No.kama hana shule ni hana tu.
Kwa nini adanganye?
Unajua watanzania tatizo letu ndio hili, tunapenda sana kudanganywa na tukiambiwa ukweli bado tunaendelea kulala tu tukisubiri tuamshwe!!!!!!!!!!!!!!!
Kafulila kama amedanganya awajibishwe.na sio yeye tu hata viongozi wengine waliogushi vyeti waburuzwe kunako sheria