Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,704
- 10,877
Wakuu salaam.
Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu
mtu chake
zitto junior
mng'ato
Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA.
Na kama kumeanza kuwa na chokochoko za "adjustment ya katiba" ya congo ili rais achaguliwe bungeni badala ya utaratibu unaotumika kwa wananchi kumchagua rais wao.
Huyu bwana hawez aka influence mabadiliko ya kumrudisha kwenye kiti cha enzi kwa mara nyingne??....
Wanasema ukionja nyama ya mtu katu hutaacha kuila.
Ndio maana kwa walioishi kando ya mbuga (na refer Ruaha national park), wanasema ilikua ikitokea simba kavamia kijiji akala mtu , bas dawa ni lazima huyu kiumbe spefically lazima auawe vinginevyo atarud tena kwenye maboma ya watu kufanya kweli tena kwa mara nyingine na kusababisha madhara.
MZEE BABA KAREJEA TENA kwa namna fulan kwenye siasa za congo na hasa ukizingatia ushawishi alio nao, mnadhan haiwezi ika chochea mabadiliko kwa mwelekeo wa siasa za Congo.
Nawasilisha!!!! Karibun kwa mitazamo yenu.