JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

Kagame anawapasua sana vichwa jengeni uchumi wenu acheni kushabikia vita na Rwanda, hivi mkimpiga kagame tutafaidikaje sisi wabongo?
 
Kweli mkuu upo sahihi, Rwanda Inatisha wale JWTZ ni maneno tu lakini hamna kitu. Ndiyo maana walimsema sana Idd Amin mpaka akaondoka kwa hiyari ikulu ya Kampala. Hawakuishia hapo wakaenda kuwasema kweli Wareno wa Msumbiji mpaka wakaona haya wakaondoka wenyewe kwa hiyari na kuiacha Mozambique ipate uhuru wake. Wamewasema sana makaburu wa South Africa kabla ya uhuru wa SA mwaka 1994 . Walikuwa tayari wameshaandaa maneno yao ya mipasho dhidi ya Kanali Bakari kule ANJUAN Comoros mpaka jamaa kwa aibu kubwa akajifunga baibui akakimbia.
Hawa JWTZ hovyo sana nasikia pia waliwasema sana wakoloni huko Angola,Namibia na Zimbabwe mpaka makaburu wakawa wanaona aibu.

JWTZ ni maneno tu ndiyo wanaweza lakini vita hawawawezi watutsi, SI ETI EENH?

Wewe lazima utakuwa ni mhamiaji haramu hiyo Mifano yako ni Fake kumbuka Kulikuwa na Kambi za kijeshi pale moro lushoto na sehemu zingine zilisheheni Asikari wa ANC wa South Africa ,Namibia msumbiji na Nchi zote tulizodhamilia kuzikomboa na haikuwa vita za maneno zilikuwa vita za vitendo Ndio Maana ukombozi ulipatikana na Idd Amin alivamia Tz akachapwa mpaka akakimbia mwenyew
e acha hizo
Ujamwelewa nini ananisha alicho kiongelea hapo ndiyo kilicho fanywa na JWTZ kwa si anabeza.
 
564398_1415191908696865_1439013282_n.jpg

tunawakamata , tutawachapa na kuwanyonya macho popote walipo
Huyu baba inaelekea aliponea chupuchupu mahali, maskini, only his brains knows !
 
Dah inawezekana ikawa kweli.Lakini ngoja tuone kama m23 hawata ibuka
 
Kagame anawapasua sana vichwa jengeni uchumi wenu acheni kushabikia vita na Rwanda, hivi mkimpiga kagame tutafaidikaje sisi wabongo?

Nchi jirani zote zitaishi kwa amani na tatizo la wahamiaji haramu litapungua
 
Ili kuondoa ubishi, jeshi hilo la umoja wa mataifa ningewaua tu hao manajeshi ili tusikie nani atalalamika! Hiyo ndio njia pekee ya kumkamata PK.

Mkuu umeona mbali, wawaue ili tuone malalamiko yatatoka wapi.
 
Back
Top Bottom