Habar JF,
Nadhan wengi mtaniunga mkono:
1.Kuna hiki king'amuzi cha startimes ambacho kusema ukweli cjui kwa nini kimekaa kiubabe ubabe,kwan hata huduma kw wateja hawana majibu ya kutosha juu ya kuondolewa au kuto onekana vizur kwa channel kama vile 'strach'ambazo zimekuw kero kw hiki king'amuz,pia UBORA wa picha ni ovyoooo kabisa,zimepauka na hazina mvuto,yaan kama ulikuw unaangalia dst au ungo,ukarud kweny startimes unaweza kuw kichaa jinsi kilivyo na ubora mdogo tena haswa,pia namba za chaneli hazielewek zime ruka_ruka bila utaratibu mara 105,107,108,111 hata hakieleweki,pia kuna sababu gan ya kuzui chaneli za kitanzania? Mpaka DTV;Tumain,Clouds yaan ..
2.Kero yangu ya pili ni bahadhi ya chaneli na TV na Radio hapa nchini zina tabia ambazo me sizielewi,mfano wanataka watazamaji na wackilizaji wachangie mada fulan kw njia ya cmu,alafu wanatoa namba za cmu ambazo watu weng hawatumii hiyomitandao mfano TCCL n.k amabazo wa TZ weng hawatumii,sasa lengo hasa ni nn?
Cku njema.