Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Jamani tunapo jadili jambo hili naomba tuelewe kuwa hakuna anaye kataa mahakama ya kadhi isiwepo hata mmoja,
Kinacho leta utata ni ile waislamu kutaka mahakama hii iendeshwe na serikali kwasababu tu eti Kenya na Uganda zipo na sijui kuna ubalozi wa Vatican nchini na hoja zingine zisizo na mashiko

Hoja ya Vatican ina mashiko kama iliyo hoja ya mahakama ya kadhi kwasababu kigezo mnachojidai kukileta ni kwamba serikali haina dini. Hebu soma habari hii na ujiulize maswali niliyoyaweka katika mabano kwa rangi ya bluu.

Vatican yamvua jimbo Askofu

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 5th June 2009 @ 16:00 Imesomwa na watu: 23173; Jumla ya maoni: 54

[TABLE="width: 310, align: right"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="width: 98%, align: right"]
[TR]
[TD="class: kaziBody"]Habari Zaidi:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: Marquee"]Mpangaji NHC 'aingia mitini' na deni la mil. 42/-
Maghembe apigia debe kilimo cha muhogo
Jaji- Serikali inapendelea Bunge, haijali Mahakama
Kikwete ateua wakuu wa mikoa wapya 15
Waliokufa Zanzibar wafikia 203
Kortini kwa kumkeketa bintiye mwenye mwaka 1
Wavamia kampuni ya ujenzi, wapora mali
Kijana auawa akituhumiwa kuiba baiskeli
NHC yakanusha tuhuma za kuwabagua wapangaji
Mbowe kusomewa shitaka la shambulio
KKKT yasaidia waathirika wa meli iliyozama
NHC yawatimua Bob Makani, Tughe
Ndege yaanguka shambani
Wakimbizi waliotolewa rumande wachunguzwa
Barrick Canada yatoa mil. 37/- za karo ya wasiojiweza
Waliodakwa na bangi wafungwa jela miaka 10
Bilal achangisha mil.158/- kujenga maabara Duce
Japan yatoa mbolea ya bilioni 8/-
Maiti ajali ya meli waonekana ufukweni Mombasa
Vyama vya waandishi vyapata bilioni 8/-
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[TABLE="width: 98%, align: right"]
[TR]
[TD="class: kaziBody"]Habari zinazosomwa zaidi:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: Marquee"]Salama: Jasiri aliyetangaza kuishi na virusi vya Ukimwi
Balaa lingine kwa Chenge
‘Housigeli' anataka kuniharibia ndoa
Dina Marius, mrithi wa Amina Chifupa
Kikwete achekecha wakuu wa wilaya
Vatican yamvua jimbo Askofu
Orijino Komedi, Jay Dee waitwa Iringa
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano waongezeka kwa 22%
JK apigilia msumari wa mwisho Dowans
Interpol yatumika kusaka wenye zeutamu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Vatican nchini Italia yamemnyang'anya Jimbo, Askofu wa Same, Jacob Koda, baada ya kubainika kukiuka mafundisho ya imani ya kanisa hilo ( Kumbe Vatican ndio wanaajiri maaskofu wa waumnini kanisani??? Sasa inakuwaje nchi nyengine iajiri watumishi wa kiroho nchini kwetu? Mbona waislamu hujasikia sheikh ameletwa kutoka Saudi Arabia au ameajiriwa na serikali ya saudi arabia?). Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Joseph Chennoth alithibitisha Dar es Salaam jana kuwa Askofu Koda ametakiwa na kanisa kuacha utume huo mara moja na kupumzika ama kufanya shughuli binafsi za mafunzo.

Hata hivyo, Balozi huyo wa Papa hakufafanua zaidi kiini cha kuondolewa kwa Askofu Koda na ni mafundisho gani ya kanisa aliyokiuka, ingawa taarifa kutoka Same zilizolifikia gazeti hili jana zilidai kuwa amejiingiza katika mafundisho yaliyo kinyume cha imani ya Kikristo na ya Kanisa Katoliki.

