Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

About OIC

The Organization of the Islamic Conference (OIC) is the second largest inter-governmental organization after the United Nations which has membership of 57 states spread over four continents. The Organization is the collective voice of the Muslim world and ensuring to safeguard and protect the interests of the Muslim world in the spirit of promoting international peace and harmony among various people of the world. The Organization was established upon a decision of the historical summit which took place in Rabat, Kingdom of Morocco on 12th Rajab 1389 Hijra (25 September 1969) as a result of criminal arson of Al-Aqsa Mosque in occupied Jerusalem.

In 1970 the first ever meeting of Islamic Conference of Foreign Minister (ICFM) was held in Jeddah which decided to establish a permanent secretariat in Jeddah headed by the organization’s secretary general. Prof Ekmeleddin Ihsanoglu is the 9th Secretary General who assumed the office in January 2005 after being elected by the 31st ICFM.

The present Charter of the Organization was adopted by the Eleventh Islamic Summit held in Dakar on 13-14 March 2008 which laid down the objectives and principles of the organization and fundamental purposes to strengthen the solidarity and cooperation among the Member States. Over the last 38 years, the membership has grown from its founding members of 30 to 57 states. The Organization has the singular honor to galvanize the Ummah into a unified body and have actively represented the Muslims by espousing all causes close to the hearts of over 1.5 billion Muslims of the world. The Organization has consultative and cooperative relations with the UN and other inter-governmental organizations to protect the vital interests of the Muslims and to work for the settlement of conflicts and disputes involving Member States. In safeguarding the true values of Islam and the Muslims, the organization has taken various steps to remove misperceptions and have strongly advocated elimination of discrimination against the Muslims in all forms and manifestations.

The Member States of the OIC face many challenges in the 21st century and to address those challenges, the third extraordinary session of the Islamic Summit held in Makkah in December 2005, laid down the blue print called the Ten-Year Program of Action which envisages joint action of Member States, promotion of tolerance and moderation, modernization, extensive reforms in all spheres of activities including science and technology, education, trade enhancement, and emphasizes good governance and promotion of human rights in the Muslim world, especially with regard to rights of children, women and elderly and the family values enshrined by Islam.
 
Wakuu heshima mbele, hoja ya msingi ya hawa maaskofu ni kwamba Membe ameliruka baraza la mawaziri na kuanza kukampeni nchi yetu iingie huko OIC, hayo mengine mengi hayahusu anything na hoja ya maaskofu,

Membe ni lazima atueleze wananchi kwamba ni kwa nini sasa analilia sana kuingia huko kuna nini? Na pia atueleze wananchi faida na hasara ya kuingia huko, na akubali mbele ya public kwamba uamuzi ni wetu wananchi sio wake yeye au cabinet, halafu pia hii hoja lazima ifike bungeni.

Maaskofu walipaswa kumuuliza Membe kwanza kama huu msimamo ni wake kama mwananchi au? Maana kikatiba anayo haki kusema msimamo wake kama raia wa taifa letu. Membe apewe nafasi ili aweze ku-clarify exactly ametoa huu msimamo kwa what capacity, kukimbilia kumtaka ajiuzulu bila ya kua na uhakika ametoa vipi hayo maoni ni kushusha thamani ya kujiuzulu, period.

Membe lazima apewe due process kwanza!

Membe anasukumwa na tamaa ya urais.... anataka amfurahishe JK ili ajiweke katika mazingira mazuri ya kumrithi. Actually behind Membe ni JK... he is pushing him.... Lakini inaonekana Membe bado hajang'amua kuwa hili ndilo linalompeleka mbali zaidi na urais... Ama kweli tamaa ya mzee fisi ilimponza..
 
Mifano aliyoitoa Waziri Membe ya nchi zilizojiunga na OIC, kwa mfano Uganda, yaweza kuleta matatizo makubwa sana. UGANDA ILIINGIZWA OIC NA IDDI AMIN DADA. Je, leo hii kiongozi wetu anafananafanana na Iddi Amin kwa fikra?
 
Membe anasukumwa na tamaa ya urais.... anataka amfurahishe JK ili ajiweke katika mazingira mazuri ya kumrithi. Actually behind Membe ni JK... he is pushing him.... Lakini inaonekana Membe bado hajang'amua kuwa hili ndilo linalompeleka mbali zaidi na urais... Ama kweli tamaa ya mzee fisi ilimponza..

Mkuu una maana anajaribu kujiweka sawa na Wa-Islam bongo na visiwani, ili apite kwa kishindo huko NEC? Duh hawa wanasiasa wetu uchwara ni balaa sana ingawa huyu ni member mwenzetu sana hapa!
 
Maaskofu waitisha serikali

[Source Tanzania Daima]

na Sauli Giliard

MAASKOFU wanaounda Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), wameeleza kusikitishwa, kushtushwa na kupinga ushawishi unaojengwa na serikali wa kutaka Tanzania iridhie kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi na kujiunga na Jumuiya ya Kimataifa ya Kiislamu (OIC).

Tamko hilo la kwanza na la aina yake la CCT lilitolewa jana mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Luther House jijini Dar es Salaam na kusomwa na Askofu Peter Kitula ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa jumuiya hiyo.

Maaskofu hao katika tamko hilo walifikia hatua ya kutoa onyo la wazi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake kuhusu kuendelea kukumbatia mjadala wa kuanzishwa kwa mambo hayo mawili.

