Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

mnaibana ccm kuhusu ufisadi.lkn mnakuwa pamoja na kuunga mkono kuhusu madai ya waislam. hapo ndipo manposhindwa. yaani one side

Ndugu yangu jaribu kuelewa kwamba kupinga ufisadi wa ccm haimaanishi kupinga kila jambo la ccm! ngoja nikupe mfano mwepesi labda utajaaliwa kuelewa- mr.X anafanya biashara kadhaa, anamiliki bucha maeneo ya sinza ambapo anauza kitimoto na labda ni haramu kwako, pia pale kariakoo mr.X analo banda lake anauza matunda mbalimbali kama maembe, mananasi, tikitimaji n.k, je
utakuwa radhi kununua matunda kwake au na hayo matunda yatakuwa haramu kwako?
 
hii mahakama ya kadhi ni haki ya waislam kama ulivyo ubalozi wa vatican ni haki wa wakiristo

Ni kweli mahakama ya kadhi ni haki ya waislam, sasa mbona hawaianzishi kwani wamekatzwa na serikali? ubalozi wa vatican haukuletwa tz kwa maombi ya wakristo kama ambavyo balozi za iran, pakistan n.k hazikuletwa tz kwa maombi ya waislam! vilevile wakati ule Nyerere alipovunja uhusiano wa kibalozi na
israel haikuwa kwa matakwa ya waislam bali kutokana na misimamo ya serikali wakati ule vilevile mahusiano ya kibalozi tuliyonayo sasa haitokani na mashinikizo ya kimadhehebu, taasisi au kikundi fulani bali ni utashi wa serikali ya tz ambayo si ya kidini! kamwe hutoweza kupambanua mambo kwa ufasaha na hekima kama ubongo wako umejaa udini! you will always be blind and unwise if you continue to judge issues in such a manner!
 
Hawa c ndio wanaompinga Msekwa na Ccm yake? Leo wana msaport kwa sababu kazungumzia udini kama walivyo wao? Sasa nimewafaham hawa watu kwa uelewa mpana! Nilidhani wangeendelea kumpinga kwa kuwa mada imetoka kwa ccm!
Kwa hiyo kama Vatican kuna muislam kwa mfano, anawakilishwa na rais papa pia? Ama Lutheran etc......

Ni kama iran hata kama kuna wakristo wanatawaliwa na sharia!
 
Google wewe, bila Holy see hakuna nchi inayoitwa Vatican City, kifupi huwezi kuzitenganisha kwani hata rais wake yuko chini ya Papa. vatican kuna aina mbili ya mabalozi wapo wanaowakilisha nchi pekee na wapo wanaowakilisha nchi na Holy see, balozi wao Tanzania anawakilisha vyote.

Na tunabisha kitu gani haswa? ikiwa sisi wote tumeona jinsi Vatican ilivyoweza kuwasaidia Wakristu na hata mnajisifia kwa elimu, iweje iwe taabu sana kusikia kuna chombo cha Waislaam kinachotaka kuwasaidia kama nyie mnavyojivunia? au nchi yetu ina dini moja..Na kwa jinsi mnavyopinga yaonyesha wazi kuna jambo hapa hatulijui sisi tunaotazama sarufi kwa pande zote mbili..Yapo mabenki ya kikiristu lakini mkisikia ya Kiislaam haiwezekani hii sio nchi ya kiislaam..

Na hulka ya kibinadamu inatuumbua sote.. Jaribu kufikiria wewe mwenyewe ama fanya utafiti wako binafsi. Ni watoto wangapi wa Kikristu hujisikia huru studing at Muslim schools or Muslims at Catholic schools?.. ukweli ni kwamba kati ya 10 only few and could be none lakini kwa sababu hawana jinsi watasoma shule zinazoongozwa na dini nyingine.

Kama kweli nchi yetu haina dini basi shule, Hospital na huduma zote za kijamii zisiwe za kidini bali liwe ni jukumu la serikali iliyopo madarakani hapa tutaondoa matatizo mengi ya kidini ndani ya serikali, lakini kama dini zitaingilia kazi na huduma za serikali tutasemaje kwamba nchi yetu haina dini wakati dini ndizo zinatoa huduma?

