Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Tatizo ufahamu mdogo na kukosa kazi,Mwigulu na Nape mpeni kazi huyu binti antuchosha JF"
 
Jerry Slaa na Wasira wamemwambia kuwa wamepata nafasi CC kutokana na matusi kwa CDM, sasa naye kaanza harakati zake kutafuta huruma ili atafutiwe ka-cheo.
 
Huyu Juliana Shonza kazidi kutumika vibaya kiasi kwamba anaonekana ni kituko mbele za jamii. Leo, anafikiri haya anayolopa ccm watampa cheo? Lah! Hasha wana mmaliza kisiasa kwasababu hata wao wanajua ni msariti na hawa mwamini.
Kamanda, nakua nasikitika sana navyo ona vijana wanatumika bila wao kujijua. Mbaya zaidi HAWAPO OBJECTIVE.
 
Last edited by a moderator:
ah ah.! Unajua alipo Baba V ? Huyu mtoto anatia huruma sana aisee ndugu, I swear mda huu unaishi kwa majuto makuu na anatamani hata kulia kwa ujinga aliofanya.
Msameheni kwa sh. miambili, kufukuzwa CHADEMA kumemchanganya sana
 
Last edited by a moderator:
Juliana Shonza tuliza akili yako kwanza. You are so hopeless, taifa liko kwenye sononeko la kuanguka kielimu wewe unatuletea cv za kina Slaa! Hao ni ma Dr. wa ukweli. Tupe cv za hawa waliolifikisha taifa hapa. Ganga njaa yako kwa resorces zako, inaweza lipa. Huku kwa great thinkers utaadhirika tu. Huuziki!
 
You hit the nail on the head kamanda. Hapa ni kwa "GREAT THINKERS"

Back
Top Bottom