KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

Licha ya kusisitizwa uondoe neno 'TU' wewe bado umeling'ang'ania tu brother niaje?
Mbona huelewi haraka ukiambiwa? Nalazimika kufikiri pengine kuna fyuzi zimeachia kichwani hivii....
Leta hoja za msingi kwa intelligent minds here, kama huna facebook na twitter itakuaccomodate kwa hili sawa sawa?

Sawasawa great thinker;fb imeharibu mind za watu,wanabwabwaja bila mpangilio!!!
 
Eleza ulisoma wapi na kupata shahada ya BBA na kuamua kulidanganya bunge? Kama umeweza kulidanganya bunge, je wananchi umewadanganya mambo mangapi? Lete vyeti tuone, na useme ulisomea chuo gani gani hapa nchini, Malagarasi ameeleza ukweli. Ulisoma wapi? Kwa yeyote anayetaka kuthibitisha haya aende kwenye tovuti ya Bunge "www.bunge.go.tz" kisha afungue profile ya kafulila kwenye kipengele cha elimu yake,utakuta ameripotosha Bunge kuwa yeye ni Graduate wa BBA. Then muulize alisoma chuo gani,na alimaliza mwaka gani hiyo BBA?
wewe ndiyo malagarasi,,, tushakujua
 
Kamanda acha upotoshaji hapa
Kafulila hakufukuzwa UDSM bali alisimamishwa masomo mwaka 2008 kwa kukosa ada akiwa mwaka wa mwisho, na sasa amerudia mwaka 2010 hivyo yupo masomoni kwa Shahada yake ya BBA.

Nenda UDSM ukaangalie orodha ya wanafunzi wa mwaka wa tatu.
Next time uwe na ushahidi wa unayoyasema hapa la sivyo tutakupiga ban!

Ni kweli, Kafulila aliagirisha Masomo mwaka 2008, ila kwa mujibu wa tovuti ya Bunge inaonyesha alisoma mwaka 2006 mpaka 2008 ni ni graduate, huo ni uwongo!
 
Hakuna cha kushangaza mbona elimu za wabunge wengi wa CCM ni magumashi tu. Hebu kachunguze Mh. Mary Mwanjelwa mbunge wa CCM viti maalum Mneya mjini alipataje PhD na yeye ni form four failure!

Kafulila apongezwa angalau kwa kuwa admitted UDSM kuchukua BBA akiwa na qualification stahiki
 
Kamanda acha upotoshaji hapa
Kafulila hakufukuzwa UDSM bali alisimamishwa masomo mwaka 2008 kwa kukosa ada akiwa mwaka wa mwisho, na sasa amerudia mwaka 2010 hivyo yupo masomoni kwa Shahada yake ya BBA.

Nenda UDSM ukaangalie orodha ya wanafunzi wa mwaka wa tatu.
Next time uwe na ushahidi wa unayoyasema hapa la sivyo tutakupiga ban!

mkuu big up sana umejibu hoja kisomi ikizingatia ushahidi hai na siyo wengine wanaleta mambo ya kitoto na ushabiki hao ni wanafiki na huu ni udhadiki kabisa hawapendi maendeleo ya watu
 
Wakuu mbona tunakuwa na dabo Standadi?
Au ukihiyo ruhusa kwa wapinzani na dhambi kwa ccm?
Hoja ni hoja tu hata kama imeibuliwa na mbaya wako as long as inamashiko

Mkuu hapa ndio nilikuwa najiuliza hilo swali....
 
Kafulila kama kweli umejimaliza kisiasa...kwa nini usiwe kama wenzako kina Mbowe na Lema, wao kidato cha nne, hawana shinda na BBA.
Wametulia na elimu zao za mtaani
Mkuu nikiwahi kusikia Mbowe ana degree ya Hotel Management au lilikuwa jungu?
 
hivi elimu ya kafulila inatusaidiaje sisi watanzania? mwandikie katibu wa bunge umwambie kwamba kafulila aliwadanganya!:smash:

Kuna yule mama Anaitwa Sofia, ni mke (au mtoto wa ) wa Mzee Simba. Ana Bachelor ya Sheria, wehu flan wanasema alipata Hons, akapata kapostgradueti ka sheria na nikaambiwa alisukumiza kamastaz, huyu mbali na kauli yake ya kutaka wanawake wote wawanyime unyumba waume zao ambao wanashabikia upinzani ana lipi la maana kwa taifa?
 
Kwa katiba yetu ilivyo mbovu kuwa mbunge haihitaji Bachelor wala masters hata std 3 ukiwa ni mtu timamu na age of majority unagombea
 
Kwa katiba yetu ilivyo mbovu kuwa mbunge haihitaji Bachelor wala masters hata std 3 ukiwa ni mtu timamu na age of majority unagombea

tatizo halipo kwenye katiba, tatizo litakuwa kwako wewe utakaemchagua mtu wa Darasa la tatu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?

Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?

Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?