Hivi OIC ni nguzo ya ngapi ya uislam? nchi za kiislam haziwezi kusaidia ujenzi wa mashule,vyuo na mahospitali au misaada yao ni kujenga misikiti na madrasa tu? hivi jumuiya ya waislamu wa nchi fulani haiwezi kushirikiana na waislam wa tz katika kuanzisha taasisi hizo muhimu? waislamu wa tz hawawezi kujipanga na kuanzisha taasisi kama hizo? mnavyoona wakristo wanafanya harambee, vyakula vya hisani n.k unadhani wanacheza kiduku! wanahamasishana kuleta maendeleo. si kila mkristo ni mkatoliki ndugu yangu, KCMC ni ya lutheran na haijajengwa na vatican na haitoi huduma kidini!
 
Endelea kuota tu but Vatican City sio nchi ndugu. Hizo propaganda kudai eti nchi ndogo wakati sio EU wala UN wanaitambua kuwa ni a sovereign country kwangu ni pointless. It has no logical and strong legal basis mkuu. Nimekuwekea pale kuwa kinachoifanya itambulike Vatican statehood ni relationship between them and other countries. Chini ya International Law Vatican City haikamilishi vigezo vya kuitwa nchi hivyo kisheria ni taasisi tu... Kama hutaki kukubali kwa matashi ya mapenzi yako ya imani basi niletee hoja kuthibitisha hilo kisheria I dare challenge you.

Hivi Palestina ni nchi? najua ubalozi wake upo hapa tz.
 
Wanasheria gani hao wa nchi gani wanaosema hivyo

Yes timing na scope na hiyo agrrement ni muhimu. Hiyo agreement inaasemaje? Kuna sehemu inataja au kushinikiza seikali kuanzisha serikali kwa ajili ya wakristu

Hiyo Mahaama ya kadhi sahahu mtapigwa danadana na mbaya zaidi JK anashindwa kuwaambia wazi kuwa hii kitu hakiwezekani.It will never be part of the government unless utakuwa ni mgogoro mkubwa wa kikatiba.

Vema waache wapige danadana but unajua kilichotokea Ivory Coast, Nigeria waislamu walichoshwa na danadana wakaamua to rebel against the government. Wafuasi wa Laurent gbabo ambao ni wakristo walianza kudhihaki eti wao wameshika serikali. Wafuasi wa Alhaji Alasante outtarra wakaja juu kwani wao ni waislamu na ni wengi. Kilichotokea ni mauaji of innocent victims kwasababu ya upumbavu na tamaa ya madaraka. Wanyime hii mahakama ya kadhi ndio utajua nguvu ya waislamu ipi mkuu. Hakuna cha mgogoro wa kikatiba that is purely scaremongering kama waliweza kuipindisha katiba kuruhusu kanisa lifungue ofisi Tanzania wanashindwa nini kuruhusu Mahakama ya Kadhi????
 
Ni muda wako kuwajulishaau na kuwakumbusha wauminini wote Waislam kupambania haki yao ktk katiba mpya tunayoipambania maana ni haki yeti. Ni vizuri busara zaidi ikatumika.
 
jamani, kama hujui kitu uliza ama nyamaza kuliko kupotosha watu kwa kutojua kwako
Wewe unayejua tuambie basi ??? Kaa kimya kama hujui unachozungumza. Vatican waumini wake wakatoliki na kiongozi au balozi wake ni cardinal akienda kanisani anapewa usukani wa kuongoza ibada. Tuambie Palestina ana waumini gani Tanzania. Mnalo hilo fupa la samaki!!!
 
Ni muda wako kuwajulishaau na kuwakumbusha wauminini wote Waislam kupambania haki yao ktk katiba mpya tunayoipambania maana ni haki yeti. Ni vizuri busara zaidi ikatumika.

Hili nalo ni sehemu ya katiba. Waislamu wanataka kufahamu je Serikali haina dini au ina dini moja ya ukristo? Ili tufahamiane vizuri!!!
 
