Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Kuondoa mzizi wa fitina BAKWATA wajiunge na OIC ili wapate zile "fedha za shetani!" Alternatively, kama OIC wana nia ya dhati ya kuisaidia Tanzania waisaidie kwa kuipatia hizo "fedha za shetani" bila kujiunga nayo!

Hivi Bernard Membe aliwahi kuomba radhi kutokana na maneno haya aliyoyasema? That was very low indeed! Nashangaa jambo moja, ni kwanini waislamu wa OIC wanaweka mazingira magumu kwa waislamu wa nchi zisizo wanachama wa OIC? Hivi ningekuwa mwislamu na niko katika nchi ambako tuko labda 2%, OIC hawatanisaidia, kwa nini? Ndivyo uislamu unavyofundisha? Kasoro iko kwenye hiyo OIC yenyewe. Binafsi sipingi waislamu kujiunga na OIC, ninachopinga ni nchi (including mimi nisiyeamini uislamu) kujiunga na OIC, hilo tu. Sipingi OIC kuwasaidia waislamu wa Tanzania, na nadhani hata serikali yetu haipingi hilo. Sasa kwa nini tukajiunge huko?
 
National embarassment nyingine tena. Mdondoaji angalia list ya nchi zenye viti Umoja wa Mataifa ndio utajua hii point yako kwa kiasi kikubwa inatulidhilisha watanzania wote.

Kuondoka kwa ubalozi wa Vatican wala isikupe shida. Lakini kumbuka usirushe mawe kama uko ndani ya nyuma ya glass! Ubalozi wa Vatican ukifutwa Tanzania tafsiri ni kwamba umefutwa kwa sababu unawakilisha nchi inayoongozwa kwa kanuni/sheria za imani fulani in this case - Catholism. Now, the very same prescription itatolewa kwa balozi zote hapa nchini zinawakilisha nchi zenye kuongozwa na kanunu/sheria za imani. Let's start; Iran, Pakistan, Saudi Arabia, Yewen, Kuwait, Sultan on oman, etc etc.

On practicle level, halua na zile annual deliveries za nyama zitapotea! and worse, masjid lukuki zitaguaka kuwa something you never thought of. I dare you make to make good on your threat!

Dawa yako wewe ni kukujibu kwa nondo tu:-

"The Holy See has been recognized, both in state practice and in the writing of modern legal scholars, as a subject of public international law, with rights and duties analogous to those of States. Although the Holy See, as distinct from the Vatican City State, does not fulfil the long-established criteria in international law of statehood—having a permanent population, a defined territory, a stable government and the capacity to enter into relations with other states[7]—its possession of full legal personality in international law is shown by the fact that it maintains diplomatic relations with 178 states, that it is a member-state in various intergovernmental international organizations, and that it is: "respected by the international community of sovereign States and treated as a subject of international law having the capacity to engage in diplomatic relations and to enter into binding agreements with one, several, or many states under international law that are largely geared to establish and preserving peace in the world."[8]

Source : Wikipedia.

In UN wamedeclare that Vatican City is an independent state and not a sovereign country. That is why wana permanent observer status and not a full membership just like any sovereign state. Na sio kwamba hawataki kama Switzerland ila waliomba wakakataliwa kutokana na kushindwa kufikia vigezo vya kuitwa a sovereign country.

Professor Geofrey Robertson alisema hivi alipoulizwa kuhusu Vatican statehood:-
"The notion that statehood can be created by another country’s unilateral declaration is risible: Iran could make Qom a state overnight, or the UK could launch Canterbury on to the international stage.”

Kwahiyo ni kichekesho kwa wale waumini wa kikatoliki kudai Vatican City ni nchi eti kutokana makubaliano ya Lateran ambayo yamefanyika baina ya pope na serikali ya Italy.
 
Tatizo watu wanapjadili haya mambo hawataki kuweka imani pembeni.

Ndio maana baadhi ya ndugu zetu waislam wanadhani wakrstu wanapendelewa just bcs ukiweka imani pembeni maamuzi mengi yanaendana na muelekeo huo.

