Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,513
ASKARI wa UMoja wa MAtaifa wanaolinda amani nchini KONGO (Monusco) , Wakiongozwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) , wamedai kuwakamata maofisa wanne wa ngazi za juu kabisha Wa Jeshi la RWANDA wakiwa wanawasaidia waasi wa M23. MAAFISA hao wanashikiliwa kwa mahojiano
Habari imeendelea kusema kuwa kukamatwa kwa MAAFISA hao na kusambaratishwa kwa waasi wa M23 kumefanikisha kushinda vita hiyo kwa 95% na kwamba tayari Monusco wanaoongozwa na JWTZ wameanza kufurahia ushindi huo na kwamba sasa hivi wanasubiri tamko kutoka kwa wakuu wao, ili kufahamu kinachofuata baafa ya kufanikisha hatua hiyo.
SOURCE:MTANZANIA.
Kinachofuata ni safari ya Kigali.
Vinginevyo itakuwa ni sawa na kutibu malaria kwa paracetamol.