CCT inayoundwa na makanisa ya Kilutheri, Anglikana, African Inland Church (AIC) na Moravian, ilifikia hatua ya kutoa onyo kwa CCM na serikali yake kuachana na mjadala wa OIC na Mahakama ya Kadhi bungeni na badala yake kuliacha Bunge lijadili masuala mengine muhimu yanayogusa masilahi ya taifa na si yale yenye mwelekeo fulani wa dini.

Tamko hilo liliendelea kueleza kwamba, hawatakuwa tayari kukubalia kwa vyovyote vile kuona chama fulani cha siasa kikijaribu kutafuta ridhaa ya wapiga kura kwa gharama ya kutishia umoja wa kitaifa na amani ya nchi.

"Hapa ieleweke kuwa ni hatari na kamwe isiruhusiwe njia hii kutumika ili mradi chama fulani kishike dola hata kama ni kwa gharama ya kuvunjika kwa umoja wa kitaifa na amani ya nchi hii! Jambo hili hatutalikubali kwa vyovyote vile kwa chama chochote kitakachokubali mambo haya mawili aidha wakati wa kampeni za uchaguzi au wakati wowote ule," lilisema tamko hilo la CCT lililoambatanishwa na majina ya maaskofu 64 wa nchi nzima.

Pasipo kufafafanua huku wakisema kwamba CCT, haifungamani na chama chochote cha siasa, maaskofu hao katika tamko lao walisema, iwapo itafikia hatua ya Tanzania kujiunga na OIC na Mahakama ya Kadhi kuridhiwa, basi wao watalazimika kufikiria upya jinsi ya kukishauri chama hicho tawala kwa kuzingatia kile walichokieleza kuwa ni manufaa ya Watanzania.

"Japo Jumuiya ya Kikristo Tanzania haifungamani kwa namna yoyote ile na chama chochote cha siasa, haya yakitokea itabidi tufikirie upya jinsi ya kukishauri chama hicho kwa manufaa ya Watanzania wote!" lilisema tamko hilo, ambalo linaonyesha dhahiri kuwa ni onyo la wazi la kukaribia kukataa kukiunga mkono chama hicho tawala na kisha likaendelea:

"Kipekee wakati huu, kutokana na yanayoendelea kujadiliwa bungeni, tunatoa tahadhari kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake kutoruhusu kabisa kuendelea kwa mjadala huu kama ambavyo tumekuwa tukiomba mara kwa mara kwa nyakati tofauti zilizopita," linasema tamko hilo.

Pamoja na hilo, maaskofu hao wamemtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kujiuzulu wadhifa wake kutokana na hatua yake ya kujenga ushawishi wenye mwelekeo wa kidini wa kuiingiza nchi katika OIC.

Mbali ya hayo, tamko linasema hatua ya Tanzania kujiunga OIC inakwenda kinyume cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 19 (2) na Sheria ya Vyama vya Siasa nchini.

Askofu Kitula alisema, wanapinga Tanzania kujiunga na OIC kwa maelezo kuwa, katiba ya jumuiya hiyo imejipambanua wazi kuwa na malengo ya kuendelea na kuulinda Uislamu, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa taifa, lenye watu wa imani nyingine za dini.

"Msimamo wetu kuhusu mambo haya mawili ni kuyakataa kabisa na mamlaka yoyote ya nchi kuendelea kukaribisha mjadala huu ili hatimaye ukubalike, ni kupoteza muda wa wenye dhamana ya mamlaka ya nchi hii na rasilimali zake," linasema tamko hilo.

Akifafanua askofu huyo alisema, katika Ibara ya 1 (11) ya Katiba ya OIC, kuna kipengele kinachosomeka ‘kusambaza, kuendeleza na kuhifadhi mafundisho ya dini ya Kiislamu….kuendeleza utamaduni wa Kiislamu na kuulinda urithi wake', maelezo ambayo ni kinyume cha Katiba ya Jamhuri ambayo inahimiza uhiari na uhuru wa mtu binafsi katika masuala yanayohusu kueneza dini au masuala ya imani.

Askofu Kitula ambaye alisoma tamko hilo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCT, Akofu Donald Mtetemela, aliyesaini tamko hilo, alisema uamuzi wa kujiingiza katika masuala ya namna hiyo ni wa hatari, kwani yanaweza kuleta migogoro kutokana na kuwapo kwa dhana ya udini.

"Tuna uhakika kuwa yaliyomo katika taasisi ya OIC ni hatari kabisa kwani ikiruhusiwa, katiba ya nchi itakuwa imevunjwa na Watanzania wataingizwa katika migogoro itakayoua maridhiano, mshikamano, amani, utangamano na umoja wa kitaifa," ilisema sehemu nyingine ya tamko hilo kali na la aina yake kutolewa na taasisi yenye nguvu kidini.

Hofu hii ya CCT kwa mujibu wa tamko lao, inachangiwa zaidi na jinsi ambavyo wabunge na viongozi wa kisiasa walivyojiingiza kujadili mambo hayo mawili, huku wakijua yana masilahi ya kidini zaidi ya utaifa na huku wakielewa wazi ni kukiuka katiba.

"Sisi viongozi wa CCT kwa kuzingatia wajibu wetu wa kinabii na kitume, tunatoa wito kwa Bunge letu lisikubali kamwe kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi …wala kuridhia uanachama wa Tanzania katika IOC," lilisema tamko hilo na kwamba amani ya Tanzania imetokana na tunda la dini, itikadi, makabila, rangi na jinsia zote.