Sambamba na kuondolewa Askofu Koda katika jimbo hilo lililoko mkoani Kilimanjaro, pia taarifa ya Askofu Mkuu Chennoth kwa vyombo vya habari jana ilieleza kuwa Baba Mtakatifu Benedicto wa XVI amemteua Padri Rogath Kimaryo kuwa Msimamizi wa Kitume wa jimbo hilo hadi hapo litakapopata askofu mwingine. (This is the argument of Professor Geoffrey Robertson how can a head of state of one nation appoint a religious leader of a constituent in another country??? Inakuwaje rais wa nchi au kiongozi wa nchi anateua kiongozi wa kiroho katika kijisehemu cha nchi nyengine??)

Padri Kimaryo kabla ya uteuzi huo alikuwa Paroko wa Parokia ya Kipawa, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. "Tumemshauri kuondoka jimboni na Padri Kimaryo ataongoza jimbo hilo kwa muda mpaka hapo Baba Mtakatifu atakapomteua askofu mpya," alisema Askofu Mkuu Chennoth.

Aidha, taarifa hiyo ya Ubalozi wa Vatican hapa nchini kwa vyombo vya habari iliyotolewa kwa gazeti hili na Katibu Mtendaji wa Habari wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Revocatus Makonge, ilithibitisha uteuzi wa Padri Kimaryo katika jimbo hilo la Same.

"Mwakilishi wa Baba Mtakatifu hapa nchini anayo heshima kutangaza kuwa Baba Mtakatifu Benedicto wa XVI amemteua Padri Rogath Kimaryo (CSSP) (Nani mwakilishi Pope Benedict nchini Balozi wa Vatican City au Askofu mkuu wa kanisa katoliki nchini? Isitoshe inawezekana vp balozi wa nchi nyengine apewe power ya kuteua viongozi wa kiroho nchini kwetu? Ushasikia Saudi Arabia imetoa tamko kupitia balozi wake kuwa sheikh wa ilala hafai???? Hizi ndio arguments za maprofessor Robertson and Tiggs are asking na mie nawaulizeni wanazi wa Vatican nchi). ambaye ni Paroko wa Kipawa, Dar es Salaam kuwa Msimamizi wa Kitume mwenye mamlaka kamili na chini ya utii kwa kiti kitakatifu wa Jimbo Katoliki la Same," ilieleza taarifa hiyo iliyotolewa Mei 30, mwaka huu. Hata hivyo, Padri Makonge alisema TEC haina taarifa zozote za kina kuhusu suala hilo na kueleza kuwa wanachofahamu ni uteuzi wa Padri Kimaryo kupitia taarifa hiyo ya Mwakilishi wa Papa nchini.

Taarifa zaidi kutoka katika ofisi za Ubalozi wa Vatican Dar es Salaam zilieleza kuwa Padri Kimaryo atakabidhiwa jimbo hilo kwa usimamizi rasmi kesho katika Ibada ya Misa itakayoongozwa na Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo katika Kanisa Kuu la Same na kuhudhuriwa na viongozi kadhaa wa kanisa hilo akiwamo Askofu Mkuu Chennoth.

Bila kufafanua zaidi, Askofu Mkuu Chennoth alisema Kanisa Katoliki huwa lina utaratibu wa kumteua Msimamizi wa Jimbo linapotokea hitaji kama hilo hivyo ni kitu cha kawaida ndani ya kanisa pindi panapoonekana umuhimu wa kufanya hivyo.

Askofu Koda aliteuliwa na Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa II kuwa Askofu Mpya wa Same Septemba 1999 (Hivyo na sisi waislamu tuteuliwe Mufti kutoka Saudi Arabia) kuchukua nafasi ya Askofu Josephat Lebulu aliyehamishiwa katika Jimbo Kuu la Arusha.

Padri Kimaryo ambaye ni Padri wa Shirika la Roho Mtakatifu alitunukiwa Udaktari wa Sheria nchini Roma katika Chuo Kikuu cha Pontifical Gregorian na pia amefanya kazi ya kitume kama mshauri kwa miaka sita katika nyumba yao ya shirika nchini humo.