Waislam wote au musilam yeyote nawahikikishia akipewa cheo cha mwanasherika mkuu wa serikali akambiwa kuishauri serikali juu ya hii issue makamaa kwa kufuata katiba . Kama kweli akifuata maadili ya sheria na katiba ushahuri wake utakuwa no to mahakama ya kadhi.

haya mambo mengine mnawapa hata wakati mgumu viongozi wenye dini zenu sababu hayawezekanini zaidi ni kuvunja katiba.
 
Kwani Tanzania ina sheria gani kuhusiana na nchi, taasisi na vikundi nchini kujiunga na uanachama wa taasisi za dini za kigeni, sovereign countries, Sovereign states.

Suala la kujiunga na OIC bado halieleweki vizuri, ukiangalia vizuri katiba ya OIC unaweza kuona kuwa Tanzania itajiunga kwa sababu za kidini, yaani kuna wezekano mkubwa kuwa lengo la OIC ni kuisilimisha Tanzania, na kuleta utaratibu wa sheria na tamaduni za kiarabu Tanzania na kutakana watanzania wote hata wasipoenda wazifuate, hiki ndio kinatisha baadhi ya watanzania. Unaweza kusikia siku moja ukizini mwanamke anapigwa mawe hadi kufa, mwanaume unaweza kukatwa ->->->, au ukiiba unaweza kukatwa mkono, sijui kama kweli hiki ndio tunakata watanzania.

Kuna baadhi ambao naweza kusema ni wajinga, wanazungumzia issue ya kupewa misaada, as if watanzania wote ni ombaomba, or as if kuwa watanzania wote tunajisikia vizuri kuitwa ombaomba.

Kuna wanaojaribu kutumia maneno matamu matamu ya ujanja ujanja, lakini ukweli kimsingi uko pale pale. Yaani tuangalie msingi wa utaifa wetu uko wapi, na tuangalie sheria zetu zinasemaje kuhusu kujiunga na taasisi za kidini.
 
the-borgias-showtime-poster-550x739.jpg

Mkuu ukitaka kujua umafia na u-criminal wenyewe jaribu kuserach kwenye youtube
Fitna - The Geert Wilders Movie, hapo ndio unaweza kuona kuwa tulikuwa wajinga sana kukubali dini za kigeni na kuacha dini zetu.
 
Tatizo watu wanapjadili haya mambo hawataki kuweka imani pembeni.

Ndio maana baadhi ya ndugu zetu waislam wanadhani wakrstu wanapendelewa just bcs ukiweka imani pembeni maamuzi mengi yanaendana na muelekeo huo.

Waislam wote au musilam yeyote nawahikikishia akipewa cheo cha mwanasherika mkuu wa serikali akambiwa kuishauri serikali juu ya hii issue makamaa kwa kufuata katiba . Kama kweli akifuata maadili ya sheria na katiba ushahuri wake utakuwa no to mahakama ya kadhi.

haya mambo mengine mnawapa hata wakati mgumu viongozi wenye dini zenu sababu hayawezekanini zaidi ni kuvunja katiba.

Kwani ufunguzi wa ubalozi wa Vatican nchi ulifuata sheria na katiba ipi? Hivi unajua the survival of Vatican City statehood unatokana na ushirikiano wake na mataifa mbalimbali. Hivyo basi kama nchi inazoshirikiana nazo wakifuta ushirikiano wao (bilateral relationship)na Vatican City, vatican city statehood inakufa. Je nikuulize wewe Zing, sheria gani inayoruhusu Serikali ya Tanzania inayojiita haina dini kuingia katika bilateral relationship na Vatican City (a.k.a Kanisa katoliki through Holy See)????? Acheni uzushi wenu hapa.
 
Kwa hiyo unataka kusema Tanzania isingekuwa na uhusiano na Vatican basi hata mahakama ya kadhi nayo siyo hoja.????

Do u mean hoja ya mahakama ya kadh inakuja kwa sababu tu kuna vatican Tanzania ?
 
Kwa hiyo unataka kusema Tanzania isingekuwa na uhusiano na Vatican basi hata mahakama ya kadhi nayo siyo hoja.????

Do u mean hoja ya mahakama ya kadh inakuja kwa sababu tu kuna vatican Tanzania ?

Jibu swali acha kuzunguka mbuyu. je Bilateral agreement between the government of all tax payers and Catholic church ilifata sheria na katiba ipi!!!!!
 
