KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,053
Tabia mbaya haina kabila...ndugu yangu...omba mungu akupe mke mwema..mwenye tabia njema..........
kabila lolote kaka ila mradi tu asiwe mchaga, muiraq, mnyiramba ,mnyaturu, mjita na mkerewe. hao waogope sana
kwa nini ?kabila lolote kaka ila mradi tu asiwe mchaga, muiraq, mnyiramba ,mnyaturu, mjita na mkerewe. hao waogope sana
Haiwezekani Msukuma na Mkinga wakazaa Mmasai na haiwezekani pia Mmakonde na Mhaya wakazaa Mbondei.Kweli kabisa!
Kwa mfano huyo mtu ni kabila gani?
Baba Mmasai, mama Mbondei. Babu mzaa baba Msukuma na bibi Mkinga. Babu mzaa mama Mmakonde na bibi Mhaya.
Sasa huyu jamaa kabila gani? Hamna kabila hapo - ni Mtanzania tu.
Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi. Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na.