Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Ha! Ikoje hiyo? Huyu ni mmoja kati vijana shupavu wenye misimamo!
 
Uzuri wa ccm ukizungumza hivyo yaani kesho wanampa bajeti ya kuzunguka nchi nzima bila kufanya utafiti kama atakuwa na madhara yoyote. Nadhani chama tawala wamesikia wampe tu maana baada ya hapa hatavuna chochote kutoka chama cha upinzani(ccm).
 
Kwanza nilikwisha msahau.amuulize slaa sumu yake ilivyoyeyuka na lipumba wake.
 
Huyu atatumiwa Sana kufanya mambo magumu Kama kufungia magazeti na TV, matamko ya Ajabu then watampiga chini maana atakuwa amechafuka kweli kweli....... mtazamo
 
Ukiangalia kwa jicho pana haonekaniki kama tishio kama Dr. SLAA hakufanya demage kubwa as expected. Sioni kama ataweza kuisumbua CDM
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?
Chukua Shonza nichukue Sepenga,duh patamu hapo![emoji16][emoji3]ihiiiiii ii!tumekusoma!
 
Hivi sasa kati ya hiki chakula kinachojisifia kingemalizwa, na polepole nani angestahili kusifiwa kuwa ni hatari?
Polepole wakati wa mchakato hadi uandishi wa rasimu ya katiba mpya alijulikana nchi nzima kwa vijana na wazee,lkn leo ameishia kumwimbia baba nanii taarab eti ni mwanaume wa shoka,utadhani yeye ni.........!
Siku zote ukishamfahamu adui ni nusu ya kumshinda na ndio maana katimuliwa kabla hajaleta madhara.Kama ni kutukana basi amuulize Livingstone Lusinde aliyetukana Arumeru hadi yakaisha na bado walipigwa chini na Nasari.
 
Ccm wakitaka kuamini kuwa kweli wameambulia makapi,basi waruhusu tu siasa huru za majukwaani kwa mwezi mmoja tu kama hajarudisha mikia ndani kama punda aliyemwona fisi!!!!
 
Back
Top Bottom