Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Safi sana form felias,na kelele za propaganda.Wew unategemea atashauri nin watoto kufeli hv wakt yey ni miongoni mwa waliofeli?
 
Na mwigulu anavyopenda ivo vi2 atampiga mimba kama yule wa igunga, wakati wa uchaguzi mdogo igunga mwigulu alifanya kweli tandika mimba mke wa m2, lakn huyu malaya shonza hana tatz mana hata akibebeshwa bendi ya ccm atapata kula,tatz itakuwa kwa mke wa mwigulu ,,mbn shonzo ndo zake,alitembea na ma lecturers udsm mpk akatepeta,so ndo mambo yake hata msishangae ! Mkisikia kmy mjue tayr mdudu kaingia tumboni kwa kiburudisho cha ccm !Mimba mimba mimba mimba! Shenzi shenzi shenzi/shonza.
 
Hana lolote huyu.Nani alikuwa na nguvu kama Walid Kaborou?

usiseme hana lolote. ana ufasaha wa kujieleza. alikua kiongozi wa juu chadema. kabourou ccm ilimtumia kigoma tu lkn huyu dada anazungushwa nchi nzima. acheni tabia ya kudharau mambo. angalia hizi picha.

855861888.jpg

26.jpg

32.jpg

10.jpg

16.jpg
 
Jamani, huyu Shonza ni mtu wa kumdharau na kuachana nae. Hawa magamba wamebuni hiki kitengo kisicho rasmi kwa ajili ya kuleta propaganda ili watu waanze ku-discuss mambo ambayo hayana tija kwa taifa na kuacha issues za maana.

Kama hamjagundua kuna Shonza, TandaleOne, Zemarcopolo na wapuuzi wengine wachache wameanzisha ka-mtindo ka-kuanzisha maada za kipuuzi kuhusu viongozi wa CDM hususan kuhusu Elimu zao ili watu tuhamie huko na kuacha kufatilia issues za maana kama shida ya maji, Gesi etc.Na bahati mbaya ndugu zangu mmekuwa mstari wa mbele kumjibu huyu mpumbavu......ni kajitu kakukadharau tu.....who is Juliana shonza to distrurb CDM????

Huyu binti kwa sasa anatapata tu, ni kama hajui alifanyalo..... na kwa taharifa tu, huu upuuzi wote anaoanzisha una baraka za Nape na Mwigulu............please let's stop to respond on whatever nonsense she posts.....kwa sababu tunajua elimu, mwamko na utendaji kazi wa viongozi wa CHADEMA, na hata yeye anajua, sasa ya nini kubishana na haka ka-ajuza???

Tusiwaze ndani ya jf pekee. Wakati analeta hoja ya Mnyika alizungumzia humu? Wakati analeta hoja ya Mbowe alizungumzia humu? Wakati anaasema Dk Slaa ni mgonjwa alizungumzia humu? Humu jf tunapokea yaliyosemwa na kuyajadili. Tunawezaje kuzuia wasiyaseme huko kwenye majukwaa ya uraiani? Hapo ndipo tunasema kuwa hawa kina Shonza wasipuuzwe kwa kauli zao mbele ya umma
 
Jamani, huyu Shonza ni mtu wa kumdharau na kuachana nae. Hawa magamba wamebuni hiki kitengo kisicho rasmi kwa ajili ya kuleta propaganda ili watu waanze ku-discuss mambo ambayo hayana tija kwa taifa na kuacha issues za maana.

Kama hamjagundua kuna Shonza, TandaleOne, Zemarcopolo na wapuuzi wengine wachache wameanzisha ka-mtindo ka-kuanzisha maada za kipuuzi kuhusu viongozi wa CDM hususan kuhusu Elimu zao ili watu tuhamie huko na kuacha kufatilia issues za maana kama shida ya maji, Gesi etc.Na bahati mbaya ndugu zangu mmekuwa mstari wa mbele kumjibu huyu mpumbavu......ni kajitu kakukadharau tu.....who is Juliana shonza to distrurb CDM????

Huyu binti kwa sasa anatapata tu, ni kama hajui alifanyalo..... na kwa taharifa tu, huu upuuzi wote anaoanzisha una baraka za Nape na Mwigulu............please let's stop to respond on whatever nonsense she posts.....kwa sababu tunajua elimu, mwamko na utendaji kazi wa viongozi wa CHADEMA, na hata yeye anajua, sasa ya nini kubishana na haka ka-ajuza???

your right 100.%
 
Na mwigulu anavyopenda ivo vi2 atampiga mimba kama yule wa igunga, wakati wa uchaguzi mdogo igunga mwigulu alifanya kweli tandika mimba mke wa m2, lakn huyu malaya shonza hana tatz mana hata akibebeshwa bendi ya ccm atapata kula,tatz itakuwa kwa mke wa mwigulu ,,mbn shonzo ndo zake,alitembea na ma lecturers udsm mpk akatepeta,so ndo mambo yake hata msishangae ! Mkisikia kmy mjue tayr mdudu kaingia tumboni kwa kiburudisho cha ccm !Mimba mimba mimba mimba! Shenzi shenzi shenzi/shonza.

