JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,573
ASKARI wa UMoja wa MAtaifa wanaolinda amani nchini KONGO (Monusco) , Wakiongozwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) , wamedai kuwakamata maofisa wanne wa ngazi za juu kabisha Wa Jeshi la RWANDA wakiwa wanawasaidia waasi wa M23. MAAFISA hao wanashikiliwa kwa mahojiano

Habari imeendelea kusema kuwa kukamatwa kwa MAAFISA hao na kusambaratishwa kwa waasi wa M23 kumefanikisha kushinda vita hiyo kwa 95% na kwamba tayari Monusco wanaoongozwa na JWTZ wameanza kufurahia ushindi huo na kwamba sasa hivi wanasubiri tamko kutoka kwa wakuu wao, ili kufahamu kinachofuata baafa ya kufanikisha hatua hiyo.

SOURCE:MTANZANIA.
 
Hii vita haipaswi kuishia congo. Twende hadi kigali tukamtoe mkondefu masikio punda. Jwtz go go. Huwez kucheza na tz nyani wewe kagame
 
Waliowakamata nikuwatia adabu mpaka waseme kila kitu alichowatuma kagame wafuate congo.
 
The end of political propaganda the beggining of war propaganda.
 
Vizuri sana maana huyo rais anakataa kuwa hashiriki sasa imethibitika 😕😕
 
Back
Top Bottom