Akizungumza katika mkutano huo wa jana na wanahabari, Askofu Dk. Owdenburg Mdegela, alipinga mifano inayotolewa na Waziri Membe kwa nchi zilizokwisha kujiunga na OIC na kudai kuwa mifano hiyo ni sawa na kujifananisha na mtu aliyeshindwa na kuongeza kwamba, waziri anayetoa msukumo wa Tanzania kujiunga na jumuiya hiyo, anapaswa kujiuzulu.

Askofu huyo alimtaka Waziri Membe kuachana na kauli zake juu ya umuhimu wa kuingia kwenye jumuiya hiyo ya Kiislamu na kuhoji aliyemtuma kufanya hivyo.

"Membe aache hizo kauli, kauli zenyewe ni za mitaani…tunampa kadi nyekundu…kwanza ni nani kamtuma, atueleze, iwapo ni Baraza la Mawaziri, Bunge," alisema na kumtaka ajiuzulu ili kuonyesha ukomavu wa kisiasa.

Alisema kuanzia leo (jana), hawatanyamaza kupinga suala la kujiunga na OIC na kuanzisha Mahakama ya Kadhi na kwamba wataanzisha sala maalumu kwa muda wa mwaka mzima kuhakikisha jambo hili halifanikiwi.

Naye Askofu Dk. Stephen Munga (KKKT), alionyesha wasiwasi na maneno ya Waziri Membe, kuwa hayana utafiti wa kutosha na kuongeza kuwa ni bora kujadili kwanza jinsi ya kuvunja katiba kwa kuwashirikisha Watanzania wote kwani ilivyo, sasa kuunga mkono hoja ya kujiunga na OIC ni sawa na kuikiuka katiba na misingi ya sheria ya nchi.

Naye Askofu Sylivester Gamanywa wa Wapo Ministries aliyeungana na CCT, alisema kuwa, suala la kuijiingiza OIC ni hatari kwani litasababisha umwagaji damu na akamtaka Rais Kikwete kuingilia kati, kunusuru mgawanyiko huu.

Gamanywa alidai waumini wake wamekuwa wakimsumbua juu ya Tanzania kutaka kuanzisha Mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC na kudai kuwa tamko la CCT, ndilo jibu kwa waumini na ndio msimamo wa makanisa mengine yote.

Juzi Waziri Membe ilitoa kauli ya kuwataka Watanzania kuondoa woga juu ya OIC na kudai kuwa kuna nchi zilizojiunga na hazijaathirika kwa namna yoyote na kuongeza kuwa, hakuna nchi iliyo takatifu duniani.

Membe alitoa mfano wa nchi ya Uganda yenye asilimia 10 ya waumini wa dini ya Kiislamu na asilimia 66 ya Wakristo, ambao pamoja na kujiunga na OIC, haina tatizo, hivyo haoni sababu kwa nini Tanzania isijiunge na jumuiya hiyo na kunufaika na fedha za shetani.
 
JIANG ALIPO
Daily News; Thursday,October 23, 2008 @20:19

Tanzania has said it is still examining the possibility of joining the Organisation of the Islamic Conference (OIC) and its relations with Iran.

Hold on.. is joining OIC a pressure from Iran?

Speaking at a press conference in his office yesterday, the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe said that the decision on whether to join the OIC or not would be made by Tanzanians.

“Tanzanians do not have anything to fear…We have not yet joined the OIC and ultimately that will be the decision of all Tanzanians,” said the Minister.Mr Membe said that after the analysis there would three options, “We can remain with our status (non member), we can enter by just being observers or we can become full members.

When Membe spoke in the parliament he didn't mention about the other option until yours truly expounded the "obsever" option rather skillfuly now they are talking of having "other options".

“Being members does not make or force us to become Muslims, our neighbour Uganda has been member since 1974, and it has not turned to an Islamic country to date” he stressed.
On the relationship with Iran, Mr Membe, who recently visited the country, said that there was much to gain from the country, adding that the two countries had been in good relations for many years.

“The aim of the visit was to talk with Iran to write off our 277 million US Dollars (over 280bn/-) debt or at least reduce it to the original debt which was only 77million US Dollars (over 80bn/-),” said Mr Membe.According to him, discussions on writing off debts are at advanced stage, with the remaining parts to be discussed by Presidents of the two countries.

The Minister said that the debt, which is 15 years old and was on procurement of oil, grew over the years due to inability of the country to service it.Mr Membe also said that the two countries signed an agreement on cooperation on agriculture sector as Iran had technologically significantly advanced in agriculture.
 
Maaskofu waitisha serikali

[Source Tanzania Daima]

na Sauli Giliard

MAASKOFU wanaounda Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), wameeleza kusikitishwa, kushtushwa na kupinga ushawishi unaojengwa na serikali wa kutaka Tanzania iridhie kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi na kujiunga na Jumuiya ya Kimataifa ya Kiislamu (OIC).

Tamko hilo la kwanza na la aina yake la CCT lilitolewa jana mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Luther House jijini Dar es Salaam na kusomwa na Askofu Peter Kitula ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa jumuiya hiyo.

Maaskofu hao katika tamko hilo walifikia hatua ya kutoa onyo la wazi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake kuhusu kuendelea kukumbatia mjadala wa kuanzishwa kwa mambo hayo mawili.

