Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Ile thread kaandikiwa mpaka pale kwenye cv ya dokta Slaa ndo kaanza kuandika yeye huyu dada hazimo ajipange kwa hoja aache vihoja Juliana pole sana unakaribia kupotea kwenye siasa za tanzania
 
eti analeta hoja kama msomi wa chuo akijiona ni bora zaidi ya hao waliopata sifuri form IV!

Fikiria mtu anaamka asubuhi (sijui anasali?) then wanampangia majukumu ambapo zaidi ni kuwachafua viongozi, sio wa upinzania bali wa cdm. Jua likizama 'msomi' Juliana anafanya tathmini ya kazi yake! Ni ajabu
 
Ila hizi details zimewakimbiza:

Mkuu Mchaka Mchaka tunashukuru sana kwa kuweka kumbukumbu sawa pale mbulula wanapojaribu kupindisha ukweli Grace na wengine mnaomfahamu nape katika ngazi yoyote ile ambayo amepitia Hola us ili Pumba na Mahindi vijitenge.
Nape and you team ni wakati wenu kujibu hoja pale unapoona pamepotoshwa.
 
Jamani, huyu Shonza ni mtu wa kumdharau na kuachana nae. Hawa magamba wamebuni hiki kitengo kisicho rasmi kwa ajili ya kuleta propaganda ili watu waanze ku-discuss mambo ambayo hayana tija kwa taifa na kuacha issues za maana.

Kama hamjagundua kuna Shonza, TandaleOne, Zemarcopolo na wapuuzi wengine wachache wameanzisha ka-mtindo ka-kuanzisha maada za kipuuzi kuhusu viongozi wa CDM hususan kuhusu Elimu zao ili watu tuhamie huko na kuacha kufatilia issues za maana kama shida ya maji, Gesi etc.Na bahati mbaya ndugu zangu mmekuwa mstari wa mbele kumjibu huyu mpumbavu......ni kajitu kakukadharau tu.....who is Juliana shonza to distrurb CDM????

Huyu binti kwa sasa anatapata tu, ni kama hajui alifanyalo..... na kwa taharifa tu, huu upuuzi wote anaoanzisha una baraka za Nape na Mwigulu............please let's stop to respond on whatever nonsense she posts.....kwa sababu tunajua elimu, mwamko na utendaji kazi wa viongozi wa CHADEMA, na hata yeye anajua, sasa ya nini kubishana na haka ka-ajuza???

Mkuu hapo utakuwa hujatatua tatizo. Hawa viongozi wanaojadiliwa ndiyo viongozi wetu wa kesho, hivyo ni lazima tujue
 
Mods huu uzi unajitegemea kwa nini mme u move kwenye thread ambayo haziendani? "juliana shonza ni hatari kuliko mnavyo mfikiria" na "shonza umekulupuka"

mods hizi nyuzi hazienda, please rekebisha.
 
Mimi binafsi namshangaa anapoponda Elimu ya darasa la Saba na kidato cha nne achilia mbali kidato cha sita.
Nasema hvyo kwa sababu yeye na chama chake cha CCM wamekuwa wakiponda sana wenye Elimu hizo na kusahau kuwa Kama Utapata Elimu hapa Tanzania huna budi kufundishwa na Walimu waliopata Div 3 na 4 kwa Eimu ya Msingi na kwa Sekondary hasa "O" level ni walimu waliohitimu kidato cha tano hao ndiyo WATAALAMU WA KUTOA ELIMU TANZANIA.
Ukija kwenye Ulinzi na Usalama hao ndio naweza sema wanalibeba Jeshi la Tanzania Hivyo kama wanajua Elimu ya kidato cha nne si kitu Kwenye Uongozi basi Wataalamu Wa kuwalea Hao Viongozi Kuanzia Darasa la kwanza wawe na Elimu ya juu.
Kushindwa kwao kutuletea MAISHA BORA WASITUPIE MPIRA WA LAWAMA WENGINE.

SHONZA ELEWA KUWA HAO DIV. 4 NDIYO WATAALAMU WA ELIMU NA PIA POLISI NA WANAJESHI WA TANZANIA.
 
Kwa kipindi hiki watu wana uelewa mzuri hawahitaji kushawishiwa.Ni vigumu kuamini kama kuna mtu anaweza kuitetea CCM na akaeleweka.Hali mbaya ya maisha,mfumko wa bei,ufisadi,huduma mbovu za afya,udini,upendeleo,ubabe n.k kweli unaweza kusimama mbele ya watu ukawaambia hivi vitu ni uongo?Ni kicha pekee yake anaweza kufanya hivyo nafikiriJuliana akipona atajilaumu kwamba alikuwa anatembea uchi pasipo kujua.
 
mkuu Raia Fulani unaniangusha bana, ana uzuri gani aisee? hujawahi kuona mabinti waliopo CCM wewe, kuna mabinti ni wazuri balaa, yaani inasikitisha kuwaona wapo CCM, ni warembo kinoma lakini bado hawasikilizwi kwenye majukwaa sembuse huyo kipori shonza?
kule kwetu Lushoto binti kama Shonza tunamuita kinukachupi kichamba na umande.
Kinukachupi kichamba na umande!!, eeh, nimekukubali mkuu.
 
Huyu binti ni kilaza wa mwisho, hawezi kabisa kujenga hoja na hawezi kuwa tishio kwa ngoma nzito kama CDM. Shonza hakuna kitu pale kuna shati tu.
 
Back
Top Bottom