Wewe mwenyewe kabila gani, then oa hilohilo! iyo moja,
Pili tangaza sifa unazotaka utapata kutoka kabilia lolote,
Zaidi ya hapo Kaoe wa Machame
Kabila la mamaako ndio zuri, au?
jamani wana jf, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu ,ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na....
mimi mtu wa tanga,
napenda mke mpole, mchangamfu, mtanashati, mzuri, mweupe,mwenye mmaneno mazuri na pia awe wa dini yoyote ila tutakubaliana kuwa nani abadili dini? napenda awe kabila lolote ambalo laweza kuwa zuri.
jamani wana jf, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu ,ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na....
Mkuu oa kati ya hawa: mkwerea, mzaramo, mrangi, singida line. Wametulia sana mkuu. All the best.