Vema waache wapige danadana but unajua kilichotokea Ivory Coast, Nigeria waislamu walichoshwa na danadana wakaamua to rebel against the government. Wafuasi wa Laurent gbabo ambao ni wakristo walianza kudhihaki eti wao wameshika serikali. Wafuasi wa Alhaji Alasante outtarra wakaja juu kwani wao ni waislamu na ni wengi. Kilichotokea ni mauaji of innocent victims kwasababu ya upumbavu na tamaa ya madaraka. Wanyime hii mahakama ya kadhi ndio utajua nguvu ya waislamu ipi mkuu. Hakuna cha mgogoro wa kikatiba that is purely scaremongering kama waliweza kuipindisha katiba kuruhusu kanisa lifungue ofisi Tanzania wanashindwa nini kuruhusu Mahakama ya Kadhi????

HIyo Mahakama kisheria hainzishiwi na seriali kama unataka kumwaga damu andaaaa vifaaa na zana Tena anza kumwaga damu sasa akiwepo JK maana naye anashindwa kuwaambia hiki itu hakiwezekani. Atakayefuata baada ya JKakiwa mkristu atawapa jibu la kisheria hapo ndipo mtasema amekataa sababu ni mkristu . Anachofanya JK ni kupiga dana danatu sababu anajua haiwezekani.

Wewe kama unadhani huko waliompgia kura Quatara au waliofight kwa ajili Quattara ni waislam pekee you are wrong. Ni watu kama nyie ni hatari. Mnapindisha mambo kidini kwa manufaa yenu. Mnashindwa kukemea Rais kikwete kushndwa kushughulika mafisadi just bcs ya dini yake Very low minded.

Nigeria kuna matatiz sababu ya kutaka kugawa jamii kwenye msingi ya dini hakuna Kwani nini ulizamishe asiye muislam aishi kwa utamaduni wa kiislam?

Huoni mgogoro sababu we ni mnazi wa dini zaidi . akuambia tena ukipewa cheo cha mwanasheria mkuu ukasoma katiba na kufuata sheria Wazi utajua kuwa haiwezekani ila utashindwa kuwaambia waislam wenzako sababu kichwani wameshajazwa kasumba potofu
 
Absolutely crap nikiwa kama mwanasheria mkuu nitapindisha sheria kama alivyofanya Nyerere kuruhusu Vatican kufungua ubalozi hapa nchini.
 
Mtoa hoja anastahili majibu kwa hoja ili hata tusioelewa tuelewe na siyo matamko tu au vitisho ambavyo anayevitoa hajui anaweza kuwa victim wa kwanza maana vita havina macho hukusanya waliolengwa na wasiolengwa. Fikiriii halafu rudia kujibu kwa hoja ili tuendelee na an inteliigent discussion. Wanaotaka Mahakama ya Kadhi watoe elimu na watu wamesoma na wakielewa tu wengi naamini wako tayari kuunga mkono na hata kuweka pressure liwezekane. Lengo la kupinga mtoa hoja liwe ni kumuelimisha na wakielewa watatoa tafu kufanikisha. Lakini watoa hoja wengine badala ya kujenga hoja yao wanaibomoa wenyewe. Mimi pia nisaidiwe kuelewa; kama Waislamu wameruhusiwa kuwa na Mahakama ya Kadhi kwa nini yote haya tena? Siamini hawawezi kulianzisha na kuliendesha wenyewe kwa ajili yao. Kwa kuwa kila kukicha suala hili linarudiwa ni bila shaka kuna sababu ya nguvu tatizo hawatuelimishi ila kila anayekuja ni statements tu au vitisho. Kama kuna niliyemuudhi aniwie radhi na kama amenielewa vizuri niko tayari kumsikiliza tena. Kwanza uelewa.
 
Unajua kwakwel Mahakama ya Kadh haimuhusu m2 yeyote ila 2 kwa ambaye ni Muislam. Uislam ni Mfumo wa Maisha Mwenyez Mungu ametaka 2ishi hapaswi m2 ambaye hataki kuishi katika Mfumo huo kulazimishwa! Kwani kwenye kitabu cha Quran M.Mungu anatuambia "Hakuna kulazimisha katika dini ! Kwani uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu...."(Q2.256).Je mahakama ya Kadh inamfanya m2 awe Muislam kinguvu! Muumini wa kiislam tena anayetaka na c kwa ambae hataki! Kama m2 anaweza kuona kuolewa au kuoa Mahakama za Kiserekal atafanya kwa atakavyo? Ila kwa aonaye Quran na Sunnah ndo mwongoz wa Maisha yake anaumia kutokuwepo na mahakama ya kadhi kwakua kumpangia maamuz ya kisheria ya Mungu nikumtoa kny dini,kwa mafundisho ya imani yake!je asiye Muslim unaumizwaje au kama Umuislam kwa jina lako kipi kigumu kwako?samahani kama nawagusa wa2 wa imani yoyote au hata walio katika watakao ukadhi.UNAJUA Pindi huduma za KIBENK zinazofata Sharia za Kiislam ilikua tabu sana Matokeo yake huduma hzo zina walio na wasio waislam Tz na Abroad!je kuna m2 ameruhusiwa kula riba kwenye imani yake?UISLAM Unakataza sana riba,kwani M2 mwenyekula riba daraja/mlango wa Mwishoau ni sawa na m2 kufanya Jimai na Mzaz wake je unahc hawawi wenye kuogopa?' hawapend kuendeshwa na harakat za Kimansonia 2? 2wape Waislam haki ya Msing jamani
 
Naunga mkono wote wanaosema Waislam wanahaki ya kuwa na Mahakama ya Kadhi lakini hii iundwe na wao wenyewe bila kuingiliwa na serikali na bila kuvunja sheria za nchi na ijiendeshe yenyewe kwa sadaka za Waislam. Kwa hili nadhani wala hakutakuwa na kelele yoyote lakini pale inapokuwa serikali ndiyo itagharamia hapo kutakuwa na mvutano!!!
 
Hamna kitu kama OIC mahakama ya kadhi hapa TZ kufadhiliwa na serikali.
 
Unajua kwakwel Mahakama ya Kadh haimuhusu m2 yeyote ila 2 kwa ambaye ni Muislam. Uislam ni Mfumo wa Maisha Mwenyez Mungu ametaka 2ishi hapaswi m2 ambaye hataki kuishi katika Mfumo huo kulazimishwa! Kwani kwenye kitabu cha Quran M.Mungu anatuambia "Hakuna kulazimisha katika dini ! Kwani uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu...."(Q2.256).Je mahakama ya Kadh inamfanya m2 awe Muislam kinguvu! Muumini wa kiislam tena anayetaka na c kwa ambae hataki! Kama m2 anaweza kuona kuolewa au kuoa Mahakama za Kiserekal atafanya kwa atakavyo? Ila kwa aonaye Quran na Sunnah ndo mwongoz wa Maisha yake anaumia kutokuwepo na mahakama ya kadhi kwakua kumpangia maamuz ya kisheria ya Mungu nikumtoa kny dini,kwa mafundisho ya imani yake!je asiye Muslim unaumizwaje au kama Umuislam kwa jina lako kipi kigumu kwako?samahani kama nawagusa wa2 wa imani yoyote au hata walio katika watakao ukadhi.UNAJUA Pindi huduma za KIBENK zinazofata Sharia za Kiislam ilikua tabu sana Matokeo yake huduma hzo zina walio na wasio waislam Tz na Abroad!je kuna m2 ameruhusiwa kula riba kwenye imani yake?UISLAM Unakataza sana riba,kwani M2 mwenyekula riba daraja/mlango wa Mwishoau ni sawa na m2 kufanya Jimai na Mzaz wake je unahc hawawi wenye kuogopa?' hawapend kuendeshwa na harakat za Kimansonia 2? 2wape Waislam haki ya Msing jamani
hatupingi uwepo wa mahakama ya kadhi ila kuendeshwa na serikali ndio tunachopinga
 
Back
Top Bottom