Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

...........nimeangalia hiyo link kumbe zanzibar ..si tu kuwa ilijaribu bali ilijiunga kabisa..na someni maelezo waliyopeleka huko yanakatisha tamaa..

hizo uganda ilijiunga na OIC wakati wa IDDI amin DADA ambaye inajulikana dhahiri alitaka kuifanya uganda ISLAMIC REP.....NA moja ya strategy ya kwanza aliyoanza nayo ilikuwa OIC...mnajua kila kitu huanza kwa kuingiza kichwa....then unazama..."hata ngamia ukimruhusu aingize kichwa utamuona analazimisha kuingiza mwili mzima ..japo asilani hautaingia....."

Na ukiangalia nchi hizo za waafrika weusi walio katika kundi hilo zaidi ya 80 % ndio wenye migogoro ya kivita.

Zifuatilieni tu hizo nchi za afrika ndio wanamigogoro ya kipigana pigana.
 
It is interesting how political compromise unfolds.

Zanzibar wants to be declared and recognized as a nchi, at the same token a push for Mahakama ya Kadhi an joining OIC are happening.

To settle the Muungano issue, URT compromise and saves Muungano by agreeing to join OIC!
 
...........nimeangalia hiyo link kumbe zanzibar ..si tu kuwa ilijaribu bali ilijiunga kabisa..na someni maelezo waliyopeleka huko yanakatisha tamaa..

Mkuu,

i bet you are missing a point somowhere.....
zile info ni za WIKIPEDIA sasa sijui ulikua na maana gani ya hayo maneno hapo juu....?
 
Hasa kilichokushangaza kwenye hilo swali ninini?

Mimi nimeshangaa halafu waniletea sijui kavaa chupi sijui kavua.

Kwanza hebu angalia jina langu ndio utajua msimamo wangu kwamba siko kwenye mambo yenu ya uislamuu na ukiristuuu

Mkuu
nime ku quate tu lakini si kwamba nimelenga kabisa kukujibu wewe ,samahi kama nimekukuna .
Hapa naongelea watu humu wengi badala ya kujenga hoja zetu kulingana na mazingira yetu utasikia mbona kenya vile, na somalia wameweza .

Samahani mkuu.
 
Wa Tanzania na Nchi (supposely) yetu ni masikini,sasa mi nadhani kama mchangiaji mmoja humu alisema hapo juu akichukulia mfano wa MSUMBIJI iliyotoka kwenye vita ya muda mrefu ili hitaji ku-reform ikajiunga na OIC then sioni shaka kwanini sisi tunaojitambua alafu tukashindwa kufanya hivyo ili at least tuweze kujikwamua kwenye dimbwi hili.
Juzi wenyewe mmemsikia Raisi hotuba yote ooh.....MAREKANI,WAMAREKANI,MAREKANI,MAREKANI,RAIS WA MAREKANI,MATAJIRI WA MAREKANI KILA KITU MAREKANI........tumeletewa condoms na vyandarua na sio dawa ya kuangamiza mazario ya mbu.
Tunaweza kutafuta misaada kwengine for a start kwa Waarabu......labda mafuta yatashuka bei
 
...........nimeangalia hiyo link kumbe zanzibar ..si tu kuwa ilijaribu bali ilijiunga kabisa..na someni maelezo waliyopeleka huko yanakatisha tamaa..

Mkuu,

i bet you are missing a point somowhere.....
zile info ni za WIKIPEDIA sasa sijui ulikua na maana gani ya hayo maneno hapo juu....?

NI ZA WIKIPEDIA ..YES..LAKINI wikipedia hawajabuni hayo maelezo ..kuna ishara kuwa yamewasilishwa au kuwa updated na SMZ....UKISOMA HAYO MAELEZO ...YANASISITIZA KUWA ZANZIBAR ni nchi iliyokuwa kwenye jamhuri[hawajaweka neno ya muungano].....na zaidi...wameenda mbali zaidi kuiandikisha zanzibar kama nchi ..along with other 50 members[mashirikiano ya kimataifa ni masuala ya muungano]...sioni mantiki ya OIC kuitambua zanzibar kama nchi...unless wangeweza kuipa sifa ya ASSOCIATE MEMBERSHIP..au OBSERVERS....LAKINI wame ABUSE...JMT.....

KIMSINGI HILI SUALA LA OIC LIPO WELL PUSHED NA NI STRATEGY..NI MATOKEO YA KAMPENI ZA URAIS ZA MTANDAO KUGHARAMIWA NA IRAN........[SENIOR MEMBER WA OIC].....NA HASA IKIZINGATIWA ASA SAID TUNAAMBIWA TUCHAGUE KATI YA KUVUNJA MUUNGANO AU KUJIUNGA NA OIC...I THINK WE ARE TARGETTED....LAKINI WE ARE SMART...

