Mkuu siasa za DRC ni complicated unaweza dhani A kumbe ni B. Mfano huko Ituri ana dhamini makundi ya Waasi kwa wazi kabisa.
Upande wa pili Fatshi amepunguza masalia ya Kabila kwenye kitengo. Kuanzia yule mkuu wa counter intelligence mpaka ''TISS'' yao kina Mutond, hadi majenerali. So kuna confusion kiasi.
Ila ilitazamiwa kwamba Kabila bado ni power nyuma ya kiti cha Rais ni wachache walitegemea Fatshi atafurukuta kwenye ushawishi wa Kabila. Na mwisho wa siku who knows anaweza zidi au kuzidiwa kete kulingana na alivyojipanga.
Basi Kabila naye alimu anderweigh jamaa kama aliamin hata furukuta.
Power ni kitu kingine hata kama yeye ndio alimpa (kama inavyodaiwa).
Kwa misukosuko aliyopitia dingi ake wa huyu rais Tshekedi chini ya utawala wa kabila mpaka mauti yanamkuta, Joseph kabila hakupaswa hata kidogo kufikiri atam manage Fatshi.Isingewezekana.Je ni miscalculation alifanya au aliamua kuupuzia uhalia wa mambo anakuja kushtuka mambo si mambo?
Anyway, kwa mtazamo wangu, Rais Tshekedi, bado hajamaliza kazi ya kum neutralize Kabila ,bado..ana kaz kubwa tu ya kufanya na hasa ukizingatia hiv sasa ambapo ameingia bungeni.Asilale, awe naplan B ya kukabiliana na tishio la Kabila.
Pia , mara nyingi rais anapostaaf, ni kama anakua kastaafu siasa kwa ujumla, endapo katiba haimrusu kujishughulisha na majukumu ya kitaifa openly n legally.
Lakin kwa hili la Kabila kurudi bungeni ka seneta, inampa mamlaka ya kugain influence so mbali na zile siasa za chini kwa chini za hila na vificho, jamaa naona ataitumia kuweka mtandao wake kwa namna nyingine ambao unaweza kumpa tabu Rais Tshekedi