instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,383
- 14,197
ila wahaya wanaakili wametoa maTO wengi sana na mabest students vyuoni na mkoa wa kagera haujawahi kosa ten best .na To wa mwaka huu muhaya form sixKwa kweli miongoni mwa mikoa iliyopata neema ya wakoloni kujengewa mashule ilikuwa ni Kagera, Kilimanjaro na Mbeya.
Hivyo sishangai kuwepo kwa maprofesa wengi. Kipindi hicho wasukuma wengi walikuwa wanachunga n'gombe tu.
Ila siku hizi kila mkoa umeamka katika suala la elimu. Hakuna cha masai wala mngoni wote wanakuja juu.
Baada ya miaka 50 nadhani maprofesa watatoka kila mkoa. Idadi zitaendana.