vatican ni nchi na uislamu ni dini, hao wanakiti mpaka Umoja wa Mataifa , kama iliyo kwa nchi kama Afaganistani na Nchi zote zinazofuta utawala wa kiislamu, na kwa taarifa yako hizo ni nyingi sana
kwa haraka haraka ni
hizo zinajulikana kama islamic state
- Afganistani
- Iran
- Mauritanian
- Pakistan
mkuu hata udini na kama unataka kuendekeza udini basi tumia source za kuaminika.
na kama VATICAN ni Tatizo basi hizo nchi NNE za kiislamu ni tatizo tuvunje ubalozi nao pia
source wikipedia hapo chini
An Islamic state is a state that has adopted Islam as its state religion, and more specifically Islamic law as the foundations for political institutions, or laws, exclusively.
The concept is related to the notion of dar al-islam (Arabic دار الإسلام) the "domain of Islam", defined (by the prevailing opinion) as the domain in which:
Islamic republic is the official name given to several contemporary states in the Muslim world, including the Islamic Republics of Pakistan, Iran, Afghanistan, and Mauritania. Pakistan adopted the title under the constitution of 1956. Mauritania adopted it on 28 November 1958. Iran adopted it after the 1979 Islamic Revolution that overthrew the Pahlavi dynasty. Afghanistan adopted it after the 2001 overthrow of the Taliban. Despite the similar name the countries differ greatly in their governments and laws.
- All the laws governing the area have their roots in islamic jurisprudence.
- The security al-amaanah (Arabic الأمانة) is in the hands of Muslims.
Pan-Islamism is a form of religious nationalism within political Islam which advocates the unification of the Muslim world under a single Islamic state, often described as a caliphate
hii mahakama ya kadhi ni haki ya waislam kama ulivyo ubalozi wa vatican ni haki wa wakiristo
hii mahakama ya kadhi ni haki ya waislam kama ulivyo ubalozi wa vatican ni haki wa wakiristo
Vatican si nchi ni Taasisi na ndio maana haitambuliki hata kwenye international laws na UN kama maaskofu hawaitaki mahakama ya kadhi na waislamu hawaitaki vatican.
hapa ndipo wapinga ufisadi wanapowaunga mkono ccm
Vatican si nchi ni Taasisi na ndio maana haitambuliki hata kwenye international laws na UN kama maaskofu hawaitaki mahakama ya kadhi na waislamu hawaitaki vatican.
Hawa c ndio wanaompinga Msekwa na Ccm yake? Leo wana msaport kwa sababu kazungumzia udini kama walivyo wao? Sasa nimewafaham hawa watu kwa uelewa mpana! Nilidhani wangeendelea kumpinga kwa kuwa mada imetoka kwa ccm!
Kwa hiyo kama Vatican kuna muislam kwa mfano, anawakilishwa na rais papa pia? Ama Lutheran etc......
Google wewe, bila Holy see hakuna nchi inayoitwa Vatican City, kifupi huwezi kuzitenganisha kwani hata rais wake yuko chini ya Papa. vatican kuna aina mbili ya mabalozi wapo wanaowakilisha nchi pekee na wapo wanaowakilisha nchi na Holy see, balozi wao Tanzania anawakilisha vyote.Vatican city is a country jaribuni hata ku-google kabla ya kupinga kila kitu hapa
Usichokijua ni sawa na usiku wa kiza.. mkuu ni bora uliza ufahamishwe kuliko kutunga maneno ambayo hayahusiani kabisa na mahakama ya kadhi..SINDBAD, naomba unisaidie katika suala hili la kadhi.
1. Kwani hamuwezi kuweka hao makadhi bila ya bunge kuidhinisha?????
2.Hiyo mahakama ya kadhi itatoa adhabu gani?? na je kuna magereza ya Kadhi yatakayoanzishwa????
Wasiwasi wetu ni kuwa mahakama hizo ndio mwanzo wa kuwa na taifa la kiislamu ambalo sharia za kukata watu mikono zitakuwa ninatawala.
Umenipa RAHA sana! we now see your true colors! hapa hampumui wala hamchomoi, tunakaba mpaka PENALT!!
Katika majibu yake kwa malalamiko hayo Rais alisema kuhusiana na Tanzania kujiunga na OIC, serikali yake inazingatia kwanza maoni ya Wakristo kabla ya kuamua ijiunge au isijiunge na jumuiya hiyo.
Swali langu moja tu: Je waislam sio rai halali wa nchi hii? Mbona wao maoni yao haya zingatiwi?