Kwa utaratibu wa Kanisa Katoliki, Papa humteua Msimamizi wa Jimbo ambaye kikanisa ni kama Mtawala ambaye hufanya kazi hiyo, mara kadhaa hutumikia katika eneo ambalo halijapewa hadhi ya Jimbo au katika Jimbo lisilo na Askofu au tatizo kama lililotokea. Katika sheria za kanisa (Canon Law), utawala wa aina hiyo unampa mamlaka mtawala kufanya kazi zote za kiaskofu isipokuwa kuuza mali yoyote ya jimbo na kutoa daraja la upadrisho.

Source: Habari Leo.

Kisomi na kitaaluma ya kisheria na kifalsafa haingii akilini kabisa hizi argument zenu kuwa serikali haina dini. Naomba mnijibu maswali hayo hapo juu tuone ni akina nani waropokaji na nani wako makini kihoja. Hivyo basi kumbe serikali inaweza ikapinda katiba kuruhusu ubalozi wa Vatican City uwepo nchini ila kuruhusu mahakama ya kadhi ambayo haina tatizo lolote kikatiba isiwepo nchini. Sitaki kusema zaidi nafikiri mwenye akili ataelewa asiye nazo ataendelea kuelewa anavyotaka mwenyewe.
 
Yaani na wewe hivyo vitabu vitatu ndio vinakufanya useme kuwa Vatican sio nchi?? What about all the material that says Vatican is a country? No wonder...

Lete basi vitabu vyako vinavyosema Vatican ni nchi tuelimishane ? No wonder!!!!
 
"Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Vatican nchini Italia yamemnyang'anya Jimbo, Askofu wa Same, Jacob Koda, baada ya kubainika kukiuka mafundisho ya imani ya kanisa hilo (Kumbe Vatican ndio wanaajiri maaskofu wa waumnini kanisani??? Sasa inakuwaje nchi nyengine iajiri watumishi wa kiroho nchini kwetu? Mbona waislamu hujasikia sheikh ameletwa kutoka Saudi Arabia au ameajiriwa na serikali ya saudi arabia?)." Kwa kusema hivi Mdondoaji amedadisi mengi akilinganisha wafanyavyo/wasivyofanya waislamu. Baada ya kusoma ninauliza nani au sheria ipi imezuia waislamu na wao kufanya kama wafanyavyo wakristo? Duniani kote yako hivyo. Kwa vyovyote taratibu na uendeshaji wa dini unatofautiana dini hadi dini. Kama kweli amebaini ni tatizo la kukosa sheria ya kuzuia hayo basi amuone Mbunge wake alipeleke itungiwe sheria ya kuzuia. Au kama yeye ni mkristo abadili awe muislamu.
 
&quot;<font color="#ff0000">Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Vatican nchini Italia yamemnyang'anya Jimbo, Askofu wa Same, Jacob Koda, baada ya kubainika kukiuka mafundisho ya imani ya kanisa hilo</font><font color="#0000ff"> (Kumbe Vatican ndio wanaajiri maaskofu wa waumnini kanisani??? Sasa inakuwaje nchi nyengine iajiri watumishi wa kiroho nchini kwetu? Mbona waislamu hujasikia sheikh ameletwa kutoka Saudi Arabia au ameajiriwa na serikali ya saudi arabia?).</font>&quot; Kwa kusema hivi Mdondoaji amedadisi mengi akilinganisha wafanyavyo/wasivyofanya waislamu. Baada ya kusoma ninauliza nani au sheria ipi imezuia waislamu na wao kufanya kama wafanyavyo wakristo? Duniani kote yako hivyo. Kwa vyovyote taratibu na uendeshaji wa dini unatofautiana dini hadi dini. Kama kweli amebaini ni tatizo la kukosa sheria ya kuzuia hayo basi amuone Mbunge wake alipeleke itungiwe sheria ya kuzuia. Au kama yeye ni mkristo abadili awe muislamu.
<br />
<br />
Mkuu, THANX! yeye kwenda peponi hataki halafu anazuia wengine wasiende! Kunani?
 
"Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Vatican nchini Italia yamemnyang'anya Jimbo, Askofu wa Same, Jacob Koda, baada ya kubainika kukiuka mafundisho ya imani ya kanisa hilo (Kumbe Vatican ndio wanaajiri maaskofu wa waumnini kanisani??? Sasa inakuwaje nchi nyengine iajiri watumishi wa kiroho nchini kwetu? Mbona waislamu hujasikia sheikh ameletwa kutoka Saudi Arabia au ameajiriwa na serikali ya saudi arabia?)." Kwa kusema hivi Mdondoaji amedadisi mengi akilinganisha wafanyavyo/wasivyofanya waislamu. Baada ya kusoma ninauliza nani au sheria ipi imezuia waislamu na wao kufanya kama wafanyavyo wakristo? Duniani kote yako hivyo. Kwa vyovyote taratibu na uendeshaji wa dini unatofautiana dini hadi dini. Kama kweli amebaini ni tatizo la kukosa sheria ya kuzuia hayo basi amuone Mbunge wake alipeleke itungiwe sheria ya kuzuia. Au kama yeye ni mkristo abadili awe muislamu.

Kujibu swali lako ni kuwa kwanza Waislamu hawana utaratibu wa lazima Saudi Arabia ndio iteue masheikh. Quran na Hadithi za mtume zimeshasema nani anafaa kuwa sheikh, Amiri, Kadhi na kadhalika. Hatuhitaji kuwafurahisha watu fulani ndio tuletewe kiongozi kama ndugu zetu wa kikristo mlivyo.

Vatican na utaratibu wake haupo duniani kote for your information Vatican City utaratibu huu wanaufanya katika nchi 178. China, Saudi Arabia, Vietnam, Abudhabi, Oman, Brunei, Malysia, Western Sahara nk hakuna biashara hizi. Hivyo usigeneralize msemo wako inabidi uwe unajua kujenga hoja na sio kuropoka tu.

Vile vile swali langu linauliza jambo la msingi katika international law kuwa inakuwaje ubalozi ujiingize katika mambo ya kiroho. Kama umefatilia wale wanaharakati wanaotaka kumshitaki papa kwa kupuuza vitendo vya ubakaji wa watoto wa kiume kuna baadhi ya serikali duniani zimeanza kumtetea papa hahusika ila wanaharakati wana hoja ya msingi kuwa kama Bashir wa sudan alishititakiwa for crimes against humanity basi na papa kama kiongozi wa nchi anafaa kushitakiwa for crimes against humanity kwa vitendo vya baadhi ya maaskofu kudhalilisha na kuwaingilia vijana na wa kiume hali ya kuwa Papa anajua.

Mbona hamnijibu maswali yangu? Ingelikuwa waislamu wanayafanya hayo tungelisikia kelele zenu humu jamvini.
 
I thought you said Vatican is not a country??
 
I thought you said Vatican is not a country??

Sio nchi ndivyo navyofahamu mie ila wanaharakati hao wanadai Vatican ni nchi na kudai Pope ashitakiwe ICC kwa Ocampo. Kesi hiyo itafichua mengi kuhusiana na status ya Vatican kama nchi au la na kama iendelee kuwa hivyo.
 
Lete basi vitabu vyako vinavyosema Vatican ni nchi tuelimishane ? No wonder!!!!

Na wewe tuletee aya kwenye kitabu chako inayokuelekeza kuwa mahakama ya kadhi llazima ianzishwe na serikali, ukishindwa hili usisumbue watu na hoja ya vatican, kwani katiba inasema kuwa taasisi za kidini zitakuwa nje ya mamlaka ya nchi.

Mnasumbuka na dini za kuletewa na wazungu na waarabu dini ambazo zimewachagua na sio ninyi kuzichagua,( bisha na hili tuone) mnaacha kutafuta mikakati ya kupambana na umaskini,ujinga na maradhi.

Mimi sioni tofauti ya maudhui ya Vatican ( holy sea) na any Islamic state.
 
Wewe vp mwenzetu umesoma au bado una matatizo ya udini?

Hata nikikuletea aya hutaielewa na sana sana utakabehi kwani huna nia ya kujifunza hata chembe nishakufatilia muda mrefu hivyo sijihangaishi huko. Nakuletea mistari ya sheria na moja ya principle za sheria ni mihimili ya dola (Doctrine of Separation of Power) na kila moja in a democratic state has its own independence. Amongst them ni Judiciary (au Mahakama) na ndani ya mahakama kuna sheria zimewekwa kuhakikisha amani na upendo katika jamii.