Jibu swali acha kuzunguka mbuyu. je Bilateral agreement between the government of all tax payers and Catholic church ilifata sheria na katiba ipi!!!!!

Bilateral agreement ya mwaka gani? timing ni muhimu ili uelewe na vilevile na hiyo scope ya hiyo agreemnet inavolve vitu gani na hainvolve vitu gani ?

Kuwa na agreement sio kosa ili kuwe na commona understanding.
 
Mkuu,

Nyerere alipokubali kufungua ubalozi wa taasisi ya Vatican nchini miaka ya 70 mlishaingia mkenge wenyewe. Kwanini, wanasheria wanasema kitu kinaitwa Previous precedents. Kama aliona kuna exceptions za kufungua taasisi ya Vatican nchini ndani ya katiba basi sheria hizo hizo zitaulizwa mahakamani, bungeni au popote pale mnapotaka. Alimradi mtujibu vigezo vilivyotumika kukubali kufungua mahusiano na taasisi.

Kama ulivyosema timing muhimu kwahiyo kama nyie mlianza waislamu ndio wanakuja sasa. Common understanding ipi waislamu wanaipata katika agreement baina ya kanisa katoliki na serikali zaidi ya kuwa marginalised????
 
Nimefurahi m.m.m alipotolea mfano wa kanisa katoliki na mwingine ametolea mfano wa wamasai kuwa na uwezo wa kuanzisha vyombo vyao vya maamuzi bila kuishirikisha serikali.................sasa hawa waislamu ni nani hasa hapa nchini mpaka waendelee kutupotezea muda kiasi hiki......kwanini wafikirie kutumia kodi za watz...........
 
Kodi za watanzania zinapotumika kumpokea papa je ni sahihi??? Kodi za watanzania zinapotumika kutoa ulinzi wa pope na ubalozi wa taasisi ya vatican nchi ni kodi ya nani??? Pointless kabisa!!!!
 
Hebu muulize mtu yeyote au ingie website ili nchi ndogo kuliko zote duniani ni ipi......ni vatican.....na ubalozi wa vatican upo katika nchi karibu zote duniani hata huko uarabuni kwani ni nchi inayojitegemea?....kwani oic ni nchi?...kwani mahakama ya kadhi ni nchi?..........
tuache ubabaishaji na tuache uvivu wa kukaa vijiweni na kudai vitu vya hovyo badala ya kuangalia maisha yetu na watoto wetu yataendaje?......
\
mkuu,

nyerere alipokubali kufungua ubalozi wa taasisi ya vatican nchini miaka ya 70 mlishaingia mkenge wenyewe. Kwanini, wanasheria wanasema kitu kinaitwa previous precedents. Kama aliona kuna exceptions za kufungua taasisi ya vatican nchini ndani ya katiba basi sheria hizo hizo zitaulizwa mahakamani, bungeni au popote pale mnapotaka. Alimradi mtujibu vigezo vilivyotumika kukubali kufungua mahusiano na taasisi.

Kama ulivyosema timing muhimu kwahiyo kama nyie mlianza waislamu ndio wanakuja sasa. Common understanding ipi waislamu wanaipata katika agreement baina ya kanisa katoliki na serikali zaidi ya kuwa marginalised????
 
Tuache ubwege jamani....mbona kodi hizohizo hutumika pia kiwete akialikwa na dini zote kwenye kuhudhuria sherehe/ufunguzi na mambo mbalimbali ya makanisa au misikiti akiwa na wapambe kibao?......pope anapewa ulinzi ktk nchi zote anazotembelea sio tu tz hata huko kwa waislmu wa kweli(sio hawa wa kwetu wanaoamini ktk kuua wenzao/kuleta vuguru ndio kuingia peponi) nao wanampa ulinzi mkali kwani ni kiongozi mkubwa....sina historia sahihi ila nadhani hata mungu wenu muhamad pia alipokuwa anatembelea nchi mbalimbali alipewa ulinzi bila shaka...sasa ni unafiki tu unawasumbua baadhi yetu na sijui km tatizo ni elimu tuliyonayo au kufuata upepo tu au mafundisho ya dini yanapotosha...sasa kwanini mtu km pope asipewe ulinzi wa kutosha.......
Mijitu mingine bwana....kwa hiyo km muhamadi alipewa ulinzi kwa kodi za serikali alikotembelea basi zirudishwe kwanza au?,,,,,

kodi za watanzania zinapotumika kumpokea papa je ni sahihi??? Kodi za watanzania zinapotumika kutoa ulinzi wa pope na ubalozi wa taasisi ya vatican nchi ni kodi ya nani??? Pointless kabisa!!!!
 
