Mto Malagarasi una mamba na Kenge wengi sana
Bado ninsistiza, atueleze aliipata wapi na vyeti vyake vipo wapi? inaeleweka kuwa mpo wapenzi wa kafulila ambao mliwahi kuwashikia bango mawazili kadhaa kuwa ni mafisadi wa elimu, tunamtaka na jamaa yenu atueleze alisoma na kupata wapi shahada yake ya kwanza katika BBA na siyo kuja kubwabwaja? Atueleze, amezoea kusema uwongo sasa amekamatwa pabaya waziwazi, ktk hili hawezi kukwepa, akanunue vyeti udsm tuone kama anaweza. Aliipata wapi shahada yake? Umma unataka kujua, siyo kusema sema uongo halafu adhani hatujui
Mkuu kuna Mbunge alikuwa anaitwa Kihiyo wa Temeke alivuliwa ubunge kwa kosa hilo
Mbatia on work,
We mto wa makambale, mbona kila siku unaibuka na hoja za kumchafua mwenzako? Ulikuja na hbr za uongo, oohhoo, kafulila kachuniwa kwao nguruka, kumbe ulikuwa unahadaa, alipoenda akapokelewa kifalme, wacha uongo na kupaka matope. ujingatu huu wa kutumwa na mbatia
Unataka elimu yake ulimlipia Karo? Ubora wa elimu ni utumishi wake kwa Umma sio vyeti(makaratasi)acha ushamba
Mkuu unapo-post issue hii jaribu kuwa na evidence za uhakika ,ninavyojua mimi vyuo vinavyotoa bachelor ya BBA viko vingi,tafuta ushahidi kama chetu alichowakilisha kinaonyesha ni cha UDSM,hapo tutakuwa tumejiridhisha.
labda kama web ya bunge wamekosea,Imeandikwa BBA-UDSM,wenye data toeni,ili ukweli ujulikane mwsho wa siku.
Ndg yangu Mbugi si afadhari ya Kafulila, kwenye hii serikali na bunge letu tukianza kuhakiki mavyeti ya shule mbona tutaona mengi, mpaka utashangaa mtu kafikaje pale alipo usanii mtupu?????????? Waungwana muacheni Kafulila aweke mambo yake sawa jimboni mwake labda kama wewe mleta mada umatumwa kumchanganya ashindwe kufanya mipango yake vizuri!!!!!!!!!!!Hii biashara uliyoanza kwa vyovyote itakulipa sana, Maana umeonyesha unavyoweza kutii matakwa ya wabaya wa kafulila, ingawa haitushangazi kwani tuliona Bashe, Mzee Ulimwengu na wengine walishassemwa si raia ila baada dill yao kukamilika waliachwa. mwache kafulila ahangaike na kufukuzwa kwake ndani ya chama inatosha.
Mtoa mada naona amejiunga JF juzi juzi tu specially kuja kumshughulikia Kafulila humu ndani. Dec 5 alikuja na jina la Wabusara, MaAdmin wakamlima Ban kwa posti zake za kipuuzi, kesho yak Dec 6 akajiunga tena kwa jina la Malagarasi, na toka hapo posti zake zote ni kumhusu Kafulila tuuu....
Malagarasi acha chuki binafsi, hazikufikishi popote.
Wewe Kazimoto HUNA TOFAUTI NA jOTI wa the COMEDY ya kina Masanja, mbona unashabikia saana, una maslai gani na hii movie????????mjanja kafulila anasa kwenye tundu bovu hakika bado siamini