KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

Haa haa haa, hili povu sio bure. Mimi nikushauri tu unapowasilisha mada kama hizi usipende sana kutumia neno (TU) e.gTunamtaka atueleze, Tunataka Bunge nalo, huu ni mtazamo wako tumia kauli za kuonyesha UMOJA kana namtaka, nataka bunge nalo............

Halafu sidhani kama shida yetu kwa sasa ni kujua nani ana vyeti feki au lah, well inawezekana ni ufisadi, ila jitokeze kwenye kupinga ufisadi wa maana basi, sio huu ambao unaonesha kbs wewe una chuki naye, anyway anza kuanzia ngaz ya juu basi. Kwan ushawah kufkiria JK anapataga wapi maUdokta yake???? Ulifwatilia undani wa Degree ya Mkulo na Lukuvi??Elimu cku hiz utolew kwa njia nying, huitaji kumuona mtu kakalia dawati ndo ujue anasoma unless kazi yako itakuwa ni kuchunguza maisha ya mtu 24/7 hours. Huu ni mtazamo wangu!!!

kweli ni mtazamo wako peke yako...nadhani alichouliza mwanzisha mada hapa ni kitu cha msingi tu.Kama kafulila alifukuzwa chuo na hakuwahi kuimalizia elimu yake pale U.D kama anavyodai kwenye profile yake anao wajiibu wa kudisclose rekodi sahihi.

Usafi wa kiongozi huwa hauji kwa yeye kujua kuzungumza kwenye hadhara tu. Ni mkusanyiko wa matendo madogo madogo ambayo yakitizamwa kwa jicho la mtu mwenye mtizamo wa kuitakia nchi mema, huwa na jumla inayomuonesha kuwa mwenye kukubalika kimaadili. Ikiwa mtu ameanzia kudanganya wananchi kwenye ukweli wa elimu aliyonayo tu,je si kuwa ataweza kutuuza kabisa tukimpa dhamani ya uongozi wa nchi yetu?uu wapi uadilifu na uaminifu wa kiongozi aliouelekeza mwalimu?

Sisemi ni lazima kiongozi awe na elimu ya shahada, la hasha. Mbona Julius Malema wa ANC ni kiongozi shupavu tena anayekubalika sana na wananchi hata kutishia wazee wote wa ANC wakati yeye mwenyewe anakubali kuwa hajasoma???ukweli ni kuwa kiongozi anapoanza kudanganya tu kwenye profile yake mwenyewe sina shaka kuwa huyu ni fisadi in the making..mtu aliye tayari kufanya lolote ili interests zake binafsi zitimie.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?

Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?

Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?
wewe inakuhusu nini, ni bwana ako huyo? ****** yako
 
Malagarasi;
Anza na hawa kwanza, Acha kukurupuka banaaaa..................!

NAKUMBUKA ILIKUA HIVI......................Uozo wa Phd Tanzania

Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:

(1) Salmin Amour – Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!

(2) Pius Ng’wandu – Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!

(3) Mary Nagu – Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.

(4) Emmanuel Nchimbi – Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.

(5) Makongoro Mahanga – Ph..D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.

(6) Didas Masaburi – Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.

(7) Norman Sigallah – Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.

(8) Mafwenga – Ph.D yake sawa na ya Sigallah

(9) Nangale – Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London .

(10) Mathayo David – Ph.D ya kujipachika.

(11) Mutamwega – Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.

(12) Lukuvi – Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C..

(13) Samuel Chitalilo – Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!......................Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu.
Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!
Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu!
Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.
 
Nimejaribu kuchungulia kweli katika site ya bunge na nimekutana na hii

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 5"]EDUCATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35%, bgcolor: #B4C6DB"]School Name/Location [/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #B4C6DB"]Course/Degree/Award [/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Start Date[/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]End Date[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Level[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Uvinza Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1991[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Kiganamo Primary School, Kasulu[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Chumvi Secondary School, Uvinza[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1998[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2001[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Shinyanga Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2002[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2004[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]National Democratic Institution (NDI)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]-[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2009[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]BBA[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2006[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2008[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]-[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
CERTIFICATIONS


Sasa ninavyofahamu mie mlimani wanatoa BBA kwa miaka 3 hapa ingepaswa kuwa hivi:
2006-2007 = 1year
2007-2008 = 2year
2008-2009 = 3year completion

Tuache unafiki inaonyesha kweli jamaa yetu katumbambikia kwa bahati mbaya site ya udsm ipo katika maintenance hivyo imekuwa vigumu kupata data kwa undani kwa waliomaliza bba mwaka 2008. Ila jamaa ajitokeze ajibu tuhumu hata kama zimechelewa kuja sio tumtetea yeye ndo kama mbunge kijana anatakiwa kuwa mfano wa kupinga ufisadi mbona tumeshawajadili wengi hapa wa chama tawala akiwemo Dialo(startv) masaburi na wengineo sasa ni zamu ya Kafulila kutuambia ukweli
 
Naomba kujua kama alihutubia kwenye arusi kama ulivyotuhabarisha siku za nyuma
 
Ninachojua ni kuwa baada ya kufukuzwa alikuwa anafundisha tuisheni pale magomeni kikwajuni. mara nikamsikia yuko chadema.
 