CCT inayoundwa na makanisa ya Kilutheri, Anglikana, African Inland Church (AIC) na Moravian, ilifikia hatua ya kutoa onyo kwa CCM na serikali yake kuachana na mjadala wa OIC na Mahakama ya Kadhi bungeni na badala yake kuliacha Bunge lijadili masuala mengine muhimu yanayogusa masilahi ya taifa na si yale yenye mwelekeo fulani wa dini.

Tamko hilo liliendelea kueleza kwamba, hawatakuwa tayari kukubalia kwa vyovyote vile kuona chama fulani cha siasa kikijaribu kutafuta ridhaa ya wapiga kura kwa gharama ya kutishia umoja wa kitaifa na amani ya nchi.

“Hapa ieleweke kuwa ni hatari na kamwe isiruhusiwe njia hii kutumika ili mradi chama fulani kishike dola hata kama ni kwa gharama ya kuvunjika kwa umoja wa kitaifa na amani ya nchi hii! Jambo hili hatutalikubali kwa vyovyote vile kwa chama chochote kitakachokubali mambo haya mawili aidha wakati wa kampeni za uchaguzi au wakati wowote ule,” lilisema tamko hilo la CCT lililoambatanishwa na majina ya maaskofu 64 wa nchi nzima.

Pasipo kufafafanua huku wakisema kwamba CCT, haifungamani na chama chochote cha siasa, maaskofu hao katika tamko lao walisema, iwapo itafikia hatua ya Tanzania kujiunga na OIC na Mahakama ya Kadhi kuridhiwa, basi wao watalazimika kufikiria upya jinsi ya kukishauri chama hicho tawala kwa kuzingatia kile walichokieleza kuwa ni manufaa ya Watanzania.

“Japo Jumuiya ya Kikristo Tanzania haifungamani kwa namna yoyote ile na chama chochote cha siasa, haya yakitokea itabidi tufikirie upya jinsi ya kukishauri chama hicho kwa manufaa ya Watanzania wote!” lilisema tamko hilo, ambalo linaonyesha dhahiri kuwa ni onyo la wazi la kukaribia kukataa kukiunga mkono chama hicho tawala na kisha likaendelea:

“Kipekee wakati huu, kutokana na yanayoendelea kujadiliwa bungeni, tunatoa tahadhari kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake kutoruhusu kabisa kuendelea kwa mjadala huu kama ambavyo tumekuwa tukiomba mara kwa mara kwa nyakati tofauti zilizopita,” linasema tamko hilo.

Pamoja na hilo, maaskofu hao wamemtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kujiuzulu wadhifa wake kutokana na hatua yake ya kujenga ushawishi wenye mwelekeo wa kidini wa kuiingiza nchi katika OIC.

Mbali ya hayo, tamko linasema hatua ya Tanzania kujiunga OIC inakwenda kinyume cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano, Ibara ya 19 (2) na Sheria ya Vyama vya Siasa nchini.

Askofu Kitula alisema, wanapinga Tanzania kujiunga na OIC kwa maelezo kuwa, katiba ya jumuiya hiyo imejipambanua wazi kuwa na malengo ya kuendelea na kuulinda Uislamu, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa taifa, lenye watu wa imani nyingine za dini.

“Msimamo wetu kuhusu mambo haya mawili ni kuyakataa kabisa na mamlaka yoyote ya nchi kuendelea kukaribisha mjadala huu ili hatimaye ukubalike, ni kupoteza muda wa wenye dhamana ya mamlaka ya nchi hii na rasilimali zake,” linasema tamko hilo.

Akifafanua askofu huyo alisema, katika Ibara ya 1 (11) ya Katiba ya OIC, kuna kipengele kinachosomeka ‘kusambaza, kuendeleza na kuhifadhi mafundisho ya dini ya Kiislamu….kuendeleza utamaduni wa Kiislamu na kuulinda urithi wake’, maelezo ambayo ni kinyume cha Katiba ya Jamhuri ambayo inahimiza uhiari na uhuru wa mtu binafsi katika masuala yanayohusu kueneza dini au masuala ya imani.

Askofu Kitula ambaye alisoma tamko hilo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCT, Akofu Donald Mtetemela, aliyesaini tamko hilo, alisema uamuzi wa kujiingiza katika masuala ya namna hiyo ni wa hatari, kwani yanaweza kuleta migogoro kutokana na kuwapo kwa dhana ya udini.

“Tuna uhakika kuwa yaliyomo katika taasisi ya OIC ni hatari kabisa kwani ikiruhusiwa, katiba ya nchi itakuwa imevunjwa na Watanzania wataingizwa katika migogoro itakayoua maridhiano, mshikamano, amani, utangamano na umoja wa kitaifa,” ilisema sehemu nyingine ya tamko hilo kali na la aina yake kutolewa na taasisi yenye nguvu kidini.

Hofu hii ya CCT kwa mujibu wa tamko lao, inachangiwa zaidi na jinsi ambavyo wabunge na viongozi wa kisiasa walivyojiingiza kujadili mambo hayo mawili, huku wakijua yana masilahi ya kidini zaidi ya utaifa na huku wakielewa wazi ni kukiuka katiba.

“Sisi viongozi wa CCT kwa kuzingatia wajibu wetu wa kinabii na kitume, tunatoa wito kwa Bunge letu lisikubali kamwe kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi …wala kuridhia uanachama wa Tanzania katika IOC,” lilisema tamko hilo na kwamba amani ya Tanzania imetokana na tunda la dini, itikadi, makabila, rangi na jinsia zote.

