Kenya yaorodheshwa kama nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
13,462
16,120
Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na mabilionea.

Kulingana na Ripoti ya Utajiri ya Afrika ya 2024 iliyochapishwa na Kampuni ya Kimataifa ya Ushauri wa Utajiri, Kenya iko katika nafasi ya nne katika suala la umiliki wa mali. Kenya inajiri baada ya Afrika Kusini, Misri na Nigeria kuorodheshwa kama nafasi moja hadi tatu mtawalia.
---
Kenya has been ranked among the big five wealthy markets in Africa having millionaires and billionaires.

According to the 2024 Africa Wealth Report published by International Wealth Advisory Firm, Kenya is at position four in terms of wealth ownership.

Kenya comes after South Africa, Egypt and Nigeria ranked as position one to three respectively.

The report reveals that Kenya has many high-net-worth individuals summing up to 7,200 millionaires.

South Africa tops with 37,400 millionaires, 102 centi-millionaires, and 5 billionaires, followed by Egypt with 15,600 millionaires, 52 centi-millionaires, and 7 billionaires as Nigeria sits in third place with 8,200 high net worth individuals. As at the city level, Johannesburg holds its place as the wealthiest in Africa, with 12,300 millionaires, 25 centi-millionaires, and 2 billionaires.

Cape Town follows at second position with 7,400 millionaires, 28 centi-millionaires, and 1 billionaire while Cairo with (7,200 millionaires)

The capital of Kenya, Nairobi comes fourth as one of the key centres of wealth hub with 4,400 millioners and Lagos 4,200millioners.

The report further revealed that Africa "Big 5" wealth markets(South Africa, Egypt, Nigeria and Morocco) accounts for 56 per cent of the continents' millionaires and over 90per cent of its billionaires.

It is portrayed that Africa's millioners population is set to rise by 65 per cent over the next decade.

Consequently, Mauritius, Namibia, Morocco, Zambia, Kenya, Uganda and Rwanda are all expected to experience 80 per cent millionaire growth over the next decade.

The fluctuation in currencies and underperforming stock markets has been attributed as the major effect on wealth performance in Africa.

"The South African Rand fell 43 per cent against the US dollar from 2013-2023, and even though the JSE All Share Index rose in local currency terms, it was down 5 per cent in USD terms.

Currencies in most other African countries also performed poorly over the past decade, with dramatic depreciations of over 75per cent recorded in Nigeria, Egypt, Angola and Zambia," noted Dominic Volek, Head of Private Clients at Henley and Partners.

Commenting on the report, the head of research at New World Wealth Andrew Amoils implied that African nations are also losing large numbers of high-net-worth individuals to migration that's eroding the continent's wealth.

"Approximately 18,700 high-net-worth individuals have left Africa over the past decade. There are currently 54 African born billionaires in the world, including one of the world's richest, Elon Musk, but only 21 of them still live on the continent," noted Amoils.

Even though it was noted that Africa struggles to get visas to other continents for business growth, the stakeholders noted that opportunity to explore in international business ventures would spur wealth growth in the continent.

Wakenya wapo tayari kuokoteza vihabari ili waonekane wapo vizuri
 
Vipi Tanzania ni ya ngapi
Tanzania labda uipate kwenye ligi kama hii 👇👇

Poor People.jpeg
 
Wakenya wapo tayari kuokoteza vihabari ili waonekane wapo vizuri
Kisa tu nchi yako haimo kwenye orodha ingekuwepo ungekuwa unapiga yowe humu lakini kwa bahati mbaya haina sifa lkn endeleeni kumsifu mama.
 
Halafu kuna wapuuz flan kipind flan humu walikuwa wananiponda nikiwaambia wakenya wametupita mbali sana. Katika life bana. Ukiukubali ukweli umetoboa. Maana unajisemea mimi cna kitu na walionizunguka wenizid so ngoja nifanye jitihada na mimi niwe njian.
 
Uchumi wa Kenya uko vizuri kuliko nchi zote za East Afrika, kwenye elimu wako vizuri sana, pia kipindi nchi kama Tanzania, Uganda wamekomaa na socialist economy ambapo serikali zinaprovide kila kitu kwa wananchi wake huko Kenya uchumi wake ikiwa ni wa kibiashara zaidi na huku serikali inakusanya kodi, rais Mwinyi ndoa amekuja kuondoa ujamaa na kuanzisha trade liberalization lakini elements za ujamaa ziliendelea, Mkapa akatupeleka kwenye privatilization , Kikwete ndo akaja na mapinduzi ya uwekezaji na kupanua vyanzo vya mapato, Magufuli akataka kurudi kwenye socialist economy ,rais Samia karudisha uchumi wa kiuwekezaji ambao ndio mfumo wa Kenya na nchi zote zilizoendelea.
 
Kisa tu nchi yako haimo kwenye orodha ingekuwepo ungekuwa unapiga yowe humu lakini kwa bahati mbaya haina sifa lkn endeleeni kumsifu mama.
Hii habari haina credibility. Chanzo chake ni dhaifu eti "iliyochapishwa na Kampuni ya Kimataifa ya Ushauri wa Utajiri"
Usishangae hiyo Kampuni ni ya MTU wa Kibera kajifungia ndani na Tecno yake ana pandisha taarifa mitandaoni, alafu anakomenti Kwa multiple IDs alizozitengeneza mwenyewe
 
Kenya haiwezi kuwa nchi ya nne kwa utajiri afrika, misri, Nigeria, south Africa, Morocco,Algeria,Tunisia nk unaziacha wapi!?..wao waendelee na sgr yao ya diesel
Uelewa wako ni mdogo sana endelea kusoma humu watakuelewesha wengine ila mimi sina huo muda kwa sasa.
 
Halafu kuna wapuuz flan kipind flan humu walikuwa wananiponda nikiwaambia wakenya wametupita mbali sana. Katika life bana. Ukiukubali ukweli umetoboa. Maana unajisemea mimi cna kitu na walionizunguka wenizid so ngoja nifanye jitihada na mimi niwe njian.

Yaani kama bench mark yako ya maendeleo ni Kenya, basi umefeli. Pale hatuna cha kujifunza. Ungesema Namibia 🇳🇦, Botswana 🇧🇼, Gabon 🇬🇦 ningekuelewa. Lkn machakos kule ni shiida.
 
we jamaa boya kweli, hizo nchi unazozitaja, unajua population yao?
 
Nimegonga kwenye kiwiko.
Sasa population inahusiana nini na citizen welfare. Nenda Burundi 🇧🇮 na Rwanda 🇷🇼 uone kiwango chao cha maisha licha ya kuwa na population ndogo.
 
Kenya 50m, SA 60m, Egypt 90m, Nigeria 200m.
Tanzania 60m unataka iende 'kubench mark' nchi zilizo na 2m???
Think!
 
Back
Top Bottom