Kwa uhuni alioufanya Tshekedi kwenye uchaguzi nchini Congo kuna mtu atamuonea huruma tena

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,393
5,241
Matokeo ya awali yanaonyesha Rais Tshekedi anaongoza kwa asilimia 80 , huku mpinzani wake wa karibu akiwa na 15% pekee

Imekuwa ikiripotiwa hujuma za wazi kwenye uchaguzi nchini Congo kama vile kukutwa na kura zilizopigwa kwenye masanduku ya kupigia kura, vitisho na uhesabuji kura usiokidhi vigezo ukimbeba Tshekedi

Congo imekuwa ikikumbwa na vikosi vya kiharifu vya msituni kama M23

Rais Tshekedi amekuwa akijiliza na kutia huruma kuomba msaada na kumlalamikia Rais Kagame kama ni mfadhili wa wanamgambo hao

Lakini kwa hujuma na kubinya democracy kwa Wakongoman alioufanya huyu bwana basi nasema kila anayeweza kumtwanga afike ajipigie tu
 
Back
Top Bottom