Kabila gani zuri jamani la kuoa?

Kabila gani zuri jamani la kuoa?

Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na.

heri yako unayeoa kabila na sio mke.
 
Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na.
Kabila lako,,,,,,,,
 
Kwa sasa una umri gani na unafanya kazi gani nijibu hayo afu Nakula jibu wewe unayetaka kuoa.
 
ukiona mtu anaulizia kabila la kuoa miaka ya 2014 ujue bado kuna watu wanaendelea na evolution... Hukawii kukutana na Homo halibis kitaa

hiyo issue ilikua karne zilizopita
 
Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na.

Mama ako au baba ako kabila gani kama lako ulijui? Oa kabila mwaya na si mwanamke...
 
ukiona mtu anaulizia kabila la kuoa miaka ya 2014 ujue bado kuna watu wanaendelea na evolution... Hukawii kukutana na Homo halibis kitaa

hiyo issue ilikua karne zilizopita

Hapana Mkuu, huko ni mbali sana, umbo la Homo habilis ni rahis kuligundua na kumkwepa, atakuwa Homo sapians maana kwa sasa tuko kwenye kizazi cha Homo sapians sapians ambacho, ingawa kimaumbe kinafanana na Homo sapians lakini kina akili na sayansi imekifanya kiwe huru zaidi.
 
kabila lako
Sababu mila na tabia mtakuwa mnaendana so hutoona kasoro

Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru Mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na.
 
Wanaume wa kikurya hawana simile, ukimchukulia mkewe yeye hakugeuzi, bali anakumaliza kabisaaaaa ili asikuone kwenye uso wa dunia baaasi!

Mkuu, lakini yeye alimaanisha kabila zuri la kuoa kwa maana kwamba anatafuta mwanamke kutoka kabila fulani. Sasa ndo mdau mmoja kasema kama unahitaji kipondo, oa mwanamke wa kikurya, ni kweli kwamba hawa wanatembeza kipondo kwa waume zao ?
 
mke hutoka kwa MUNGU,
Ila kama unataka kujua kabila lipi zuri ukatafute mke ni kama ifuatavyo
1. msukuma
2.muha
3.mpogoro
ukipata kutoka kwa haya makabila ni bora sana rakini uombe sana toka kwa MUNGU maana watoto wanaolelewa na haya makabila mara nyingi huwa wanavumilia shida
 
oa mrangi, ni wanawake wazuri, watamu na wamejaaliwa maumbo mazuri, pia wana tabia nzuri sana na ni wapole, wacheshi na wenye nidham kubwa. so bro ingia kondoa

na sio wachoyo,wanagawa kianzia kwa baba mkwe,shemeji,binamu,wajomba.....ongezea
 
Back
Top Bottom