Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 837
naona watakunya sumu wengi mwaka huu
Maana yake stori haijajitosheleza ipo mifupa mifupa (skeleton), hivyo inahitaji kuongezwa taarifa za ziada (nyama) au (nyama-lization).
Tamko la waziri mkuu kwenye kikao na masheikh ambacho kimeisha 5 minutes ago sasa hivi wanachapa mpunga tuuu
khalas!
Habari zinazoingia sasa hivi ni kuwa serikali imekubali kuanzishwa kwa mahakama za Kadhi na itazi gharamia
sioni tatizo la mahakama za kadhi kuanzishwa....muhimu ni lazima waislamu wawe tayari kugharamia..kama sehemu ya kutekeleza matakwa ya imani ...
serikali haina dini...ikijiingiza kugharamia chombo hichi itaibua mgogoro mwingine.....Lazima waislamu wenye mapenzi mema waone haja ya kuchangishana pesa za kugharamia taasisi hii mpya!!
masheikh wameitisha maandamano next friday....ningeshauri watofautishe kudai mahakama ya kadhi serikalini na hoja za serikali na wakrsito...kwani hii inaweza kusababisha tug of war kati ya wakrsito na waislamu....na kupelekea hoja ya kadhi kuwa kigezo cha ushindi ...hii italeta ugumu zaidi....wakristo wengi sasa wanaaunga mkono waislamu kuwa na chombo chao cha kusimamia haki zao ...ambacho wakrsito hawataki ni kuingiza mahakama ya kadhi kwenye mfumo wa katiba au sheria za nchi...na zaidi wanataka ijitegemee kwenye uendeshaji....
nadhani maulamaa wanatakiwa sasa wawashawishi wabunge na serikali...kuwa waislamu watagharamia mahakama hii....na hapo itakuwa haina haja ya serikali kukataa kuwaruhusu waislamu waunde taasisi hii...
Hapa hatuna serikali! Serikali gani isiyoongozwa na Katiba? Tutaona mengi mwaka huu!
Habari zinazoingia sasa hivi ni kuwa serikali imekubali kuanzishwa kwa mahakama za Kadhi na itazi gharamia
Hivi kwa nini tunachukulia vitu vizito kama mipasho... jamani hili jambo tujadili kukiwa na tangible facts.
Mahakama zitakuwepo hata kama ni another 20 years, no matter what it takes, no matter period it takes...hiyo ibada bwana ya Mwenye Nguvu, Mwenye Haki Allah hakuna atakayezuia atachelewsha tu iwe CCM, iwe CUF iwe Chadema hata kama Maaskofu waandike waraka mara elfu sabini "Mahakama ni Haki ya Muumini" so it has nothing to do Non-believers,
halafu unataka kuwa rais wa Tanzania
Umeshindwa kujizuia udini wako wee mpaka!
Lo! inaelekea hili limekuuma sana!
mbona hukutia neno kwenye ile memorandum ya Serikali ya Kanisa ambayo serikali inawapa wakristo Pesa?
hebu tupumzishe sie
gharama gharama ebo!
Je akina Askofu Malasusa na wenzao wakihamasisha wakristo wao wasipigie kura CCM hiyo 2010 hao viongozi wa CCM watafanyaje?
Kweli sera pekee ya CCM sasa ni aidha Kuanzishwa au Kutoanzishwa Mahakama za Kadhi, hakuna sera nyinginezo...
Waislamu sasa ni kujiandaa kwa ajira za kufa mtu...