Level ya elim siyo kigezo cha mtu kuwa mbunge, kigezo ni kusoma na kuandika kwa hiyo hata kama amesoma kwa mtu akaweza kujua kusoma na kuandika basi anafaa kuwa mbunge ndio maana Bunge halishughulishwi na kufuatilia vyeti vya mtu, ila mbunge mwenyewe akitaka misifa ndio hupeleka ili abandikwe pale kuwa ana Phd, Ms etc.
Halafu imekuwaje mpaka eti leo ndio ujifurahishe kwa hili?
 
Binafsi sioni ubaya wa thread hii. Kuuliza/kutaka thibitisho la elimu ya Kafulila ni kama tu ambavyo zimekuwa zikitakiwa/ulizwa thibitisho za elimu za akina "Dr" Nchimbi, Mary Nagu, Kamala nk. nashangaa wadau wengi wanatoka povu mbaya! its was so simple anayejua tofauti na mtoa mada kumwaga yake hapa basi!!!
 
This is Tanzania that we want.A lot of blabla people without seriousness about everything.Ok what i know this might be a problem of almost all Tanzanians.During the election we tend to be laizer fair.We sell our votes with pombes you see.What do you expect from this.Change must come to us.
 
Lets talk about ISSUES not A PERSON

Issues are made by people then we have also to talk about the cause of the cause.Ufisadi wa Elimu ni janga kubwa kwani hao ndo wanakuja kualibu kila kitu.
Mtoa mada huko sawa kuoji kwani hiyo ni haki yako.Kafulila kama wewe kweli ni mzalendo na unapinga ufisadi tell us.
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 35%, bgcolor: #B4C6DB"]School Name/Location[/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #B4C6DB"]Course/Degree/Award[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Start Date[/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]End Date[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Level[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Uvinza Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1991[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Kiganamo Primary School, Kasulu[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Chumvi Secondary School, Uvinza[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1998[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2001[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Shinyanga Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2002[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2004[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]National Democratic Institution (NDI)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]-[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]BBA[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2006[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2008[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]-[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Academic Background yake ni hii hapa. Mimi nadhani wale wanaoitwa Investigative Journalists wafanye kazi kisayansi kwa kutembelea shule moja hadi nyingine alizosoma ili kujiridhisha mana majina ya vyuo na miaka aliyosoma imeanikwa. Nadhan baada ya uchunguzi huo, majibu ya maswali yetu tutakuwa tumeyepata.
 
Kamanda acha upotoshaji hapa
Kafulila hakufukuzwa UDSM bali alisimamishwa masomo mwaka 2008 kwa kukosa ada akiwa mwaka wa mwisho, na sasa amerudia mwaka 2010 hivyo yupo masomoni kwa Shahada yake ya BBA.
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 7"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 13%"]
[/TD]
[TD="width: 7%, align: center"]
email.gif
[/TD]
[TD="width: 29%"]E-mail this to a friend[/TD]
[TD="width: 5%, align: center"]
print.gif
[/TD]
[TD="width: 21%"]Printable version[/TD]
[TD="width: 7%, align: center"]
pdf.jpg
[/TD]
[TD="width: 18%"]PDF format[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 7"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 3"]GENERAL[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Salutation[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Member picture
1688.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]First Name:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]David[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Middle Name:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Zacharia[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Last Name:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Kafulila[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="width: 20%, bgcolor: #E9F0F0"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: #E9F0F0"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Constituent:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Kigoma Kusini[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Political Party:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]NCCR-MAGEUZI[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Location:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Box 22 Uvinza, Kigoma[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Phone:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]
[COLOR=#49535A !important] +255 716 426220 [/COLOR]​
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Ext.:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Fax:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office E-mail:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Member Status:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Date of Birth[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 5"]EDUCATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35%, bgcolor: #B4C6DB"]School Name/Location[/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #B4C6DB"]Course/Degree/Award[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Start Date[/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]End Date[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Level[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Uvinza Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1991[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Kiganamo Primary School, Kasulu[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Chumvi Secondary School, Uvinza[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1998[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2001[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Shinyanga Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2002[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2004[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]National Democratic Institution (NDI)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]-[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]BBA[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2006[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2008[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]-[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]CERTIFICATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Certification Name or Type[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Certification No.[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Issued[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Expires[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]EMPLOYMENT HISTORY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB"]Company Name[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Position[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]From Date[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Member - Kigoma South Constituency[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2010[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]NCCR-Mageuzi[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Director[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]MRD[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Director[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]POLITICAL EXPERIENCE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, width: 47%, bgcolor: #B4C6DB"]Ministry/Political Party/Location[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 31%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Position[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 12%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]From[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]To[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]NCCR-Mageuzi[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Party Secretary General[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]CHADEMA[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Information Officer[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2008[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]CHADEMA[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Information Officer - Youth[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 2"]PUBLICATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Description[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Published Date[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]SPECIAL SKILLS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB"]Skill Name or Description[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Years Experience[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Acquired Through[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Skill Level[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 5"]RECOGNITIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Recognition Type[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Recognition Date[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Reason[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Action Taken[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Issued by[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nenda UDSM ukaangalie orodha ya wanafunzi wa mwaka wa tatu.
Next time uwe na ushahidi wa unayoyasema hapa la sivyo tutakupiga ban!
hiyo hapo cv yake kwa web ya bunge
 
Back
Top Bottom