Akizungumza katika mkutano huo wa jana na wanahabari, Askofu Dk. Owdenburg Mdegela, alipinga mifano inayotolewa na Waziri Membe kwa nchi zilizokwisha kujiunga na OIC na kudai kuwa mifano hiyo ni sawa na kujifananisha na mtu aliyeshindwa na kuongeza kwamba, waziri anayetoa msukumo wa Tanzania kujiunga na jumuiya hiyo, anapaswa kujiuzulu.

Askofu huyo alimtaka Waziri Membe kuachana na kauli zake juu ya umuhimu wa kuingia kwenye jumuiya hiyo ya Kiislamu na kuhoji aliyemtuma kufanya hivyo.

“Membe aache hizo kauli, kauli zenyewe ni za mitaani…tunampa kadi nyekundu…kwanza ni nani kamtuma, atueleze, iwapo ni Baraza la Mawaziri, Bunge,” alisema na kumtaka ajiuzulu ili kuonyesha ukomavu wa kisiasa.

Alisema kuanzia leo (jana), hawatanyamaza kupinga suala la kujiunga na OIC na kuanzisha Mahakama ya Kadhi na kwamba wataanzisha sala maalumu kwa muda wa mwaka mzima kuhakikisha jambo hili halifanikiwi.

Naye Askofu Dk. Stephen Munga (KKKT), alionyesha wasiwasi na maneno ya Waziri Membe, kuwa hayana utafiti wa kutosha na kuongeza kuwa ni bora kujadili kwanza jinsi ya kuvunja katiba kwa kuwashirikisha Watanzania wote kwani ilivyo, sasa kuunga mkono hoja ya kujiunga na OIC ni sawa na kuikiuka katiba na misingi ya sheria ya nchi.

Naye Askofu Sylivester Gamanywa wa Wapo Ministries aliyeungana na CCT, alisema kuwa, suala la kuijiingiza OIC ni hatari kwani litasababisha umwagaji damu na akamtaka Rais Kikwete kuingilia kati, kunusuru mgawanyiko huu.

Gamanywa alidai waumini wake wamekuwa wakimsumbua juu ya Tanzania kutaka kuanzisha Mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC na kudai kuwa tamko la CCT, ndilo jibu kwa waumini na ndio msimamo wa makanisa mengine yote.

Juzi Waziri Membe ilitoa kauli ya kuwataka Watanzania kuondoa woga juu ya OIC na kudai kuwa kuna nchi zilizojiunga na hazijaathirika kwa namna yoyote na kuongeza kuwa, hakuna nchi iliyo takatifu duniani.

Membe alitoa mfano wa nchi ya Uganda yenye asilimia 10 ya waumini wa dini ya Kiislamu na asilimia 66 ya Wakristo, ambao pamoja na kujiunga na OIC, haina tatizo, hivyo haoni sababu kwa nini Tanzania isijiunge na jumuiya hiyo na kunufaika na fedha za shetani.

Wapagani tunawaunga mkono maaskofu hatutaki udini.Mimi na wapagani wenzangu tuko tayari kwa vita kupigana vita na yeyote anayetaka kuweka kipengele cha dini katika katiba au bunge.Hatuogopi JWTZ,POLISI wala Usalama wa Taifa ambao wamekaa kama mabwege bila kulinda katiba ya nchi wala kumkemea Raisi na watu kama akina Membe hadi kutufikisha hapa tulipo ambapo nchi inaonekana wazi inayumba kwa upuuzi wa masuala ya kadhi na OIC.

Rwanda waliopigana vita wenyewe kwa wenyewe Tanzania wasiwaone wapuuzi. Kulikuwa na war triggers zilizosababisha wapigane.Na tanzania tuko tayari kwa vita.Dalili zote ziko wazi.
Uvumilivu wa wananchi umeshafika ukingoni.JWTZ,POLISI na USALAMA WA TAIFA yamekuwa majeshi ya mafisadi na mabwege ambayo hayasimamii kidete maslahi ya amani na utulivu wa nchi kwa kuilinda katiba isichezewe na wanasiasa, wabunge na serikali kwa kuingiza vipengele hatarishi kwa amani vya kadhi na OIC..

Wapagani na sisi tunaagiza na kutoa amri kuwa hoja ya kadhi na OIC isitajwe kabisa bungeni na kwenye serikali.Membe nyamaza na Kikwete wako anyamaze na bunge lake linyamaze.

Na Raisi,mawaziri na wabunge wanaoongelea Kadhi na OIC kwenye bunge na ofisi za serikali tunawaambia shut up vinginevyo msubiri cha mtema kuni.

Tunataka serikalini na bungeni mambo ya kidini huko yasiongelewe kabisa.

Tunataka majeshi yetu yashikishe adabu Raisi na akina Membe kabla wananchi hawajaingia mitaani kujichukulia sheria mikononi.Majeshi ndio watakesha wakipigana mitaani na wananchi wakati akina Kikwete na akina Membe watakuwa uhamishoni au mafichoni wakila pilau na familia zao.Hivyo kabla hatujafika huko ni vizuri yamkanye kikwete na bunge na akina Membe.
 
Nina uhakika kwamba percent kubwa ya nchi hii ni waislamu na pia tuna haki ya kujiunga na OIC...kujiunga na OIC hakiwezi kuifanya nchi hii ya Kiislamu bali tutatambulika tu kwamba ni nchi ambaye ina waislamu wengi na imejiunga na umoja huu. Waziri Membe anachukua hatua hii kutokana na maslahi ya nchi, na pia nina uhakika kwamba referendum ikifanyika waislamu(ambaye ni majority) watashinda kwa hio tusibabaishane kwa swala ambalo ni obvious. Sisi wote tuna haki kama wananchi na tafadhali msilete udini au ukabila, tusonge mbele kama Wazawa wa nchi mmoja. UNITED WE STAND, DIVIDED WE FALL!

