JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

Hizi ni cheap propaganda na za ki-toto. Hao maofisa wa ngazi za juu wa Rwanda ni kina nani? what are their ranks? Hivi mnafikiri Rais Kagame ni mjinga kiasi hicho? Wa-Tanzania tusikubali kuhadaiwa na uongo mwepesi namna hii? Mara waseme wamewakimbiza kutoka kwenye stronghold mara wamewakamata maofisa wa ngazi ya juu? What's with the pre-occupation with only the M23? there are over 17 rebel factions mbona hamna mtu anawapa attention? Double standards hizi. But then again it is the UN at play - a bogus toothless debating club. Haya mtuletee na habari za wanajeshi wa jeshi la DRC na MONUSCO wanavyowabaka wakina mama na watoto huko mashariki ya DRCongo. Au mnajifanya hamyajui hayo?
 
M23 wote ni Jeshi la Rwanda na kamanda wa m23 anapokea amri na huduma toka Makao makuu ya Jeshi la Rwanda hivyo sishangai kusikia maofisa hao wamekamatwa kwani M23 na jeshi la Rwanda ni Sawa na Jkt na Jwtz wanavyoshirikiana hapa tz hivyo M23 ni jeshi la Rwanda na 80%ya Asikari wake ni Raia wa Rwanda Ndio Maana wanaongea kiswahili kizuri Kumbuka m23 na vikundi vingine vya waasi toka Uganda wapo Congo kwa lengo la kufanikisha Wizi wa Rasilimali za Congo na kumpatia Utajiri mkubwa kagame ambao umemwezesha Kuwa na Jeshi kubwa sana ambalo huenda likaja kumletea Balaa kubwa siku m23 wakitokomezwa kisha Kagame akashindwa kuiba Madini Congo na kukosa Pesa za kuligharamia Jeshi lake kubwa .
 
Hizi habari za vyanzo vyetu bila kupata any words from the AUTHORITY either MUNUSCO spokesmen hazina ukweli. Mwandishi aweza kudanganywa na hicho chanzo mathalani ni Coplo wa Jeshi la JWTZ anaependa kujisifia kwa ndugu zake waliopo Tanzania> Nimechungulia vyombo vingi vya habari mbaka muda huu hakuna kitu cha namna hiyo ati!! Tusubirie uhakika wa habari kuliko kufanya SIASA katika hili!! Ushabiki ni uzandiki ati!!
 
News kwa wajinga hizi wasiofikiria.

Ni hatari kweli, km hata news zisizo na mshiko zinaaminika hivi...! Ila km ni kweli basi jeshi letu ni la ajabu kweli majuzi Major kauawa ambapo ni aibu kufa ofisa wa nafasi hiyo na hakuna hata na private mmoja aliyekufa ... ghafla jeshi lisilo na major kuongoza majeshi ya UN...?
 
M23 wote ni Jeshi la Rwanda na kamanda wa m23 anapokea amri na huduma toka Makao makuu ya Jeshi la Rwanda hivyo sishangai kusikia maofisa hao wamekamatwa kwani M23 na jeshi la Rwanda ni Sawa na Jkt na Jwtz wanavyoshirikiana hapa tz hivyo M23 ni jeshi la Rwanda na 80%ya Asikari wake ni Raia wa Rwanda Ndio Maana wanaongea kiswahili kizuri Kumbuka m23 na vikundi vingine vya waasi toka Uganda wapo Congo kwa lengo la kufanikisha Wizi wa Rasilimali za Congo na kumpatia Utajiri mkubwa kagame ambao umemwezesha Kuwa na Jeshi kubwa sana ambalo huenda likaja kumletea Balaa kubwa siku m23 wakitokomezwa kisha Kagame akashindwa kuiba Madini Congo na kukosa Pesa za kuligharamia Jeshi lake kubwa .
 
Ili kuondoa ubishi, jeshi hilo la umoja wa mataifa ningewaua tu hao manajeshi ili tusikie nani atalalamika! Hiyo ndio njia pekee ya kumkamata PK.
 
Amri iliyobaki tunaomba tuingie hadi kwenye kiini yaani Kigali na kumtoa kagame. Bila kumtoa kagame tutakuwa hatujafanya kitu.Ni sawa na kukuna kidonda
 
Ushabiki mwingine bana kila nasikia sikia,MUNOSCO ikiongozwa JWTZ sisawa hata,kuna wasouth AFRICA huko,sipendi ushabiki wa kijinga
 
Mmiliki wa gazeti hili kaleta umaskini katika nchi yangu kuliko hata Kagame
 
Wamewakamata wa nini? Si wangewachapa risasi za vichwa wakamaliza kazi tu? Kuendelea kuwashikilia ni kuongeza mzigo usokuwa wa maana tu. Piga hao Kagame type wakubwa.

Kazi nzuri!
 
Kauli mbiu => Rwanda Bila Wizi Congo Kagame atalala njaa . Kumbuka Rasilimali za Congo Ndio mhimili wa uchumi wa Rwanda Hakuna pato kubwa zaidi ya wizi wa Madini toka Congo Wizi ambao umekuwa kiwanda cha kuzalisha Lundo la wakimbizi huku Tanzania Akiwa mwathilika wa ukimbizi na uhamiaji haramu
 
Rwanda haiko kama mnavyojidanganya nyuma ya keyboard, udogo wa nchi sio hoja, refer vita ya Eritrea na Ethiopia, Kagame ana jeshi kubwa na uwezo wa kifedha kuendesha vita, nchi yetu ni Kubwa lakini hatuendi vitani wote, Rwanda ina wanajeshi 61,000 waliofunzwa vizuri, ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu wa hali ya juu, kuomba kupigana na Rwanda



Kweli mkuu upo sahihi, Rwanda Inatisha wale JWTZ ni maneno tu lakini hamna kitu. Ndiyo maana walimsema sana Idd Amin mpaka akaondoka kwa hiyari ikulu ya Kampala. Hawakuishia hapo wakaenda kuwasema kweli Wareno wa Msumbiji mpaka wakaona haya wakaondoka wenyewe kwa hiyari na kuiacha Mozambique ipate uhuru wake. Wamewasema sana makaburu wa South Africa kabla ya uhuru wa SA mwaka 1994 . Walikuwa tayari wameshaandaa maneno yao ya mipasho dhidi ya Kanali Bakari kule ANJUAN Comoros mpaka jamaa kwa aibu kubwa akajifunga baibui akakimbia.
Hawa JWTZ hovyo sana nasikia pia waliwasema sana wakoloni huko Angola,Namibia na Zimbabwe mpaka makaburu wakawa wanaona aibu.

JWTZ ni maneno tu ndiyo wanaweza lakini vita hawawawezi watutsi, SI ETI EENH?
 
Back
Top Bottom