Kweli Bongo noma kila siku linazuka jambo jipya,kweli ukiwa mwanasiasa unatakiwa kuwa na moyo mgumu.
 
Hakuna haja ya kutafuna maneno hapa miaka miwili iliyopita hoja ya vyeti vya kughushi na bandia ilijadiliwa sana hapa. Cha msingi tutumie falsafa ya Kifaransa "you are guilty until you prove your innocence" Mh. Kafulila just scan your certificates and post them hapa JF. Na ile list ndefu ya akina Lukuvi, Mary Nagu etc wafanye hivyo au kwa vile wengi ni CCM ofisi ya Bunge ikisimamiwa na Dr. Kashililah wafanye uhakiki. Hii habari imetupwa kapuni kwani ukiona hivyo wengi wana affidavit za kupotelewa na originals na watakuambia vyoo havipo tena vimefilisika tumechoka kuongozwa na vihiyo matatizo yameanzia huko.:A S 465:
 
Hii ni weakness kubwa sana ya Bunge la Tanzania kwani hawachukui muda kuhakiki vyeti vya elimu vinavyotolewa na wale wote wanaogombea ubunge na ndio maana hata kwenye uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki kulikuwa na wengi waliotoa vyeti vya kugushi vya PH.D na wengine wakafaulu kuchaguliwa kuwa wabunge onlly to to be a disgrace to the country kwenye michango yao huko mbele ya wenzao wenye shahada zilizokamilika!! Hopefully this time watarekebisha kasoro hizi na kuhakiki vyeti vya wagombea wote na wale wenye vyeti feki wawe disqualified.
 
Sidhani kama Malagarasi ana wivu wa kike. La hasha!! Hoja yake ni ya msingi kabisa. Kumbuka mojawapo ya kazi ya bunge ni kutunga sheria. Sasa mtu kihiyo, hajaenda shule atatutungia sheria gani? Ndio maana nchi inaenda kombo kwa sheria mbovu za mikataba ya madini na uwekezaji. Tanzania inahitaji wabunge wasomi wa kweli!

Utasikia kila leo serikali inapeleka miswaada bungeni ya kubadili vifungu vya katiba kwa maslahi ya wachache!! Kazi ya wabunge vihiyo wa namna hiyo, ni kugonga meza tu na kusubiri posho!! Kugushi vyeti ni kosa la jinai! Kwa nchi zinazofuata utawala wa sheria, wale wote wenye makosa ya namna hiyo, hufukuzwa mara moja na kufunguliwa mashitaka! Wanaomtetea mtu wa namna hiyo kwa sababu ya ushabiki tu wa kisiasa bila kujali athali zake katika jamii, ndio wenye wivu na mang'amuzi ya kike!!
 
Hivi Kafulila ni member humu JF??
Kama sio basi mtoa mada umebugi,
a.k.a umeingia choo cha kike!!!
Kama sio member humu kwa kijana, mwanasiasa kama yeye, hiyo ni kasoro pia. Anaogopa nini? Hoja?
 
najisikia vibaya kuibua hii thread maana inamhusu miongoni mwa watu niliokuwa nawaheshimu sana hapo kabla.

Hivi visa sasa vinaanza kuashiria majibu ya maswali yaliyomshinda rais wetu, Mh. Alhaji Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa "hajui ni kwa nini Tanzania ni masikini"!

Hii ndiyo nguvukazi tunayoitegemea lakini kama yote inakuwa na utata wa namna hii, kumbuka hawa wachache ndio wamejitokeza 'boldly' kuongea juu ya matatizo ya nchi lakini wako na utata wa elimu, je tunaweza kuwaamini!? Na je, hakuna wengine ambao hawajajulikana bado lakini wanatolea maamuzi juu ya matatizo ya nchi huko maofisini!?

Japo suala la Mh. Mtatiro silioni kama ni baya sana (kuna thread hapa inaliongelea) lakini huwa hali kama hii inapunguza confidence ya mtu katika kutoa maamuzi.
jamaa ashawahi kuwa accused na wana CUF wenzanke over this matter...ila akajibu na kudai majina yote manne ni yake yaani Julius Sunday Charles Mtatiro...ila kipindi cha nyuma akiwa anasoma shule y msingi alikua anatumia hilo la Sunday Charles kabla ya kuswitch kwenda Julius Mtatiro kwenye elimu za Juu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?

Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?

Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?

Fuatilia wengine achana na kafulila.wako humo tuna wajua hakuna shule,nafikiri bunge letu halichuku originals for comfirmation ni hatari sana,hii yote ni ujanjaujanja usiokuwa na mwisho wa mfumo mzima wa uongozi,maana hii haina tofauti na tume ya maadili wakitaka kufanikiwa wabadili sheria na watangaze hadharani mali za viongozi kisha sisi tuwaongezee ambazo hawajaziandika.
 
Thread kama hz s za kujadili kuna masuala meng ya kuadil nayo kwa manufaa ya wa-TZ c kudil yasotakikana,mlianza na January M,tena David K,kesho?tujadili vipaumbele vya kuondoa ukata japo tuna utjl TZ
 
Back
Top Bottom