..aisee ....hivi mkikaa pale mtambani mkijiona wengi...mnafikiri ndio nchi nzima??...hii nchi ni kubwa kaka .....na watanzania wengi wapo vijijini...

ukisoma historia ya tanzania hutaweza kuja na maneno shallow kama haya.....

kabla ya kuingia ukoloni....kulikuwa na misafara ya mwanzo ya wafanyabiashara wa kireno mwaka 1300..[soma tawala za SOFALA,KILWA,KISMAYU..etc ..rise and fall]..wareno walikuwa wakristo lakini hawa hawakuja kueneza dini ...bali walikuja kutafuta dhahabu...etc......

wareno waliondoshwa na waarabu sasa ambao nao walikuja kibiashara[so uislamu ukawa wa kwanza kuingia].....lakini hawa kwa kuwa walikuja na mawili biashara na dini...hawakueneza dini hii zaidi ya pwani ...na maeneo ya miji...na kidogo biashara ya utumwa na pembe za ndovu ilipoanza ndipo kipindi dini ya kiislamu ilipojipenyeza kwa kufuata njia kuu ya watumwa kuanzia kigoma hadi pwani[bagamoyo]..kuna ,maeneo kati kati waarabu hawakukaa walipita tu........kimsingi waislamu kwa kuwa walikuwa wa mwanzo kufika wangetaka kueneza dini basi nchi yote ingekuwa islamu....

ukiristo tanzania haujafikisha miaka 200....na tangu ukiristo umeingia lengo lao kuu halikuwa kuwabatiza waislamu...bali kuwabatiza wasio kuwa na dini......wakristo waliingilia pwani..kuanzia zanzibar....lakini hwakuvutiwa na hali ya pwani hasa kutokana na joto na malaria....kwa hiyo walijipenyeza zaidi ..kwenye muinuko ambako watu walikuwa hawana dini........na kuanza kueneza dini taratibu....mikoa kama SONGEA,IRINGA,RUKWA,MBEYA,,SINGIDA[VIJIJINI],DODOMA,ARUSHA,MANYARA ,KILIMANJARO,MARA,KAGERA,MWANZA..ETC....haya hakuna ubishi kwamba wamisionari walifanikiwa kwa kiasi kikubwa.........kubadilisha waliokuwa wapagani kuwa wakristo......

kuna maeno wamisionari waliingia na walipokuta uislamu umeshaenea hasa mijini.......waliingia kwenye vijiji..haya yana idadi nzuri tu ya wakristo ...ie tabora,kigoma,.singida,tanga,...etc

mkoa wa dar es salaam ...hakuna ubishi kuwa asilimia kubwa ya wakaazi walikuwa waislamu.....hasa miaka ya mwanzo ya uhuru....lakini wimbi la uhamiaji....imefanya idadi ya wakristo na waislamu kuwa sawa..miaka hii....mtakumbuka miaka ya 1960 wakristo walikuwa wakija dar hata nyumba walikuwa hawapati...hadi ikabidi wawee wanahifadhiwa makanisani.....lakini ghafla kuibuka kwa makazi mapya jijini na wahamiaji wanaofuata kazi maofisini ..au biashara ..yamezaa vitongozi ambavyo vina idadi ndogo sana ya waislamu hasa vilivyoko pembezoni ya wilaya ya kinondoni,pembezoni mwa wilaya ya ilala ...wilaya ya temeke bado inakaliwa na idadi kubwa zaidi ya waislamu........

kwa maana hiyo basi ....ni wazimu kufikiri kuwa ETI IKIPIGWA KURA YA MAONI KUNA JAMII YA DINI....AMBAYO ITANUFAIKA....UNLESS HIYO KURA INAPIGWA ZANZIBAR.......THATS WHY I SAY ZANZIBAR IS A SPECIAL CASE .......WAANGALIWE NAMNA YA KUWA ACCOMODATE ...KWENYE JUMUIA HII NYETI YA KUENDELEZA UISLAMU NA MAENDELEO.......BILA KUADHIRI KATIBA........

NAMALIZIA KWA KUSISITIZA KUWA ...MEMBE NI MJINGA!!!...THATS A NAME HE DESERVE...kwa kitendo cha kutoa msimamo ambao haujaamuliwa bungeni au kwenye baraza la mawaziri.......KAMA MAWAZIRI WENZAKE WANAKIRI KUWA WALISHAAMUA HIVYO BASI NA WASIMAME WAMUUNGE MKONO...

NI UAMUZI WAKE MWENYEWE KUPIMA MANENO YAKE ...NA ADHARI YAKE KWA UMOJA WETU WA KITAIFA....NA KUAMUA UAMUZI STAHILI!!!!!
 
Hongera sana Ask. Kitula & Maaskofu wenzako. Tunasubiri kauli rasmi za viongozi wa CSSC na za Wahindu na za SDA na ATR's (African Traditional Religions) na hata Wale wote wasio Waumini wa Madhehebu yeyote.

