Kabila gani zuri jamani la kuoa?

Kabila gani zuri jamani la kuoa?

jamani wana jf, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu ,ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na....

Oa mwanamke, usioe kabila.
 
Kaoe Mkisii wa kenya maana kabla hujavua suruali/chupi anaanza kupiga kelele na kukata kiuno
 
jamani wana jf, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu ,ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na....

je fikra zako ndio zina kufanya uoe na wala sio pesa na kazi kua kifikra mkuu
 
jamani wana jf, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu ,ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na....
oa mrangi, ni wanawake wazuri, watamu na wamejaaliwa maumbo mazuri, pia wana tabia nzuri sana na ni wapole, wacheshi na wenye nidham kubwa. so bro ingia kondoa
 
oa mrangi, ni wanawake wazuri, watamu na wamejaaliwa maumbo mazuri, pia wana tabia nzuri sana na ni wapole, wacheshi na wenye nidham kubwa. so bro ingia kondoa

na wana huruma hata kwa wanaume wa nje
 
oa mrangi, ni wanawake wazuri, watamu na wamejaaliwa maumbo mazuri, pia wana tabia nzuri sana na ni wapole, wacheshi na wenye nidham kubwa. So bro ingia kondoa
na pia si wachoyo...
 
Unaulizia kabila unataka tambiko au ndoa mkuu??
 
Kila kabila lina wahovyo wake na wazuri wake. Angalia familia yenu wote mko sawa? Jipange upya
 
tafuta asiyekuwa na kabila

Kweli kabisa!

Kwa mfano huyo mtu ni kabila gani?

Baba Mmasai, mama Mbondei. Babu mzaa baba Msukuma na bibi Mkinga. Babu mzaa mama Mmakonde na bibi Mhaya.

Sasa huyu jamaa kabila gani? Hamna kabila hapo - ni Mtanzania tu.
 
kaoe kwenu, au hata kabila lako huliamini!!
 
Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na.

Puh! wee vipi! ukabila unanafasi gani katika dunia ya leo. hayo mambo yalikuwepo kipindi watu hawakua na elimu. Acha mambo ya Ukabilla ni upuuzi tu. Hakuna mtu ajali tena upuuzi huo.
 
Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na.

Kaoe Masai uone moto
 
kabila lolote kaka ila mradi tu asiwe mchaga, muiraq, mnyiramba ,mnyaturu, mjita na mkerewe. hao waogope sana
 
Back
Top Bottom