidogo kuanza kuokota makopo
 
umeokoteza tu majina ya kihaya, hiyo list imewekwa na kanzi data ya wapi. acha upoyoyo na mambo ya kipuuzi.
 
Na founder mmoja wapo wa hii forum mzawa wa Missenyi ndie aliefanikisha zuzu kama wewe kujificha nyuma ya keyboard na Id feki na kutema shudu zako humu.
kwanza ujue hii forum hajaitengeza mwenyewe, hii ni kazi ya timu. Kwa hiyo mhaya akifanya jambo dogo tu km hili inakuwa shombo? Na je huyo founder anaitwa profesa nani. We ni zaidi ya zuzu, watu wazima tena wanaume mnataka sifa za kijinga kwa vitu vidogo tu vya kawaida. Nenda mkaendeleze mkoa wenu.
 
Upro
Wahaya sifa tu na kuna ukabila mkubwa sana kwenye kupeana uprofessor, kuna Dr mmoja amesota miaka 20+ hata u associate professor hana akaamua kuachana nao, lakini angekua muhaya angeshakua prof muda mrefu.
Acha uongo uprofesa hautolewi kama njugu. Hakuna anayeweza kuzuiwa kuwa profesa akiwa na sifa na vigezo viko wazi kabisa.
 
Prof Batamuzi (RIP)

Prof Mutayoba

Prof Bitegeko

Hao walikuwa pale kitivo cha Veterinary Medicine Sua....

Nilipitia staff ya sua aise wachaga na wahaya wametawala sana...

Wakina Mura sijui tulikua wapi miaka hiyo...
Mura miaka hiyo mlikuwa mnachunga ng'ombe kuiba ng'ombe na kutambiana kuoa wake wengi
 
kutambiana kuoa wake wengi
Umenikumbusha mwaka ya 1972 nikiwa sekondari kijana Chacha Mwita alikuwa anajinadi kuwa at that age akiwa form two alikuwa ameshalala na wanawake/wasichana over 10. Nilimuona kituko sana muda huo kuwa kweli hii ni sifa ya kutangaza? Sikumuelwa may be mpaka leo!
 
😂
 
Back
Top Bottom