HAKUNA ANAYEKATAZA WATU KUJIUNGA NA OIC WALA KUUNDA MAHAKAMA ZA KADHI, TUNACHOKATAA NI KUWA HAKUNA SABABU YA SERIKALI YETU (ISIYO NA MNINGÍNIO WA DHEHEBU FULANI KIKATIBA) KUJIUNGA NA OIC WALA KUUNDA MAHAKAMA HIZO: BADALA YAKE JUMUIYA HUSIKA ZA KIDINI ZITEKELEZE HAZIMA HIZO KAMA WANAVYOTAKA.

Endapo agenda hizo mbili zitangáng'anizwa na kutekelezwa kutakuwa na maandamano yasiyoisha kutoka Dodoma hadi IKULU (Dar) na rais wetu atabeba lawama za mtu wa kwanza kuruhusu sheria hatari zitakazo anza kula nyuzi ngumu zilizosukwa na waasisi wa umoja wetu wa Tanzania. Asiyejua madhara ya nyuzi joto migogoro ya kidini afanye systematic literature review juu ya mada hiyo huko Sudan, Nigeria n.k.
 
Serikali haijaamua kujiunga OIC
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,October 25, 2008 @00:02

Serikali imefafanua kwamba haijaamua kujiunga na Jumuiya ya Kimataifa ya Nchi za Kiislamu (OIC). Ofisa Mwandamizi wa Serikali aliiambia HabariLeo jana kwamba uamuzi wowote kuhusu suala hilo utawahusisha Watanzania, lakini bado hakuna uamuzi ambao umechukuliwa.

Hatua hiyo imekuja baada ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ajiuzulu wadhifa wake wa kisiasa iwapo ataendelea kupigia debe suala la Tanzania kujiunga na Jumuiya ya Kimataifa ya Nchi za Kiislamu (OIC).

Membe akizungumza juzi na wanahabari alionyesha kushangazwa na hatua ya baadhi ya Watanzania kuogopa Tanzania kujiunga na OIC. Waziri huyo alifafanua kuwa Tanzania haijajiunga na OIC, bali iko kwenye mchakato wa kufanya hivyo. Alifafanua kuwa hata hivyo suala la Tanzania kujiunga ama kutojiunga na OIC liko mikononi mwa Tanzania.

Alisema makundi yote ya wananchi watatoa mawazo yao hivyo kwa sasa hakuna haja ya kuogopa wala kuzusha mijadala isiyokuwa na manufaa kwa nchi. "Waziri anayesukuma suala hili, anatakiwa ajiuzulu aache kuzungumzia suala hilo, kwani wananchi wamewatuma kuzungumzia masuala ya OIC?" Alihoji Askofu Dk. Owdenburg Mdegela baada ya kusomwa kwa tamko la maaskofu wa CCT jana Dar es Salaam.

Naye Askofu Dk. Steven Munga alisema wao hawasimamii udini, bali wanasimamia Utanzania na akafafanua kuwa baraza hilo linasubiri suala hilo lipelekwe bungeni ndipo na wao watajua cha kufanya. Dk. Munga alisema kitendo cha Membe kutoa mfano wa Uganda kuwa inanufaika na OIC hakina manufaa kwani Watanzania ambao alisisitiza hawana cha kujifunza kwa taifa hilo ambalo alidai limegubikwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu.

Askofu Sylvester Gamanywa alidai pingamizi la CCT sio la chuki kwa Uislamu ila ni pingamizi la kuzuia mgawanyiko wa kitaifa iwapo taasisi kama OIC itaingizwa kwenye mamlaka ya nchi. Pingamizi hilo lililosainiwa na Mwenyekiti wa CCT Askofu Mkuu Donald Mtetemelwa, walidai endapo nchi itaingia katika OIC, Katiba itakuwa imevunjwa na Watanzania wataingizwa katika migogoro itakayoua maridhiano, mshikamano, amani, utangamano na umoja wa kitaifa.
 
Jamani, nini hatma ya udini Tz, wote tulisikia na kuona jinsi maaskofu walivyo toa tamko lao jana kuhusu kauli za Membe. hivi hapa tunaelekea wapi? pia, kuna radio moja hivi nilisikia ilikuwa inaongea ya kikristo, wakasema, ati siku za uraisi wa Mwinyi ambaye ni mkristo hii issue ilishawai kuibuka kwasababu tu waislam walitaka kupitia mgongo wa muislam mwenzao mwinyi. waliposubiri uraisi wa muislam mwingine kikwete, hii issue wameileta tena. kuna dili nyingi tu za mwinyi za kuisilimisha Tanzania zilishawai kufanywa, kama mtu anataka nimwambie aseme. sasa, hivi Tz ni secular country yaani haina dini, au kuna dini fulani huwa zinataka kujionyesha kuwa wao ndo wanawatawala wenzao badala ya kuishi kwa kujua kuwa kila mtu ana dini yake lakini kwenye mambo ya kitaifa/selikali, dini tunaweka pembeni. mtu akitaka dini akahubiri huko makanisani au msikitini. what do you say about this guys?
 
tunamtaka jk akanushe au kukubali kuwa yuko behind moves hizi, kadhi mkuu, oic, na mengine, kukaa kwake kimya tutamfanya tuamini yeye ni mlingoti katika hili, kwa nini hoja hizi za kuligawa taifa zinaibuka wakati wake?
 
