kwa hiyo hata yule aliesema kafulila aliahirisha masomo 2008 na sasa anaendelea na masomo amethibitisha kwamba kafulila amedanganya.sioni kosa la mwanzisha huu uzi unless kuna watu humu hawastahili kuongelewa.[table="width: 100%"]
[tr]
[td="width: 35%, bgcolor: #b4c6db"]school name/location[/td]
[td="width: 27%, bgcolor: #b4c6db"]course/degree/award[/td]
[td="width: 15%, bgcolor: #b4c6db, align: Center"]start date[/td]
[td="width: 13%, bgcolor: #b4c6db, align: Center"]end date[/td]
[td="width: 10%, bgcolor: #b4c6db, align: Center"]level[/td]
[/tr]
[tr]
[td="bgcolor: #e9f0f0"]uvinza primary school[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]primary education[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]1991[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]1996[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]primary[/td]
[/tr]
[tr]
[td="bgcolor: #e9f0f0"]kiganamo primary school, kasulu[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]primary education[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]1997[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]1997[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]primary[/td]
[/tr]
[tr]
[td="bgcolor: #e9f0f0"]chumvi secondary school, uvinza[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]o-level education[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]1998[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2001[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]secondary[/td]
[/tr]
[tr]
[td="bgcolor: #e9f0f0"]shinyanga secondary school[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]a-level education[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2002[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2004[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]high school[/td]
[/tr]
[tr]
[td="bgcolor: #e9f0f0"]national democratic institution (ndi)[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]-[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2009[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2009[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]certificate[/td]
[/tr]
[tr]
[td="bgcolor: #e9f0f0"]university of dar es salaam[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]bba[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2006[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2008[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]graduate[/td]
[/tr]
[tr]
[td="bgcolor: #e9f0f0"]fedrick elbert stiftung (foundation) fes[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]-[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2007[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]2007[/td]
[td="bgcolor: #e9f0f0, align: Center"]certificate[/td]
[/tr]
[/table]
academic background yake ni hii hapa. Mimi nadhani wale wanaoitwa investigative journalists wafanye kazi kisayansi kwa kutembelea shule moja hadi nyingine alizosoma ili kujiridhisha mana majina ya vyuo na miaka aliyosoma imeanikwa. Nadhan baada ya uchunguzi huo, majibu ya maswali yetu tutakuwa tumeyepata.
Bado ninsistiza, atueleze aliipata wapi na vyeti vyake vipo wapi? inaeleweka kuwa mpo wapenzi wa kafulila ambao mliwahi kuwashikia bango mawazili kadhaa kuwa ni mafisadi wa elimu, tunamtaka na jamaa yenu atueleze alisoma na kupata wapi shahada yake ya kwanza katika BBA na siyo kuja kubwabwaja? Atueleze, amezoea kusema uwongo sasa amekamatwa pabaya waziwazi, ktk hili hawezi kukwepa, akanunue vyeti udsm tuone kama anaweza. Aliipata wapi shahada yake? Umma unataka kujua, siyo kusema sema uongo halafu adhani hatujui
na kambale wa kutosha
Bado ninsistiza, atueleze aliipata wapi na vyeti vyake vipo wapi? inaeleweka kuwa mpo wapenzi wa kafulila ambao mliwahi kuwashikia bango mawazili kadhaa kuwa ni mafisadi wa elimu, tunamtaka na jamaa yenu atueleze alisoma na kupata wapi shahada yake ya kwanza katika BBA na siyo kuja kubwabwaja? Atueleze, amezoea kusema uwongo sasa amekamatwa pabaya waziwazi, ktk hili hawezi kukwepa, akanunue vyeti udsm tuone kama anaweza. Aliipata wapi shahada yake? Umma unataka kujua, siyo kusema sema uongo halafu adhani hatujui
tunataka atueleze aliipata wapi? hata machali ana haki ya kuhoji iwapo anaelewa kuwa kafulila kalidanganya bunge kuhusu elimu yake?hoja ya msingi ni kafulila atueleze alisoma wapi na lini? kwa kuwa ni kfulila maneno kama ya chuki yameanza,ila kwa lukuvi, nchimbi,mkulo wakihojiwa elimu zao na kuitwa mafisadi wa elimu safi. Atueleze ilipata wapi hiyo BBA
dah kama hana hata BBA basi shukrani mbatia kwa kumpa muda aende akajipange vizuri zaidi
Ehe Bwn we data hizi ulizikusanya muda gani??????? Mbona hii ni hatari tupu, wote hao ni viongozi tena wa juu, Tanzania yoote basi haina uzima kwenye elimu imeoza!!!!!!!!!!NAKUMBUKA ILIKUA HIVI......................Uozo wa Phd Tanzania
Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:
(1) Salmin Amour Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
(2) Pius Ngwandu Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!
(3) Mary Nagu Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.
(4) Emmanuel Nchimbi Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.
(5) Makongoro Mahanga Ph..D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.
(6) Didas Masaburi Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.
(7) Norman Sigallah Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.
(8) Mafwenga Ph.D yake sawa na ya Sigallah
(9) Nangale Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London .
(10) Mathayo David Ph.D ya kujipachika.
(11) Mutamwega Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.
(12) Lukuvi Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C..
(13) Samuel Chitalilo Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!......................Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu.
Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!
Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu!
Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.
Mkuu RAU ndio maana tunakazania katiba mpya, maana mambo kama haya yatawekwa wazi mtu ukitaka kazi hata ya ubunge ufanyiwe uchunguzi na tume maalumu ya uajiri ( service commission ) kujua sifa zako!!!!!!!! Vinginevyo kwa wakati huu tunatwanga maji kwenye kinu!!!!Elimu ni chungu kuitafuta lakini tamu kuitumia.
Inawezekana anayo elimu husika au hana. Tumejiuliza ni wangapi wanafaidika na vyeti vya elimu ambayo hawana?
Tume ya uchaguzi inafanya uhakiki wa vyeti kwa wagombea kwa kina kiasi gani? je inatambua kwamba tunataka kuwakabidhi majukumu ya uongozi wagombea inaowapitisha waliogushi vyeti?