Hebu muulize mtu yeyote au ingie website ili nchi ndogo kuliko zote duniani ni ipi......ni vatican.....na ubalozi wa vatican upo katika nchi karibu zote duniani hata huko uarabuni kwani ni nchi inayojitegemea?....kwani oic ni nchi?...kwani mahakama ya kadhi ni nchi?..........
tuache ubabaishaji na tuache uvivu wa kukaa vijiweni na kudai vitu vya hovyo badala ya kuangalia maisha yetu na watoto wetu yataendaje?......
\

Endelea kuota tu but Vatican City sio nchi ndugu. Hizo propaganda kudai eti nchi ndogo wakati sio EU wala UN wanaitambua kuwa ni a sovereign country kwangu ni pointless. It has no logical and strong legal basis mkuu. Nimekuwekea pale kuwa kinachoifanya itambulike Vatican statehood ni relationship between them and other countries. Chini ya International Law Vatican City haikamilishi vigezo vya kuitwa nchi hivyo kisheria ni taasisi tu... Kama hutaki kukubali kwa matashi ya mapenzi yako ya imani basi niletee hoja kuthibitisha hilo kisheria I dare challenge you.
 
Tuache ubwege jamani....mbona kodi hizohizo hutumika pia kiwete akialikwa na dini zote kwenye kuhudhuria sherehe/ufunguzi na mambo mbalimbali ya makanisa au misikiti akiwa na wapambe kibao?......pope anapewa ulinzi ktk nchi zote anazotembelea sio tu tz hata huko kwa waislmu wa kweli(sio hawa wa kwetu wanaoamini ktk kuua wenzao/kuleta vuguru ndio kuingia peponi) nao wanampa ulinzi mkali kwani ni kiongozi mkubwa....sina historia sahihi ila nadhani hata mungu wenu muhamad pia alipokuwa anatembelea nchi mbalimbali alipewa ulinzi bila shaka...sasa ni unafiki tu unawasumbua baadhi yetu na sijui km tatizo ni elimu tuliyonayo au kufuata upepo tu au mafundisho ya dini yanapotosha...sasa kwanini mtu km pope asipewe ulinzi wa kutosha.......
Mijitu mingine bwana....kwa hiyo km muhamadi alipewa ulinzi kwa kodi za serikali alikotembelea basi zirudishwe kwanza au?,,,,,

Kumbe saa zengine unakuwa unaelewa serikali inafahamu uwepo wa watu na imani zao basi kwa misingi hiyo hiyo mahakama ya kadhi itaanzishwa kama hutaki kula misumari mkuu....Kodi tunalipa sote na serikali ni ya watanzania na sio ya Cardinal Pengo au TEC au KKKT or whatever.
 
Kumbe huna uwezo wa kutofautisha shughuli za kawaida zinazohitaji heshima popote duniani na kuingia mikataba ya kudumu?....sasa huu ndio ufinyu na uwezo wetu mdogo wa kuelewa......ambachoo watz hawataki ni kuweka dini fulani kwenye sheria mama (katiba) wakati dini zingine hazifanyi hivyo (yaani zinajitegemea kwa fedha zao)......kwa nini muislamu huyohuyo hawezi kushauri serikali basi isaidie kila dini iingize mambo yake kwenye katiba ili kubalance mambo........km waislamu hawatoi ushauri km huu basi ni wanafiki na wabinafsi wakubwa......tuacheni uchochezi japo dini zetu zinatufundisha vibaya na kuwa na misimamo ya hovyo...

kumbe saa zengine unakuwa unaelewa serikali inafahamu uwepo wa watu na imani zao basi kwa misingi hiyo hiyo mahakama ya kadhi itaanzishwa kama hutaki kula misumari mkuu....kodi tunalipa sote na serikali ni ya watanzania na sio ya cardinal pengo au tec au kkkt or whatever.
 