nikweli, huwa zinaibuka zaidi miaka ambayo rais ni mwislam. kama rais ni mkristo huwa haziji. kumbuka mwinyi na uislam, na sasa ni kikwete. NA KIKWETE AKIFANYA MCHEZO, MAASKOFU WATAPIGA KAMPENI HATA MAKANISANI ASIPITE URAIS TERM IJAYO. hapo ndo itakuwa kilio na kusaga meno. you know, yeye anafikiri hawa watu ni wadogo, hawa watu maaskofu akifanya nao mchezo, wana impact kubwa sana hata kwenye kushinda kwake uchaguzi uliopita. wao ndo waliwakomvinsi washirika wao kuwa kikwete ni chaguo la Mungu, kilichobaki ni kusema tu kuwa, Kikwete sio chaguo la Mungu na hakuna mshirika wao atakayepigia kura ccm.

ushauri wangu kwa wana ccm kama wanataka chama chao kiendelee kuwa madarakani, hakikisheni huu udugu na kuishi kwa amani wakristo na waislam unaendelezwa. ukivunjika tu, ndo mwisho wa ccm. kwasababu wakristo ndo wamekuwa wakikipigia kampeni chama cha ccm siku zote.
 
Nafikiri kuna haja ya serikali kutoa msimamo wake kuhusu haya maswala mawili yaani Kadhi na OIC. Kadri jinsi inavyochelewa kutoa msimamo ndo mambo yataharibika zaidi. Kwani Bila kujinga na OIC hatuwei kushirikiana na nchi za Kiislam? Mbona nchi hizi zina ushirikiano tu mzuri na Tanzania ingawa siyo mwanachama wa OIC?

Huo uchunguzi uliofanywa na serikali kuwa hakuna matatizo TZ kujiunga na OIC umefanywa na watu gani? Report yake iko wapi? Watoe basi hiyo report ili wananchi waisome na kuijadili.
 
Kama tuna shida saana za fedha/kiuchumi kiasi kwamba fedha hata za shetani ni halali, basi kwanini tusiingie kwenye biashara ya Unga? kama wentetu wa taaliban/ the golden triangle ( thailand/burma/laos) au ndugu zetu wa south America(Junta Governments)
 
kwanza wanatusaidia nini hawa watu wanaoongezaga price ya mafuta? hivi unafikiri mwarabu hata siku moja anaweza akakusaidia zaidi ya kukuloga?hahaha.
 
Membe anasema bado serikali haijatoa tamko,hivi anajua kuwa kauli yake ni kauli ya serikali kama asipotoa disclaimer? Kama ulikuwa ni msimamo wake kama Membe angesema,lakini akiita waandishi wa habari na kuwaambia kuwa hakuna tatizo kuingia OIC bila kutoa maelezo kuwa huo ni msimamo wake huo unakuwa ni msimamo wa serikali.
Viongozi wetu tunawaomba muwe makini na haya mambo mtatuletea matatizo.Kwa upuuzi wake,amesababisha maaskofu kutoka sehemu mbalimbali Tanzania kuita kikao kutoa tamko. Na leo tutasikia masheikh nchi nzima wameitana kutoa tamko lao na ndiyo mwanzo wa kurushiana maneno kati ya wakristo na waislamu sababu ya kiongozi ANAYEFIKIRI BAADA YA KUROPOKA.
Viongozi kama hawa hawafai kabisa,maana kwa tamaa za kupata sapoti ya waislam anaanza kuwapa moyo kwa suala ambalo bado lina utata na bunge liliagiza lifanyiwe uchunguzi.Inasemekana Mr Membe anautaka UKIKWETE mwaka 2015 hivyo ameanza kutaka umaarufu kwa jamii ya waislam,lakini ajue anaweza kusababisha mifarakano ndani ya jamii kwa tamaa yake.
Ninamshauri Mr. Membe atumie mbinu nzuri kama wenzie,hiyo anayotumia atasababisha hata nchi yenyewe asiitawale.Sisi watanzania tunapendana bila kujali dini ndiyo maana Rais Kikwete alifika hadi makanisani kuomba kura na alipigiwa debe na maaskofu.Pia ndiyo maana Rais Mkapa aliamua kuwapa waislam Chuo Morogoro kwakuwa wako nyuma kidogo kielimu ili kusaidia kuinua watanzania wote kwa pamoja.
Tumia mbinu nyingine hiyo imeproov failure.
 
aisee ....hivi mkikaa pale mtambani mkijiona wengi...mnafikiri ndio nchi nzima??...hii nchi ni kubwa kaka .....na watanzania wengi wapo vijijini...

ukisoma historia ya tanzania hutaweza kuja na maneno shallow kama haya.....

Matusi ya MAKAFIRI kama wewe tunayajua. Bahati nzuri nyote mnajua waislam wanazaana kwa wingi.

Kawaambieni hao maaskofu kuwa ninyi makafiri hamna ujasiri wa kupambana na waislam kutokana na chuki wanazokupandikizeni.

Wajinga wengine wanasema kuwa Iddi Amin ndio aliingiza Uganda kwenye OIC, mbona marais wengi wakristo wamepita pale na hawajajitoa.

Laiti mngekuwa mmeindeleza nchi kwa nafasi mlizopewa, tungeweza kuwasikiliza.
Mmeiua nchi na kila juhudi zenye alama ya Uislam mnazichukia.

kweli ni vigumu kumuelimisha KAFIRI mwenye chuki.

NN.
 
acha kuita wenzako makafiri, wewe nani? tena unaonekana umejaa jazba tena zisizo na maana. Kumbe mnapandikiza chuki katika jamii ili mpambane! ebo!
 
Back
Top Bottom