Duniani kuna makabila mawili tu. Kabila la kiume na Kabila la kike. Mwanaume aoe kabila la kike na mwanamke aolewe na Kabila la kiume. Mengineyo ni mbwembwe tu. Katika hayo makabila haijalishi kama ni mzungu,mwafrika ,mhindi,mfupi, mrefu,mnene,mwembamba nk