JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

ASKARI wa UMoja wa MAtaifa wanaolinda amani nchini KONGO (Monusco) , Wakiongozwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) , wamedai kuwakamata maofisa wanne wa ngazi za juu kabisha Wa Jeshi la RWANDA wakiwa wanawasaidia waasi wa M23. MAAFISA hao wanashikiliwa kwa mahojiano

Habari imeendelea kusema kuwa kukamatwa kwa MAAFISA hao na kusambaratishwa kwa waasi wa M23 kumefanikisha kushinda vita hiyo kwa 95% na kwamba tayari Monusco wanaoongozwa na JWTZ wameanza kufurahia ushindi huo na kwamba sasa hivi wanasubiri tamko kutoka kwa wakuu wao, ili kufahamu kinachofuata baafa ya kufanikisha hatua hiyo.

SOURCE:MTANZANIA.

Mwamunyange atoe amri wapigwe risasi it tuone kagame atasemaje!!! heheee
 
Uzoefu wa vita vp?

majeshi yetu yana uzoefu wa vita japo hatujazichapa wenyewe kwa wenyewe. tumewapatia uhuru Zimbabwe, Msumbiji, Angola, Namibia, Afrika ya Kusini, Uganda kutoka kwa Idd Amini, Darfur, Lebanon na sasa DRC
 
Wamewakamata wa nini? Si wangewachapa risasi za vichwa wakamaliza kazi tu? Kuendelea kuwashikilia ni kuongeza mzigo usokuwa wa maana tu. Piga hao Kagame type wakubwa.

Kazi nzuri!

Au wamwagiwe Tindikali au Maji ya moto, wapate kifo cha adhabu kama walivyowabaka akina mama DRC mpaka kupoteza uhai wao.
 
Lipa Umeme Kama Unavyotumia Vibaya! (Lukuvi)ndo huyu jamaa yani yupo limited ile mbaya hawezi kamwe kujua zaidi ya anavyo vijua. Mh Tundu usimpime jamaa ni unlimited.
 
Au wamwagiwe Tindikali au Maji ya moto, wapate kifo cha adhabu kama walivyowabaka akina mama DRC mpaka kupoteza uhai wao.

Aisee umeongea ukweli. napendekeza pia hawa jamaa wapandikizwe virusi vya ukimwi halafu wafungwe jela ya watu wanne tu. Kazi ngumu, chakula kisicho na lishe. baada ya muda mfupi tu kwisha habari yake
 
Hoja iliyopo na inayojadiriwa jamvini ni " JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo" Tujadiri hilo.

Akirudia tena Siku nyingine kabla hujaanza kumrekebisha mchape kibao.
 
Tuacheni ushabiki, kwanini utumie heading yenye JWTZ badala ya Monusco?, unaweza kuthbitsha kuwa Jeshi la tz ndio linaongoza huko Goma kama ulivoandka?

Brigade inaoongozwa na Tanzania, chini ya Brigedia Jenerali James Mwakibolwa.
 
564398_1415191908696865_1439013282_n.jpg

tunawakamata , tutawachapa na kuwanyonya macho popote walipo

Wanasura za kigaidi harafu hata kupigana hawawezi.
 
Aisee umeongea ukweli. napendekeza pia hawa jamaa wapandikizwe virusi vya ukimwi halafu wafungwe jela ya watu wanne tu. Kazi ngumu, chakula kisicho na lishe. baada ya muda mfupi tu kwisha habari yake

Sawasawa.
 
Kama ni habari za kweli basi hiso ni salaamu tosha kwa Dictator Nduli kagame.
 
'Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga' huu ndiyo msemo wa wahenga wetu.
Serikali ya Rwanda ilikuwa inakataa kata kata kuwa hawashiriani na m23 ndani ya drc sasa sijui kwenye hili watasemaje?
labda waseme kuwa wanajeshi hawa walitekwa nyara ndani ya rwanda na watanzania na kisha kuvushwa mpaka.
 
Hongereni JWTZ, daima nafarijika na taarifa hizi ambazo ni sifa kubwa kwa Watanzania.

Najivunia kuwa Mtanzania.
 
Thatha hukui tuu bado unaendesha mambo kimahaba we vipi hii imekaaje
[h=2]Re: JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo ...[/h]Hii nayo imekaaje?

ASKARI wa UMoja wa MAtaifa wanaolinda amani nchini KONGO (Monusco) , Wakiongozwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) , wamedai kuwakamata maofisa wanne wa ngazi za juu kabisha Wa Jeshi la RWANDA.

Nikuulize swali moja kupitia mfano:

Mchezaji akitokea Simba akaenda kuchezea Taifa Stars kwenye mechi na Sudan akafunga goli ni sahihi kusema,Simba wameifunga Sudan au ni Taifa Staz imefunga?Kimsingi kule hatuna JWTZ tuna Monusco na hata msemaji wa hilo jeshi hatoki TZ ,Jw wameenda under UN mission na siyo kama wao kwani kazi ya JW kubwa ni kulinda mipaka yetu si kwenda kupigana nje ya mipaka kwa ajili ya wengine.Ndo maana hata wakati wa ukombozi walikuwa ni washirika wa nchi zile .JWTZ wamepigana Uganda tuu!
 
Aisee umeongea ukweli. napendekeza pia hawa jamaa wapandikizwe virusi vya ukimwi halafu wafungwe jela ya watu wanne tu. Kazi ngumu, chakula kisicho na lishe. baada ya muda mfupi tu kwisha habari yake

hapana mkuu hao ni wa kuteswa mpaka waseme nini kimewapeleka nchi ya watu na kuwaua akina mama na watoto mpaka waseme na mwisho mpaka waseme siri za kagame
 
ASKARI wa UMoja wa MAtaifa wanaolinda amani nchini KONGO (Monusco) , Wakiongozwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) , wamedai kuwakamata maofisa wanne wa ngazi za juu kabisha Wa Jeshi la RWANDA wakiwa wanawasaidia waasi wa M23. MAAFISA hao wanashikiliwa kwa mahojiano

Habari imeendelea kusema kuwa kukamatwa kwa MAAFISA hao na kusambaratishwa kwa waasi wa M23 kumefanikisha kushinda vita hiyo kwa 95% na kwamba tayari Monusco wanaoongozwa na JWTZ wameanza kufurahia ushindi huo na kwamba sasa hivi wanasubiri tamko kutoka kwa wakuu wao, ili kufahamu kinachofuata baafa ya kufanikisha hatua hiyo.

SOURCE:MTANZANIA.
Hii safi sana maana watajibu mauaji ya Meja Mshindo wa JWTZ.
 
Back
Top Bottom