Kwakuwa mnadai this is a secular state and a democratic one hivyo mahakama ni haki ya msingi ya mtanzania yeyote. Sasa iweje haki hiyo mpewe nyie ndugu zetu wakristo na waislamu tunyimwe? Mahakama za sasa zimeshindwa kutatua matatizo ya ndoa, mirathi kiasi kwamba mali za waislamu zimekuwa zikiibiwa na mafisadi kila mahali. Mfano hai ni viwanja vya mayatima na wakfu ambavyo vingi vimeenda kwa watu wasio waaminifu wakitumia taasisi za kidini wakati wazazi wa hao waliofariki wameshatangulia. Sasa nikuulize iko wapi haki ya watanzania hawa???? Au waislamu sio Watanzania.

Vatican mkubwa huna reference ati unadai ni sawa na any Islamic State pambaf kabisa sijui mwenzetu wewe kihiyo. Labda nikuulize kwanini sasa hivi basi US na European allies wanapinga Papa asishitakiwe ICC for crimes against humanity against wale wanaharakati wanaotaka kumshitaki papa kwa kutofanya lolote kuzuia maaskofu wake wasilawiti vitoto vidogo???
 
Mimi ntaendelea kukuona mpumbavu tu, maana umeshindwa kutoa aya . Ntaendelea kukuona mpumbavu pale unaposema nyie mnanyimwa haki ya mahakama wakati hata mkianzisha sasa hivi hakuna atayewakataza. Atakayekubali kuzitumia ndiye muislamu wa kweli, atakayezikaa ana jina tu la kiislamu, mwache aende mahakama za kiraia. Soma signature yangu utajua kuwa dini mimi kwangu ni ukoloni tu, na usipojitoa minyororo hii ya dini siku zote utaioshia kulalama.kila kitu utakuwa unakiangalia kwa miwani ya dini kama walivyofanya wanazuoni wenu kuhusu DC wa Igunga. JK ameshamaliza hii issue please geukia thread zingine.

Mpumbavu ni yule asiyeona ujinga wake mwenyewe. Mmeshindwa hoja mnabakia kuleta visingizio vya kijinga mara serikali haina dini, mara hii ni suala la waislamu, mara JK ameshatoa tamko , mara unataka aya. WANAFIKI NYIE kama unataka aya si ukachukue msahafu usome ujue aya gani imezungumzia kuhusu mahakam ya kadhi (which is hutakuta kwasababu mahakama ya kadhi falls into islamic jurispudence).

Unasema JK ameshatoa tamko sio ndio nyie mnapita mkidhihaki JK kuwa sio rais wako wa halali na rais wako wa halali ni Dr Slaa? Leo hii unamkubali kama rais wako kama sio unafiki huo ni nini?

Unasema unataka aya wakati nimesoma post zako mbili au tatu ukiutukana uislamu na kusema ni dini ya wachawi na isiyokuwa na maana kwako leo hii unataka aya ya nini kama sio unafiki tu.

Isitoshe unasema hizi dini za wakoloni wakati wewe mwenyewe ni mfuasi wa dini hiyo kwani kuna posti moja ulikuwa ukisifia dini yako na kubeza waislamu you are hypocrite.

Sio lazima uchangie thread hii kama hutaki kuona post zangu unaweza kuipotezea kama umekosa hoja wapishe vidume vyenye hoja za msingi waje kujadiliana wewe kaa pembeni mpuuzi we!!!!
 
Tatizo kubwa la waislam ni kuwa hawana chumbo cha kuwa semea. Bakwata ni chombo cha kiafiri cha kuhakisha kuwa mipango ya kuwakandamiza waislam wa Tanzania inafanikiwa. Mbona serikali imekubali kuwepo kwa ubalozi wa kanisa?
 
Serikali ya Tanzania haina dini na haiegemei dini yoyote.Ndugu zangu waislam,tafakarini hili,kwa katiba ilivyo ni ngumu kwa mahakamaya Kadhi na OIC .Fanyeni mambo kwa kuzingatia hali tuliyonayo,kingine ni kuwa ki-elimu tuko nyuma sn,kwani hata maneno ya Mungu husema tumtafute sana elimu na tusimwache aende zake.Tuwe na maadili yenye ubinadamu,si ubinafsi uliojaa chuki ambazo hazitatusaidia kesho,leo ni kivuli cha kesho,na jana ni matokeo ya leo.
 
