SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,309
- 2,221
Habari wana jamvi,
Bila shaka leo nimekuja kuzungumzia suala zima la malezi haswa kwa wazazi wa upande mmoja,nowdays wanajiita sigles as (singomaza).Masingo maza natamani sana mpitie huu uzi ili mjifunze jambo
Kumekuwa na jopo au kundi wamekuwa singomazaz na hawajali kabisa kuwa katika hali hiyo,maana yangu ni kwamba wamechukulia suala la kuishi bila wazazi wenza ni kama jambo la kawaida,
Ila,niseme tu au nielezee kuwa hali hiyo si nzuri kabisa,mniwie radhi wanawake kwa kuwa nimekuwa nikiwatag sana,Ila hata wanaume pia wapo katika kundi hili.
Nimejaribu pia kufanya tafiti na nikagundua kuwa hali hii haswa inawakiuta watu ambao waliingia katika ndoa kwa kulazimishwa au tamaa ambazo pia kwa hali ya karne ya leo tamaa imekuwa na uzito mkubwa sana katika kuvunjisha sana ndoa za maelfu ya watu hapa duniani.
Mimi si mshauri kwa suala la ndoa japo kidogo ninauelewa kwasababu nimefanya tafiti nyingi katika jamii nilizowahi kuishi lakini pia nimekuwa nikifuatilia sehemu mbalimbali kutokana na utanzdazwazi hivyo ninaelewa.
Leo kumekuwa na watu ambao wakuamua kuvunja ndoa hata kesho tu inawezekana na ni rahisi tu,Japo sio mbaya hii inaweza kutokea sidhani kama no mbaya kwa sababu wahenga waliwahi kusema “siri ya mtungi aijuaye kata” lakini chanzo unaweza ukakuta ni mali au tamaa za kijinga tu(huo ni upumbavu mkubwa sana).
Ila,je wanaoamua kutengana na kila mtu kuishi kivyake na walikuwa wameshapata familia wanajua changamoto na matatizo wanayoyajenga kwa miaka ijayo?
Hivi wewe mdau unahisi ni jamii ya aina gani ambayo inajengwa baada ya ndoa kuvunjika,na ikiwa jamii hiyo ni mbaya na ili ikomeshwe ni njia gani zitumike?