Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

MKUU!

Imegundulika siku hizi huko MAGAMBANI kuna mtu anapitia post zake na kuzi sahihisha ndipo azipost. wameshagundua kumbe ni MMEMKWA.
 
mi nilimuona mpuuzi aliposema Hip Hop mziki wa kihuni...poor shonza
 
Tatizo huyu binti anafikiri vijana wa enzi hizi ni mambumbumbu kama enzi za zamani ... Na anaonekana kabisa kuwa hawezi ku fit CDM zaidi ya CCM.....
 
Kama ulikuwa humjui ni kwamba anajamiiana na mwigulu na n mwigulu ndo aliye lipa pango la press conference pale ubungo mic hotel. Nitafte ntakupa ushahd
 
najisikia vibaya sana mtoto wa kike akiwa anasakamwa na maneno kila siku, jamani kwni hamkumbukikuwa akili ni nywele na kila na zake?? Please;;;;;;;;;; wakuu give her a break.... Kila mtu anahaki na uhuru wa kuzungumza na kunafanya lile ambalo moyo wake haswaa unamtuma kufanya... Juliana ni juliana,,, mimi ni mimi,,, na wewe ni wewe.
 
Juliana Shonza, pale alipo anatumiwa na anayo yafanya si kwa kutumia akili yake bali anatumwa kufanya hivyo na viongozi walio mnunua nao wakisha kamilisha shughuli ya kumtumia wata mtupa pembeni na ndipo hapo atapo anza kujuta zaidi ya anavyo juta leo.
 
Tatizo huyu binti anafikiri vijana wa enzi hizi ni mambumbumbu kama enzi za zamani ... Na anaonekana kabisa kuwa hawezi ku fit CDM zaidi ya CCM.....
Kaka hiyo ni tissue tu isikupe shida.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?
Raia Fulani
Kwa siasa hizi anazoeneza anaweza kuwabadilisha majuha na watu wasiojua siasa za nchi hii kama wewe. Taifa hili limepiga hatua kifikra na watu sasa wanajua mbivu na mbichi kama umebaki wewe kalabao! Matusi na propaganda viliisha wakati wa vita baridi siku hizi watu wanataka deliverables. Kwa watu makini na wanaozijua vizuri siasa zinazoendeshwa na CCM wanaona anapoteza muda. Watz hawaoni kwa matusi na propaganda hizi ndio CCM imejibu maswali ya wananchi ya elimu mbovu ya kufelidha wanafuzi wa four four alisimia 60 na ubovu wa huduma za jamii kama afya na nk. Angehamia chama kingine cha upinzani ingekuwa nafuu kwake kupata huruma ya wananchi lkn CCM chama kinachoendelea kuweka destiny ya taifa hili mashakani. Kamwe Juliana hawezi kuleta madhara yoyote ni swala la muda tu.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mkuu SHONZA anajulikana tu humu JF na kwenye baadhi ya watu walio wafuatiliji wazuri wa siasa....Inabidi kwanza kujitambulisha yeye ni nani katika kupambana kwake na CDM...

Pili mitaani unapoipondea CHADEMA na DR SLAA believe me wananchi hawakuelewi...Ana kazi kubwa sana ya kufanya hili....

Tatu watanzania wameshaichoka CCM..hata akifufuka NYERERE leo na kuanza kuipigia chepuo CCM itabidi afanye kazi ya ziada...
asigwa
Rafiki yangu sema hivi, Nyerere akifufuka leo ishara yake ya kwanza atanyosha vidole vyake juu na kusema peoooooooooples poooooooower!!!! Neno lake la pili ataomba nguo ya kuvaa nayo atasema "nataka kuvaa gwanda mimi". Ndugu yangu watz makini wanaolilia nchi kamwe hawawezi kushabiki CCM. Huo ni msimamo wa watz wengi.
 
Last edited by a moderator:
Mnawapa sifa ambazo hawajawahi kuwa nazo,
cha muhumu ni kuwa wameonyesha kushindwa kutekeleza kila walichotumwa na Magamba na ndio maana wamesepa, tunawasubiri waliobaki wawafuate wenzao
 
Back
Top Bottom