INAINGIAJE AKILINI KUCHUKUA CHOMBO KINACHODHIBITIWA NA WAISLAMU KUKITUMIA KUKANDAMIZA WAISLAMU. Hii inaleta maana gani kati ya chombo na wanaokilalamikia. Ushauri muda ukifika musichague viongozi watakaowakandamiza. Mimi sipendi chombo kikandamize wanaokichagua.
 
Nionavyo mimi nchi yetu imefika pabaya.nilikuwa nikiwasikia wanasiasa wakibisha kuhusu kuwepo udini nchi au la.lakini baada ya kujiunga na jamii forum nimegundua udini upo.kwa wanapost humu ndani asilimia kubwa si wanasiasa bali ni wadini.mkatae mkubali nchi hii imeshazama kwenye wimbi baya la kiimani.sasa hivi ajira,biashara na elimu hufanywa kwa udini ingawa ni kwa hali ya usiri sana.siamini wimbi hili litatuacha kugharikika ni wajibu.
 
Kwa mara nyingine tena hoja ya Bunge kupitisha sheria ya kurudisha ofisi ya Kadhi Mkuu linajitokeza tena huku waislamu wakitaka Bunge litunge sheria ya kutambua uwepo wake na wakristu wakipiga kelele kuwa kufanya hivyo ni kuvunja Katiba. Hoja yangu leo ni kuwa, Waislamu hawahitaji kibali cha serikali kuanzisha ofisi ya Kadhi Mkuu kushughulikia mambo yao yanayoendana na sheria za Kiislamu.

Waislamu wakae wao wenyewe wapitishe uwepo wa ofisi hiyo na kuendelea na shughuli zao. Ilimradi tu, maamuzi ya ofisi yao hiyo hayaingilii uhuru wa Mtanzania mwingine au utendaji kazi wa sheria zetu za makosa ya uhalifu na jinai. Pia waelewe ya kwamba uwepo wa ofisi ya Kadhi Mkuu ni subject ya Katiba ya Muungano na Mtanzania yeyote kimbilio lake la mwisho ni mahakama ya Kiraia. Zaidi ya yote, watakapoanzisha ofisi hiyo, wajue kuwa isiwalazimishe waislamu wote kutatua matatizo yao kupitia ofisi hiyo isipokuwa wale ambao kwa hiari yao wanataka kufanya hivyo.

Kanisa Katoliki kwa mfano linayo mahakama yake na sheria zinazoliongoza kanisa hilo (Canon Law) na mahakama yake hiyo ina ngazi za rufaa hadi Vaticano. Hata hivyo Mkatoliki ana haki ya kutumia sheria hizo kuhusu masuala mbalimbali ya kanisa lake, lakini anapofanya kosa la jinai, sheria za kiraia (civil law) zinakuwa na mamlaka. Hivyo basi, waislamu wasisubiri Bunge kupitisha ofisi ya Kadhi Mkuu bali waianzishe wao wenyewe huku wakiweka bayana kabisa kuwa ofisi hiyo haitahusika na makosa ya jinai au kupingana na Katiba ya nchi. Then, hakutakuwa na haja ya kugongana!!!

Jamani waislamu wanatakiwa watambue nchi hii siyo ya kidini kwahiyo kudai uwepo wa Mahakama ya kadhi ni kinyume na taratibu za mfumo wa nchi yetu. Haifai hata kidogo. Wabunge wanatakiwa kusimamia na kutunga sheria na siyo kupitisha maswala ambayo ni ya kibinafsi.
 
Nchi siyo ya kidini eti eee!!sasa memorandum of understanding ya 1992 kati ya serikali na makanisa niwa nini,mkataba unaowafanya wakristo wakokotoe mabilion ya walipa kodi kutoka serikalin,tukiwageukia nao waislam na hiyo inayoitwa bakwata mlikuwa wa kwanza kumshobokea kikwete,leo hii yapo wapi?
 
Back
Top Bottom