Kumbe huna uwezo wa kutofautisha shughuli za kawaida zinazohitaji heshima popote duniani na kuingia mikataba ya kudumu?....sasa huu ndio ufinyu na uwezo wetu mdogo wa kuelewa......ambachoo watz hawataki ni kuweka dini fulani kwenye sheria mama (katiba) wakati dini zingine hazifanyi hivyo (yaani zinajitegemea kwa fedha zao)......kwa nini muislamu huyohuyo hawezi kushauri serikali basi isaidie kila dini iingize mambo yake kwenye katiba ili kubalance mambo........km waislamu hawatoi ushauri km huu basi ni wanafiki na wabinafsi wakubwa......tuacheni uchochezi japo dini zetu zinatufundisha vibaya na kuwa na misimamo ya hovyo...

Mapokezi ya kitaifa ya pope wewe unasema shughuli ya kawaida??? Uingereza walisign a petition ya watu karibia milioni 2 na kitu kupinga serikali kugharimia mapokezi ya pope. Iliwabidi wabadilishe ratiba za pope kukidhi mahitaji ya taxpayers wewe unatuambia ni jambo la kawaida. Unajua nchi inagharamika kiasi gani kiongozi wa nchi anapokuja nchini? Yet alone kiongozi wa sehemu isiyotambulika ni nchi au jimbo mojawapo la Italy.

Waislamu nao wanataka serikali iwatumikie baada ya fail service from judiciary kwenye kesi zao za mirathi. Wao kama walipa kodi kutoka katika jamii kubwa nchini they also deserve this service from the public institution. Ndio maana nakuambia kwa hili mtuvumilie tu ndugu zetu wa upande wa pili linakuja mkipende msipende.
 
Mkuu,

Nyerere alipokubali kufungua ubalozi wa taasisi ya Vatican nchini miaka ya 70 mlishaingia mkenge wenyewe. Kwanini, wanasheria wanasema kitu kinaitwa Previous precedents. Kama aliona kuna exceptions za kufungua taasisi ya Vatican nchini ndani ya katiba basi sheria hizo hizo zitaulizwa mahakamani, bungeni au popote pale mnapotaka. Alimradi mtujibu vigezo vilivyotumika kukubali kufungua mahusiano na taasisi.

Kama ulivyosema timing muhimu kwahiyo kama nyie mlianza waislamu ndio wanakuja sasa. Common understanding ipi waislamu wanaipata katika agreement baina ya kanisa katoliki na serikali zaidi ya kuwa marginalised????
Wanasheria gani hao wa nchi gani wanaosema hivyo

Yes timing na scope na hiyo agrrement ni muhimu. Hiyo agreement inaasemaje? Kuna sehemu inataja au kushinikiza seikali kuanzisha serikali kwa ajili ya wakristu

Hiyo Mahaama ya kadhi sahahu mtapigwa danadana na mbaya zaidi JK anashindwa kuwaambia wazi kuwa hii kitu hakiwezekani.It will never be part of the government unless utakuwa ni mgogoro mkubwa wa kikatiba.
 
Waislamu nao wanataka serikali iwatumikie baada ya fail service from judiciary kwenye kesi zao za mirathi. Wao kama walipa kodi kutoka katika jamii kubwa nchini they also deserve this service from the public institution. Ndio maana nakuambia kwa hili mtuvumilie tu ndugu zetu wa upande wa pili linakuja mkipende msipende.

Hilo sahau mkuu japo mkristu lakini kisheria kiserikali hilo dai hata wewe ukiwa mwansheria muu utasema NO. utapata kazi kuwaambia waisam wenzako haiwezekanai lakini ndo ukweli.

Kesho watakuja wanyaturu, wagogo wahaya wajaruo etc wamakonde nao wanataka serikali itambue na ianzishe sheria zao za mirathi kwenye maahakama za kijadi nani i ya mahakama ya serikali. Utaaawambia nini ?

Vitu vingine ni kutumia simple logic tu na kuweka ushabiki pembeni
 
Back
Top Bottom