OIC SIO MUARUBAINI WA MATATIZO YETU,,..HATA HAO UGANDA NA OIC SIJAONA WAMEPATA NINI....ZAIDI YA KUJENGEWA CHUO KUKUU ..NA MSIKITI MKUBWA......ISLAMIC UNIVERSITIES HAZINA FAIDA KUBWA KWA WATU WOTE....
 
hebu rudia tena.
wameshatutisha kua tuchague MUUNGANO ama OIC na KADHI? ama ni muono wako tu mkuu?

Kama ni hivyo mambo yakumtishia mtu mzima nyau yanatoka wapi? Kwani muungano kitu kitu gani?
Muungano ni ule wenye tija kwa wananchi na si muungano wakuwaletea migogoro kila siku mijadala tu badala ya kufanya kazi.Waacheni waende.
 
kwa mwendo huu,NAANZA KUMUELEWA YULE ALIYE SEMA NI UBORA SERIKALI IIANZE KUAMIA DODOMA.

ALIYAONA YA MBALI SANA.
 
...I THINK WE ARE TARGETTED....LAKINI WE ARE SMART...[/B]

i think you mean you CHRISTIANS i suppose.........?

...NO WE TANZANIAN..OR SAY TANGANYIKAS ....AND I REPEAT OIC IS NOT MWARUBAINI OF OUR MATATIZO..IDDI AMIN ALIINGIZA UGANDA OIC..BUT HAKUNA FAIDA ..ZAIDI YA KUJENGEWA MSIKITI AMBAO HATA HAUKUISHA HADI LIBYA [OLD AMINS DUDES..ALIPOAMUA KUUMALIZIA]..NA ILE UNIVERSITY AMBAYO SIKUMBUKI HATA SERIOUS SCHOLAR MMOJA MAARUFU AMBAYE NI ALUMNI PALE]...................

..WANA MKAKATI WA OIC WAMEAMUA KURUSHA MISHALE MIWILI ILI TUKIKWEPA MMOJA MMOJA U HIT TARGET.....HATUTAKI HIYO OIC....NA MUUNGANO KUVUNJA HADI SISI TUAMUE .....SANA SANA ..SERIKALI MOJA!!
 
1.Chad
2.sudan
3.somalia
4.uganda
5.guinea
6.nigeria
7.ivory coast
8.Maurtania
9.senegal
10.commoro
11.sera lion
12.djibut
13.benin
14.africa ya kati

Je? wajua mambo matatu (3) ambayo yako in common ktk nchi hizo??
 
nusu ya hizo nchi vita ni kwa ajiri ya ;
1.mafuta
2.madaraka

unalo la kuongeza ili tuone busara yako?
 
1.Chad
2.sudan
3.somalia
4.uganda
5.guinea
6.nigeria
7.ivory coast
8.Maurtania
9.senegal
10.commoro
11.sera lion
12.djibut
13.benin
14.africa ya kati

Je? wajua mambo matatu (3) ambayo yako in common ktk nchi hizo??

Poverty, Ufisadi and Civil war
 
All this is ridiculous! Wanaacha kushughulikia mambo ya wananchi wanajiunga na OIC! Kuna ulazima gani, huku ni kuitafuta migogoro, au ni njia ya ku divert attention ya watu kutoka vita ya ufisadi na kuanza kelele ya OIC! Au wanataka watu wapige kelele halafu baadaye rais aseme ameamua kuachana na OIC ili apate credit kuwa anawasikiliza watu!! Matatizo ya nchi hii hayatatuliwa kwa kuislimisha nchi! Ni kupamabana na wahujumu uchumi na watu kufanya kazi, wala sion kujiunga na jumuiya za kikristo au kiislam!
 
Personally, I do not have a problem with Tanzania kuwa na mahakama ya Kadhi au kujiunga OIC ila kuwe na sababu za msingi na si kugeresha watu au kutafuta compromise ya vitu.

I could easily speculate kuwa sababu ya Membe kutangaza kuwa Tanzania itaingia OIC ni kutuliza nguvu za CCM Zanzibar na kuwaziba mdomo CUF kwenye hili suala la Muungano na Zanzibar kuwa ni nchi.

Walichofanya Zanzibar kama njia ya kutaka wanachotaka ni kulazimisha hoja ya Kadhi na OIC ama Muungano uvunjike au kama hautavunjika, CCM watapoteza Zanzibar kwa CUF.

