kama ni kutafuta bei rahisi ya mafuta basi mimi ningeishauri serikali ifanye kila iwezalo ,tujiunge na umoja wa ulaya na hatimaye shengeni ,maana tutaiingiza bidhaa nyingi bila ushuru.na tutajipatia kubeba mabox bila viza wala kubugudhiwa.
Haya mawazo ya membe utafikiri alitoka kuota njozi bwana,hakuna kitu cha dezo hapa duniani.mtu akikupa kitu ameshakupigia mahesabu ya mda mrefu.
bernadr membe ni mjinga mmoja hivi anayeota ndoto za urais akidhani kwa vile anatokea lindi kwao na mke wa prez. Na kwa kwa vile inasemekana tangu enzi zile za makundi 1995 alishaona mbali akaamua kuwa upnde ulioko madarakani kwa sasa. Kwa kuwa amewekwa wizara ya mambo ya nje anadhani atakuwa rais wa nchi hii!
Suala la serkali ya ccm, kushindwa kutafuta ufumbuzi wa kweli wa matatizo ya wananchi. Ccm zanzibar imekuwa ikiiptai ccm zanzibar nafasi nyingi sana katika chama, imagine wajumbe wa halmashauri inakaribia nusu zanzibar na nusu kutoka bara. Kuna mikoa na ukawikilishi karibu sawa katika nafasi nyingi za kichama kwa hiyo serkaili ya zanzibar imejisahu na kutaka pia ipate nafasi sawa za uwakilishi katika serikali. Ninadhani ni wakati muafaka tuanze kuangalia proportinality katika uwakilishi. Haiwezekana kwa mfano mbunge wangu ana wakilisha watu laki 3 halafu mbunge wa zanzibar anawakilisha watu elfu moja tu!! Wapi na wapi ujinga gani huu!
Hata leo hii ukitoa mwanya kwa oic , ili kufurahisha watu wachache itafikia mahali pawe na kikomo chake, tumeamuka.
Tunataka referendum ili kujua ni aina gani ya muungano tuaoutaka, binafsi ninataka serikali moja yenye majimbo yake, zanzibar iwe na majimbo mawili, moja la unguja na la pili la pemba!!
Jimbo la ziwa(mara, mwanza, kagera), kati, kaskazini etc.
Hii itarudisha nidhamu ya matumizi ya raslimali zetu.
Watu wengi pia wataeilimishwa, huduma za afya zitaongezeka katika majimbo. Ujinga wa watu wetu kununuliwa na kuandaliwa kunadamana kisanii utaisha. Ninasikia watandama miko yoye kuunga mkono hotubua ya bungeni, sasa kuandfamana kwa nini badala ya kutumia muda huo kujituma kufanya kazi!! Usanii wote huu wa nini??
Kama ni nzuri ni nzuri tu ya nini uandamanishe watu! Usaniii per cel.