britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #281
HakikaKwani wanaohama mtu kupewa uprofesa ni Wahaya?
Kama ni Wahaya, nani aliwaweka hao Wahaya? Huyo aliyewaweka hao Wahaya alitumia kigezo gani kuwaweka hao Wahaya waliomnyima jamaa uprofesa?
Mbaazi ikikosa maua husingizia jua.