Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

asigwa
Rafiki yangu sema hivi, Nyerere akifufuka leo ishara yake ya kwanza atanyosha vidole vyake juu na kusema peoooooooooples poooooooower!!!! Neno lake la pili ataomba nguo ya kuvaa nayo atasema "nataka kuvaa gwanda mimi". Ndugu yangu watz makini wanaolilia nchi kamwe hawawezi kushabiki CCM. Huo ni msimamo wa watz wengi.
Ni kweli mkuu hapa umenena vema kabisa...kitu cha kwanza atakachofanya Nyerere ni kuvaa gwanda na kuonesha alama ya vidole viwili juu
 
Huyo ni limbukeni wa kisiasa asiyejua kuwa kitu chochote kikiisha kutumika thamani na umuhimu wake huisha pia. Ameanzisha safari ambayo mwisho wake ni majuto ama kwa kujua au kutojua. Nampa pole!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Chadema mmepata kiboko yenu. Beuty la kuua mtu mvuto elfu angalia hao waliobaki chadema hahahahaha. Kama haiwaumi mbona mnaratibu kuondoa maoni ya watu wa ccm kwenye huu mtandao ili mzidi kijidanganya wenyewe kwa wenyewe?? Kweli ninyi ni wana demokrasia

Yani umeonyesha upeo mdogo sana katika suala hili, mambo ya u -beauty yanahusiana nini na siasa? Au ndiyo mnaendeleza kawaida yenu ya kutafuta kina Vick kamata wengineo? Chama kimejaa ufuska tu , mara huyu kazaa na yule yani!!'
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Mi namjua huyu dada tangia alipokua makamu mwenyeketi wetu wa CHASO UDSM. akika mi nilikua simkubali kiukweli na anajua ilo huyu dada hana impact yoyote kwa chama kwaiyo asitupotezee mda over.
 
mnampa promo sana huyu kicheche wa mbagala, hata mr dhaifu azunguke nchi nzma hawezi zuia kasi ya chadema sembuse hichi kicheche cha tandale...mwampamba aendelee kumweka kinyumba tu hayo ndo wanaweza but siasa hawawezi
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

delila alikuwa ana nguvu enzi za Samsoni (Agano la kale) tu lakini enzi zetu za Yesu mfufuka..Subiri uone baada ya siku chache atakavyoporomoka kama shetani alivyo poromoshwa toka mbinguni mpaka duniani.....We are born to win...CDM ni moto wa kuotea mbali my dear we subiri uone what will come next.....Ninawaambia tena hakuna fisadi atakaye kanyaga njia ama hata kuonja harufu ya Ikulu ya Tz not this time....Just wait and see!
 
kazi yetu kwa bahati mbaya huwa ni kubeza lolote liwalo. shonza ninayemfahamu ni zaidi ya hatari. alishaifaham cdm nje ndani. bahati mbaya alishatumika hadi kwenye mission chafu ndani ya cdm. ana ushahidi hadi wa video. chezeni na shonza matokeo mtayaona.
 
Ni kweli mkuu hapa umenena vema kabisa...kitu cha kwanza atakachofanya Nyerere ni kuvaa gwanda na kuonesha alama ya vidole viwili juu
asigwa
Thanks a lot and you are absolutely right. I missed "vidole viwili juu" in my reply.
 
Last edited by a moderator:
kazi yetu kwa bahati mbaya huwa ni kubeza lolote liwalo. shonza ninayemfahamu ni zaidi ya hatari. alishaifaham cdm nje ndani. bahati mbaya alishatumika hadi kwenye mission chafu ndani ya cdm. ana ushahidi hadi wa video. chezeni na shonza matokeo mtayaona.
MJENGA
Acha porojo wewe sema hatari yake nini? Vijana wa .com hawatishiwi nyau mpaka kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada si maarufu hata, ila urembo wake utampatia bwana wa maana ndani ya ccm, ndiyo kawaida ya ccm watu wa mizigo..
 
Shonza atatumika sana ndani ya ccm kwani kasura anako hilo nadhani litakuwa hatari kwake binafsi kwani atapata mbami zisizo tarajiwa kwa haraka sana toka kwa vidume wa ccm.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Watanzania wameshajifunza na dhambi ya kuchagua sura Mkuu. Kila kona ya Tanzania inajutia kuangalia sura na hata kama angekuwa mzuri kama Cleopatra hawezi kuwasahaulisha watanzania ugumu na machafuko waliopitia kwa miaka kumi. Mkuu acha wasi wasi nakuhakikishia ataishia kupiga kelele na hakuna madhara.

CCM has got a single story and we all know the problems of having a single story.

swala zima ni hizi kelele anazipigia akiwa chama gani ndo hoja. hapo amejichanganya akaingia choo cha kiume.
 
Tatizo mkuu SHONZA anajulikana tu humu JF na kwenye baadhi ya watu walio wafuatiliji wazuri wa siasa....Inabidi kwanza kujitambulisha yeye ni nani katika kupambana kwake na CDM...

Pili mitaani unapoipondea CHADEMA na DR SLAA believe me wananchi hawakuelewi...Ana kazi kubwa sana ya kufanya hili....

Tatu watanzania wameshaichoka CCM..hata akifufuka NYERERE leo na kuanza kuipigia chepuo CCM itabidi afanye kazi ya ziada...

Hata Nyerere alipo huko keishaichoka magamba.Muache mzee wa watu apumzike kwa Amani
 
Watanzania wameshajifunza na dhambi ya kuchagua sura Mkuu. Kila kona ya Tanzania inajutia kuangalia sura na hata kama angekuwa mzuri kama Cleopatra hawezi kuwasahaulisha watanzania ugumu na machafuko waliopitia kwa miaka kumi. Mkuu acha wasi wasi nakuhakikishia ataishia kupiga kelele na hakuna madhara.

CCM has got a single story and we all know the problems of having a single story.

swala zima ni hizi kelele anazipigia akiwa chama gani ndo hoja. hapo amejichanganya akaingia choo cha kiume.

sasa adui wa watanzania ni nani? Tunashuhudia ccm wakiendelea kupeta kwenye chaguzi kadhaa. Unatuhakikishiaje tunachukua Dola 2015 katikati ya propaganda hizi?
 
Nina uhakika Dola ni letu mkubwa 2015 hawa wafu watazikwa na wafu wao. hizi chaguzi wanazoshinda angalia idadi ya kura wanazopata upime na zile kwa uchache tuazopata. kumbuka hizo si za halali wanazopata. Hata polisi wanaosimamia wizi wa kura watabadilika 2015. manake na wao kilio ni kile kile
 
Tusizungumze kwa utabiri tu. Ingekuwa hivyo cdm wangeshashika Dola tangu 2005. Hatuwezi kuwa na matumaini bila kujua tunafikiaje matumaini na wakati huo tunapuuzia madhara, hata kama ni madogo kiasi gani.
 
huyo ni sawa na kibwengo tu,
hana athari yoyote ktk siasa za cdm.

ni sawa na domo linukalo lisilojua mswaki liletapo kero ktk kusikiliza liongeapo kwa watu.

hana hoja ni mbeya tu wa mambo ya barazani kwa watu!!!!

kumsikiliza ni kudhalilisha ubongo wako .....
 
Back
Top Bottom