From wikipedia
Muhimu hapa je hiyo sensa ya mwaka 1967 ilisemaje?
Masatu. Sensa ya 1967 inasema Waislamu 35% Wakristo 35% na wanaoamini imani za kijadi 30%.
From wikipedia
Muhimu hapa je hiyo sensa ya mwaka 1967 ilisemaje?
Hao maaskofu mawazo yao yanawakilisha kundi moja la watanzania kwahiyo wasituburuze tutaingia oic kwa manufaa ya hao maaskofu na vizazi vya pia
Masatu. Sensa ya 1967 inasema Waislamu 35% Wakristo 35% na wanaoamini imani za kijadi 30%.
Thanx hiyo ndio ya sahihi nyingine ni balh blah tu...
Masatu. Sensa ya 1967 inasema Waislamu 35% Wakristo 35% na wanaoamini imani za kijadi 30%.
Nina uhakika kwamba percent kubwa ya nchi hii ni waislamu na pia tuna haki ya kujiunga na OIC...kujiunga na OIC hakiwezi kuifanya nchi hii ya Kiislamu bali tutatambulika tu kwamba ni nchi ambaye ina waislamu wengi na imejiunga na umoja huu. Waziri Membe anachukua hatua hii kutokana na maslahi ya nchi, na pia nina uhakika kwamba referendum ikifanyika waislamu(ambaye ni majority) watashinda kwa hio tusibabaishane kwa swala ambalo ni obvious. Sisi wote tuna haki kama wananchi na tafadhali msilete udini au ukabila, tusonge mbele kama Wazawa wa nchi mmoja. UNITED WE STAND, DIVIDED WE FALL!
Mimi nashangaa hivi tulipoanzisha uhusiano na vatican nani alishauriwa.
Mimi nashangaa hivi tulipoanzisha uhusiano na vatican nani alishauriwa.
Ina maana population ya Tanzania iko kwenye steady kuanzia mwaka 1967
Mama,
Assumption ni kwamba ukizaliwa katika familia ya Kiislamu unakuwa Mwislamu na ukizaliwa katika familia ya Kikristo unakuwa mkristo. Ingawa kuna wale waliobadilisha dini kwa hiari yao tu ukubwani lakini katika takwim sidhani hiyo italeta mabadiliko makubwa. Kwa hiyo kama tumeongezeka kutoka millioni 12 mwaka 1967 hadi millioni 41 hivi sasa logic ni kwamba tumeongezeka correspondingly, na hakujatokea mabadiiko makubwa ya kupunguza idadi ya kundi moja kulinganishwa na jengine. Unless utoe takwim kuwa Waislamu au Wakristo wamefanya kazi ya ziada kuwabadilisha wale wenye imani za kijadi wajiunge nao.
Habari zilizonifikia sasa hivi Maaskofu wa CCT na TEC wametoa kauli kali kuhusu kampeni ya Serikali ya Tz kuiepeleka nchi OIC na wamemtaka Membe ajiuzulu kwa kuchukua msimamo kuhusu Tanzania kujiunga na OIC. Wamemshutumu kuwa ametoa msimamo kabla Baraza la Mawaziri kukaa na kuamua kuhusu hilo.
hivi uungwaji au kutokuungwa mkono hoja ya kujiunga na oic imegawanyika kidini? yaani waislamu wote wa tz wanaiunga mkono na wakristo wote wanaipinga? hivi hakuna wakristo wanaounga mkono au waislamu wasiounga mkono. je hakuna ambao hawako huku wala kule?
je wale wasio waislamu wala wakristo wamesimamia wapi?
hivi msimamo wa wananchi kama niliotaja hapo juu hauwezi kuwa na impact na hizi takwimu zinazotolewa hapa jamvini?