Membe S K
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 1,407
- 1,302
OIC ni Jumuiya ya Wa-Islam, taifa lolote lisilo la Wa-Islam kujiunga huko ni wendawazimu, ambao sisi baadhi ya wananchi wa taifa hili tunapinga tena kwa nguvu zote, Maana ya uswahili uliyoitoa kama ni ya kweli, basi tunaongozwa na viongozi waswahili, ambao badala ya kutafuta njia zinakubalika kimataifa kutatua matatizo yetu, wanajaribu kutafuta njia za mkato,
OIC ni jumuiya ya Wa-Islam period, betweeen jana na leo nimeongea na wakubwa wengi sana wa taifa, na wakubwa huko UN wamenihakikishia kwamba OIC ni member wao as Jumuiya ya wa-Islam, ninarudia Tanzania sio taifa la ki-Islam we have no business kujiingiza huko, hatuhutaji mjadala wala anything on hilo.
Mkuu, nina kiu na majibu ya maswali ambayo kwa namna moja au nyingine unayakwepa kisiasa.
(1) OIC ni jumuia ya nchi za ki-islamu kama ulivyosema, je italeta madhara gani kimaendeleo endapo serikali yetu itaamua tujiunge?
(2) Maaskofu na watu wa dini nyingine wanapinga kujiunga na OIC; hawa wataathirika vipi kimaendeleo endapo serikali yetu itaamua kujiunga na OIC?
(3) Mimi mtanzania wakaiwaida nanayefuata dini yangu nitaathirika vipi kimaendeleo endapo Tz itajiunga na OIC?
Naamini JF ni sehemu ya kuelimishana na nitafurahi mkuu endapo utaelekeza responses zako kwenye maswali yangu.