Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

Wengi wanatoka Tarafa ya Kiziba kijiji cha Kitobo mkoani Kagera


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukanda mzima wa Kiziba ukijumuisha Kitobo, Kanyigo, Ruzinga, Bwanjai, Buyango, Ishozi huko ndo chimbo la maprof na ma Dr. Kila familia huwez kosa angalau degree 2.
 
Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bagonza
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
47: Professor Mutabingwa Theonest Kahangwa ,
48: Professor Kamazima M M Lwiza
49: Professor Joseph Buchweishaija
50: Professor Emanuel Babyegeya
51: Professor L.K Rutasiitara
52: Professor Richard W Rwechungura
53: Professor Egydius R Rwenyagila
54: Professor Benezet Mtayoba SUA
55: Professor B. A Rwezaura UDSM
56: Professor R.C Ishengoma
57: Professor Tibandebage
58: Professor W . Rugakingira
59: Professor Buberwa
60: Professor C. S Binamungu Mzumbe
61: Professional prof Bonaventure Rutinwa
62: Professor Alex M Mtalemwa Harvad University
63: Professor Deogratius Rutatora SUA
64.Prof Mutahaba
Orodha ni ndefu sana

View attachment 866415


Britannica

Wasomi wa kukaririshwa ! Angalau Ruge Mutahaba wa clouds kuliko maproffesor wote
 
Aisee kumbe kina kamuzora ni wahaya, kuna kipanga wa darasa chuoni alikua ana flat A semista ya kwanza hadi ya 5, semista ya mwisho aliteleza kidogo akapata B+ somo moja mengine yote A, tulimshangaa sana anavyolalamika kapata g.p.a ya 4.9.
 
Vyuo vya marekani hamwiti mwalimu kwa title ya Professor bali wanamwita Doctor. Siku moja nilitambulisha Nshomile mmoja ambaye alikuwa ni Associate Professor pale SUA, alikuwa ametembelea maeneo yetu kama exchange scholar nikasema anaitwa Dr. Nshomile, dah! jamaa akanisahihisha pale pale mbele za watu kuwa yeye ni Professor Nshomile bila kujua kuwa grupu lile sote tulikuwa ni maprofesa pia lakini tunaitana majina ya kwanza tu.
 
Chuo gani hicho mkuu?
Aisee kumbe kina kamuzora ni wahaya, kuna kipanga wa darasa chuoni alikua ana flat A semista ya kwanza hadi ya 5, semista ya mwisho aliteleza kidogo akapata B+ somo moja mengine yote A, tulimshangaa sana anavyolalamika kapata g.p.a ya 4.9.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom