JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

Du!;JWTZ ni kiboko!;Show wanaisimamia vizuri mpaka raha,sasa waruhusiwe wafagie mpaka Kigali.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kweli mkuu upo sahihi, Rwanda Inatisha wale JWTZ ni maneno tu lakini hamna kitu. Ndiyo maana walimsema sana Idd Amin mpaka akaondoka kwa hiyari ikulu ya Kampala. Hawakuishia hapo wakaenda kuwasema kweli Wareno wa Msumbiji mpaka wakaona haya wakaondoka wenyewe kwa hiyari na kuiacha Mozambique ipate uhuru wake. Wamewasema sana makaburu wa South Africa kabla ya uhuru wa SA mwaka 1994 . Walikuwa tayari wameshaandaa maneno yao ya mipasho dhidi ya Kanali Bakari kule ANJUAN Comoros mpaka jamaa kwa aibu kubwa akajifunga baibui akakimbia.
Hawa JWTZ hovyo sana nasikia pia waliwasema sana wakoloni huko Angola,Namibia na Zimbabwe mpaka makaburu wakawa wanaona aibu.

JWTZ ni maneno tu ndiyo wanaweza lakini vita hawawawezi watutsi, SI ETI EENH?

mkuu ukimwamsha aliyelala utaweza kulalala wewe, lakini kwa hili nafikiri jamaa ataendelea kukoroma mpaka kifo. hata m 23 tuliongea sana mpaka wakaamua kuacha vyakula na silaha wakarudi rwanda kwa kisingizio cha kupisha uchunguzi.
 
Kagame ni tatizo hapo maziwa makuu, la msingi ni kwa namna yoyote apishe mwingine madaraka ndo Mashariki ya Congo itatulia.
 
Du!;JWTZ ni kiboko!;Show wanaisimamia vizuri mpaka raha,sasa waruhusiwe wafagie mpaka Kigali.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

kagame alikuwa anafikiri jk ni legelege kama yeye na nduguye m 7, sasa anaanza kuvuna alichokipanda.
 
Kweli mkuu upo sahihi, Rwanda Inatisha wale JWTZ ni maneno tu lakini hamna kitu. Ndiyo maana walimsema sana Idd Amin mpaka akaondoka kwa hiyari ikulu ya Kampala. Hawakuishia hapo wakaenda kuwasema kweli Wareno wa Msumbiji mpaka wakaona haya wakaondoka wenyewe kwa hiyari na kuiacha Mozambique ipate uhuru wake. Wamewasema sana makaburu wa South Africa kabla ya uhuru wa SA mwaka 1994 . Walikuwa tayari wameshaandaa maneno yao ya mipasho dhidi ya Kanali Bakari kule ANJUAN Comoros mpaka jamaa kwa aibu kubwa akajifunga baibui akakimbia.
Hawa JWTZ hovyo sana nasikia pia waliwasema sana wakoloni huko Angola,Namibia na Zimbabwe mpaka makaburu wakawa wanaona aibu.

JWTZ ni maneno tu ndiyo wanaweza lakini vita hawawawezi watutsi, SI ETI EENH?

Wewe lazima utakuwa ni mhamiaji haramu hiyo Mifano yako ni Fake kumbuka Kulikuwa na Kambi za kijeshi pale moro lushoto na sehemu zingine zilisheheni Asikari wa ANC wa South Africa ,Namibia msumbiji na Nchi zote tulizodhamilia kuzikomboa na haikuwa vita za maneno zilikuwa vita za vitendo Ndio Maana ukombozi ulipatikana na Idd Amin alivamia Tz akachapwa mpaka akakimbia mwenyewe acha hizo
 
Wamewakamata wa nini? Si wangewachapa risasi za vichwa wakamaliza kazi tu? Kuendelea kuwashikilia ni kuongeza mzigo usokuwa wa maana tu. Piga hao Kagame type wakubwa.

Kazi nzuri!

kuongeza sababu na umuhimu wa kuikomboa kigali.
 
Amri iliyobaki tunaomba tuingie hadi kwenye kiini yaani Kigali na kumtoa kagame. Bila kumtoa kagame tutakuwa hatujafanya kitu.Ni sawa na kukuna kidonda

jk siku hizi amepunguza sana safari za nje, nafikiri ni katika kujiongezea muda wa kulifikiria hilo.
 
Wewe lazima utakuwa ni mhamiaji haramu hiyo Mifano yako ni Fake kumbuka Kulikuwa na Kambi za kijeshi pale moro lushoto na sehemu zingine zilisheheni Asikari wa ANC wa South Africa ,Namibia msumbiji na Nchi zote tulizodhamilia kuzikomboa na haikuwa vita za maneno zilikuwa vita za vitendo Ndio Maana ukombozi ulipatikana na Idd Amin alivamia Tz akachapwa mpaka akakimbia mwenyewe acha hizo

JF is for GREAT THINKERS only! Revise my comment mkuu.
 
Mimi hapo sisemi sana maana Wanyarwanda,M23,Interahamwe na Banyamlenge na watu wanaoishi mashariki mwa DRC karibu wote wanafanana sana na wanaongea lugha moja na kiswahili chao ni kile kile ni ngumu mno kuwatofautisha.Mimi binafsi sishabikii sana vita maana vita vina mtindo wa leo kwako na kesho kwangu,sasa sijui itakuwaje siku itakapofikia kwetu.naomba sana MUNGU hii vita ichukue mda mfupi maana jamaa hawa wakii-Prolong itakuwa hatari sana kwa Askari wetu.
 
Ni hatari kweli, km hata news zisizo na mshiko zinaaminika hivi...! Ila km ni kweli basi jeshi letu ni la ajabu kweli majuzi Major kauawa ambapo ni aibu kufa ofisa wa nafasi hiyo na hakuna hata na private mmoja aliyekufa ... ghafla jeshi lisilo na major kuongoza majeshi ya UN...?

Maofisa wapo wengi pale Congo na si lazima Ofisa akifa private nae lazima afe hizo ni fikra za ajabu kumbuka Asikari Private wengi ni vijana wadogo hivyo ni wepesi wa kujihami na adui
 
Rwanda haiko kama mnavyojidanganya nyuma ya keyboard, udogo wa nchi sio hoja, refer vita ya Eritrea na Ethiopia, Kagame ana jeshi kubwa na uwezo wa kifedha kuendesha vita, nchi yetu ni Kubwa lakini hatuendi vitani wote, Rwanda ina wanajeshi 61,000 waliofunzwa vizuri, ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu wa hali ya juu, kuomba kupigana na Rwanda

Hoja iliyopo na inayojadiriwa jamvini ni " JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo" Tujadiri hilo.

Wakamatwe pia waliojaa Bongo wakijiita wana asili za Wafugaji wa Tanzania hasa Wamasai.
 
JF is for GREAT THINKERS only! Revise my comment mkuu.

Yaani wewe unajiona ni miongoni mwa Great Thinkers hapa JF? Kwa kigezo kipi?acha kujiona mawazo yako Binafsi Ndio sahihi huna jipya wewe ni mhamiaji haramu kwa mjibu wa mtiririko wa maoni yako hapa JF ludi Kwenu Rwanda nenda mkabanane kwenye ka Nchi kadogo machachari wezi wa Rasilimali za Congo
 
Back
Top Bottom