Mwakjj
Wala usipate taabu kutafuta namba, hakuna mwanafunzi wa kufanya hayo uliyoshauri. Huna haja ya kwenda mbali kujua ni kwanini. Wakati waliposimamishwa na kupewa masharti magumu, over 40% walitimiza masharti yote na waliobaki walishindwa kwa sababu tu ya uwezo na sio msimamo.
Hoja yangu hapa ni kuwa, ikiwa wameshindwa kuonyesha msimamo wakati wa shida (kifungoni) unadhani watafanya hivyo sasa hivi wakati wa raha? Naambiwa kuna wengine wamepelekwa benki kulipiwa na baba zao huku wamesimamiwa na kupewa maneno makali makali.
Mwanasiasa.
Im 100% sure no one will show any sort of solidarity towards banned Daruso leaders. U keep wait and u will see....