Mkuu unasema ATA...!?? sema AMESHA....., hata kama si ya huyo Madelu basi ni ya gamba mwingine, cheki kilivyokumbatiwa na nanilii, !!!??? picha zina sauti sana
 
I can see it.
Na sasa wameanza na Mnyika na sualanla elimu, na badluck it is true, kuwa kulikuwa na uongo kwa wananchi juu ya elimu ya Mnyika.
Mungu saidia chama chetu Chadema, hawa mashetani washindwe.

Sijawahi ona mwenyekiti anamfukuza uachana makamu mwenyekiti hii sio demokrasia kuna ubaguzi nyuma yake ccm wanahubiri ubaguzi cdm wanatenda ubaguzi hii ni hatari sana kwa taifa letu.
 
Sijawahi ona mwenyekiti anamfukuza uachana makamu mwenyekiti hii sio demokrasia kuna ubaguzi nyuma yake ccm wanahubiri ubaguzi cdm wanatenda ubaguzi hii ni hatari sana kwa taifa letu.

Wewe bado unalo. Katiba inaruhusu kufukuzwa mbona wengi hadi madiwani wamefukuzwa.
 
Wnajf, kamati tendaji ya BAVICHA ilipowatimua Juliana Shonza na wenzake mwenyewe sikukubaliana na maamuzi hayo hadi nikafikia hatua ya kutafri kauli ya mh. Mbowe kuwa "Shonza afanye maamuzi ya kikubwa" kama kauli ya kumtaka akate rufaa kwa uongozi wa chama ili wamrudishie uanachama wake. Nikataka kumshauri Shonza akate rufaa ila nikasita ili nione kama ataielewa ile kauli ya Mh. Mbowe jambo ambalo halikutokea.

Kwanza nilishangaa niliposikia eti kahamia CCM. Nilijiuliza, alipokuwa CDM alisema CCM haifai ni mafisadi hivyo kuwashawishi watu kujiunga CDM kwani ndo kuna ukombozi wa kweli, sasa akienda CCM atasemaje kwa wananchi?. Hivi ule ufisadi uliokuepo CCM umeisha?. Na kama umeisha kaumaliza nani na wahusika wamechukuliwa hatua gani?. Angehamia NCCR wala nisingemshangaa kwani bado angezungumzia zile sera na akaeleweka.

Kinachonifanya nimshangae zaidi Shonza ni post zake juu ya viongozi wake wa zamani yaani hizi post zinamshushia hadhi sana. Nimeamini kumbe huyu mtu si mwanasiasa ni mtafuta pesa wala si mteteaji wa wanyonge, ni mtu asiyefaa hata kidogo kuwa nae karibu. Nawaomba viongozi wa BAVICHA kuchunguza kama kuna waliobaki waondolewe mapema watu kama hawa hawafai wanatuharibia harakati zetu kuelekea 2015. Na wale waliosamehewa wachunguzwe vizuri ili turidhike kama kweli wamejirudi.

Shonza nakushauri achana na siasa za matusi hayakujengi kisiasa bali zitakumaliza. Vijana wanaokubalika kisiasa hawakubaliki kwa sababu ya matusi bali wanakubalika kwa sababu wanawatetea wananchi wanyonge. Waangalie vijana kama Mnyika, January, Zitto, Mdee na Filikunjombe wanavyotetea maslahi ya wanyonge. Jirekebishe hujachelewa haijalishi uko chama gani sisi wanyonge tutakupenda kama utaacha matusi na kututetea.

Ni ushauri unaweza kuufanyia kazi au ukaitupilia mbali.

Amebakia Grayson Nyakarungu and also i dont trust Gwakisa Burton Mwakasendo!
 
hakika kwa machungu tuliyonayo hapa Shonza asituchanganye!

harakati za ukombozi wa mtanzania hazitazuilika kwa matusi ya huyu dada dhidi ya viongozi wetu wazalendo,

kwa mkakati wetu atanyamaza soon!
 
Kuhamia CCM atasaidia kuongeza spidi ya kukiua chama. Naona team ya Nape inapwaya mahali so ni lazima kuongeza kasi ili kuhakikisha kwamba 2015 CCM inafika ikiwa hoi!!
 
Back
Top Bottom