Sasa kwa kuwa Karume muda unakwisha na Komandoo bado ananguvu katika siasa za Zanzibar, kumshika makende Kikwete ni kumlazimisha apitishe jambo ambalo inampsa alifanye au atapoteza Urais 2010.

Badala ya Kikwete na wenzake katika Uongozi wa Serikali na CCM kushughulikia matatizo halisi ya Muungano wameweka viraka kwa mara nyingine kwa kukubali kufanya maamuzi ambayo wanajua kuwa si sahihi na ni ya kujinusuru kuendelea kutawala na kuongoza.

This type of political compromise is dangerous and should not be tolerated by anyone.

If the arguments for Kadhi and OIC were free of Muungano bargain and and the blackmail behind it maslahi ya CCM, Mtandao na Muungano issue, I would no have a problem with Tanzania joining OIC or establish Mahakama ya Kadhi.

However it is clear blackmail ya Wazanzibari imefanya kazi and now OIC ni compromise ya Kwanza, by end of next year towards 2010, CCM and Kikwete will do another compromise to the blackmail by allowing Mahakama ya Kadhi and thus getting kuraz from Waislamu and ensure that CCM will have greater chance to win 2010 in Zanzibar and CCM Zanzibar will throw support behind Kikwete.

Wasifikiri kuwa sisi ni wajinga kujua na kupembua mambo!
 
....wameanza na mahakama ya kadhi sasa OIC na yote yanahusisha dini ya uislam,na huyu Membe mfupi kama kiazi anataka kutu convince kujiunga na OIC tutapata mafuta ya bei rahisi(muongo mkubwa huyu)? then anasema its OK kujiunga na OIC kwasababu fulani na fulani nao wamo ingawaje ni xtian nations....bogus kweli kweli huyu mtu mfupi mwenye ndoto ya uraisi!
 
Koba,

Haya yote ni udhaifu wa uongozi wa Kikwete! Anaoguma kuchukua hatua kali na maamuzi magumu anakubali kupinda mgongo kuokoa utawala wake na si kuipeleka nchi kwenye njia sahihi.
 
Poverty, Ufisadi and Civil war

umepatia kidogo lakini pia zote ni nchi za waafrika weusi pia zote ni memba wa OIC. Sasa kama OIC ni msaada imeshindwa kusaidia hao memba zake wazoefu?

Membe huyu hivi walimtoa wapi?
 
Upuuuzi mtupu!! tatizo lenu udini unawasumbua (wote waislamu na wakristo) na ndio maana li-serikali lenu la kifisadi lina take hiyo advantage kuwachanganya zaidi....hivi mtu mzima na busara zako unakalia kubisha mambo ya kadhi na OIC?? halafu mkifisadiwa mnalalamika wakati mnapoteza muda kwenye vitu visivyo na maana, vitu vinavyowagawa, vitu vya kufikirika (nani anahukika na hizi dini )!!

assume kwamba kesho waislamu wamepewa mahakama ya kadhi....so what? nini kitakuwa kimebadilika? au jua litachomozea magharibi na kuzama mashariki? haya wamejiunga na OIC....ndio itakuwaje sasa? nini kitaongezeka na nini kitapungua? wanawachezea tu akili kwasababu mnajaa sana ma-emotions.....goodluck!!!!

HOOOOOVYO.

Hapana mkuu
mtu ana uhuru wa kujadili anachotaka ndio maana tukapewa talanta tofauti na akili tofauti.

Mtu Mwingine anaondoa stress zake za umasikini kwa kuona mwingine ni masikini zaidi.

Mwingine anaona kujadili UFISADI bila kubadili mambo ya msingi ktk katiba pia ni upuuzi kwake na kupoteza mda.

Mwingine anaona kujadili mambo ya msingi ktk katiba ni upuuzi vilevile. Na kuzmzomea jamaa fulani kua fisadi ni mwafaka kwake.

Mwingine anaona Mbowe ndio suluhu,mwingine anaona maalimu Seif,mwingine Mrema ,Mwingine Mtikikila muingine ni upuuzi tu wote hao na kupoteza mda kujadili mambo hayo.

Hivyo mkuu mara nyingi unapoona jamaa fulani anafanya mambo ya kipuuzi vivyo hivyo huyo jamaa anavyokuana nawe wafanya mambo ya kipuuzi.suluhu ktk hilo ni kuvumiliana tu ktk upuuzi wetu wote.
 
Back
Top Bottom