Sanja
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 501
- 229
hebu tuthibitishe na sio kumshambulia mtoa mada .
athibitisheje, ameshaeleza kuwa hajamaliza UDSM sasa wewe unajua tofauti na hivyo ndo tumwagie data. Kosa litabaki kuwa kosa bila kujali nani kalifanya.
hebu tuthibitishe na sio kumshambulia mtoa mada .
Kafulila kama kweli umejimaliza kisiasa...kwa nini usiwe kama wenzako kina Mbowe na Lema, wao kidato cha nne, hawana shinda na BBA.
Wametulia na elimu zao za mtaani
SaharaVoice uko mitaa gani ndugu yangu, uko Dar au Arusha mwaka huu tunauanzaje???? Heri ya Mwaka mpya u can PM for more communication!!!!!!!!!!Mavyuo yoooote haya yamejaa dunia mzima leo unauliza alipata wapi BBA? Kama aliipata Nigeria ulitaka akutaarifu wakati anaenda kuichukua? na kama alisoma mtandaoni ulitaka akutangazie? au BBA ni UDSM pekee?
Nini Maslahi yako KATIKA HILI?Bado ninsistiza, atueleze aliipata wapi na vyeti vyake vipo wapi? inaeleweka kuwa mpo wapenzi wa kafulila ambao mliwahi kuwashikia bango mawazili kadhaa kuwa ni mafisadi wa elimu, tunamtaka na jamaa yenu atueleze alisoma na kupata wapi shahada yake ya kwanza katika BBA na siyo kuja kubwabwaja? Atueleze, amezoea kusema uwongo sasa amekamatwa pabaya waziwazi, ktk hili hawezi kukwepa, akanunue vyeti udsm tuone kama anaweza. Aliipata wapi shahada yake? Umma unataka kujua, siyo kusema sema uongo halafu adhani hatujui
Alikuwa wapi siku zote? Why now? ...just curious!!Mkuu hapa ni suala la kutumwa ama ni mtu kujitokeza na kusema habari hizi ni za uongo nakutoa ushahidi kwamba mwaka fulani Kafulila alipata shahada ya BBA mahala fulani. Mimi binafsi huwa sipendi suala la kusema mtu katumwa. Jamaa katoa tuhuma ni jukumu la Kafulila (kama yupo) ajibu ama wanaomjua wajibu siyo kukimbia ati mtu katumwa. Kama hana hiyo BBA kwa nini akanajisi kumbukumbu za bunge kwa kusema kwamba anayo? Naye anaingia kwenye kundi la Msemakweli Kanerugaba lile la Mafisadi wa Elimu kama kweli hana!!
Kwani Ritz huko Mwandiga wanahitaji BBA, WAO WANAHITAJI MTU MAKINI WA KUPELEKA HOJA ZAO BUNGENI NA MTU HUYO PIGA HUA GARAGAZA NI KAFULILA PERIOD!!!!!!!!!!Kafulila kama kweli umejimaliza kisiasa...kwa nini usiwe kama wenzako kina Mbowe na Lema, wao kidato cha nne, hawana shinda na BBA.
Wametulia na elimu zao za mtaani
Unahitajika kuwa na degree zifuatazo:
1) Kujishinda mwenyewe, ili usiwaibie watz rasilimali kidogo zilizoachwa na mafisadi;
2)Kutambua kuwa wapiga kura ndo waajiri wako, hivyo una-ahidi kuishi pamoja nao na kupata mawazo ya kero zao kila wakati; na siyo kuwa pamoja nao mwaka wa 4.5 ukiwaunanyemelea kuchaguliwa tena;
3) Ufisadi kwako uwe kama kum-tizama mama mkwe sehemu nyeti;
4) Mwenye dhamira hai - unasema unacho maanisha na unatenda hivyo hivyo - tehe tehe, maisha bora kwa ......; ili hali wengine wanatama jana, wanafunzi wamekaa chini, mwalim kakopwa miezi 12 na dktr kakopwa miezi 6 wakati msinziaji pale mjengoni anavuta Sh 200K/day;
Ongeza zingine kwa kadri inavyofaa
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?
Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?
Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?
Malagarasi ni mwajiliwa wa Mbatia, kila akiposti hapa ananyaka mshiko sisi tunamsindikiza, hongera Bwn kwa kazi nzuri !!!!!!!!!!Mtoa mada naona amejiunga JF juzi juzi tu specially kuja kumshughulikia Kafulila humu ndani. Dec 5 alikuja na jina la Wabusara, MaAdmin wakamlima Ban kwa posti zake za kipuuzi, kesho yak Dec 6 akajiunga tena kwa jina la Malagarasi, na toka hapo posti zake zote ni kumhusu Kafulila tuuu....
Malagarasi acha chuki binafsi, hazikufikishi popote.
tunataka atueleze aliipata wapi? hata machali ana haki ya kuhoji iwapo anaelewa kuwa kafulila kalidanganya bunge kuhusu elimu yake?hoja ya msingi ni kafulila atueleze alisoma wapi na lini? kwa kuwa ni kfulila maneno kama ya chuki yameanza,ila kwa lukuvi, nchimbi,mkulo wakihojiwa elimu zao na kuitwa mafisadi wa elimu safi. Atueleze ilipata wapi hiyo BBA